biashara

  1. C

    JamiiForums Tanzania Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

    Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio kwa namna yoyote ile wasifike libya na kupoteza mechi. KUANZIA MECHI YA SIMBA NA YA WALIBYA KUNA...
  2. JamiiForums Tanzania Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

    Habari wadau JF, Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

    Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui. Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa. Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
  4. JamiiForums Tanzania Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  5. JamiiForums Tanzania Faini ya CAF kwa Biashara inatisha

    Wamepigwa faini ya $20,000 na kutoshiriki kwa miaka miwili. Tumezidi kupoteza ndoto za Vijana na ajira zao
  6. JamiiForums Tanzania Simba mlichowafanyia biashara sio poa

    Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo. Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara? Kwa kuwatumia watu wa kushughulikia vibari mmechomeka rushwa ili wakwamishe vibari vya kusafiri? Mtu wa Kwanza aliyeihujumu Biashara Ni Rais wa TFF...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa eneo la kufanyia Biashara ya Ufundi simu

    WanajamiiForums habari za saa hizi. Nipo hapa naomba ushauri wa location ya kufungua Biashara ya Ufundi simu. Mimi nikija niliemaliza chuo mwaka huu 2021, ukiachana na tahaluma niliyosomea chuo pia nina ujuzi wa ufundi simu, kwa upande wa hardware na software. Nina mpango wa kufungua ofisi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunatumia akili, tungeisapoti timu ya Biashara

    Kwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha. Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa bei chee sana. Hivi unawezaje kununua ndege kwa pesa Cash kisha ushindwe kuipa support Biashara...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara Kunani?

    The pre-match technical meeting for Al Ahly Tripoli v Biashara United Mara has been concluded. Biashara United, still nowhere to be found. Kick-off is 17:00 GMT. The Libyans will progress to the next stage, if Biashara don’t turn up for the game.
  10. JamiiForums Tanzania TTB: Jinsi biashara ya ku burn CD ilivyowajaza pesa vijana hapo zamani

    Kuna biashara za misimu, na katika hizi biashara kuna biashara niliyoshuhudia kwa macho yangu iliyotajirisha mno vijana, biashara hii ilikuwa ni ku burn cd miaka ya 2000 hadi 2006 Mimi nitazungumzia scenario ya mkoa niliopo wa nyanda za juu kusini. Enzi hizo miaka ya 2000s bongo flava ilikuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara gani nzuri Dodoma?

    Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma ni mdada nina mtaji wa shilingi milioni moja, tayari nmeshanunua contena lenye ukubwa unaokaribia Kama chumba kimoja Ila changamoto niliyonayo nawaza nifungue biashara gani nzuri ambayo itanilipa naogopa kupoteza mtaji nilionao maana kupata mwingine ni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

    Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku. Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku. Naomba Ushauri wenu tafadhali.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Rais Samia, mwambieni ukweli kuwa mtaani biashara haziendi

    Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi. Biashara haziendi wateja amna hatuelewi nn shida? Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma. Njoo Sinza madukani maduka yako wazi kuanzia asubuhi mpaka jioni hata wale wa kuulizia. Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei...
  14. JamiiForums Tanzania Gharama za bando zitaua creativity, biashara na ndoto nyingi za vijana

    Nawasalimu wote. Nitaangazia nyanja kadhaa na nitakapoweza tena mifano. Pale patakapopungua naomba mjazie. Hivi karibuni makampuni ya mawasiliano yaliongeza karibia kwa 50% gharama za Internet kwa Watumiaji kwenye ile option waliojificha humo kama "Offer" ya mtandao! GB tatu kwa mfano kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ije na muswada rasmi na katazo la biashara barabarani

    Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani. Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani. SAD AND PAIN BUT TRUTH! KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  16. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani hapa Tanzania biashara ya boda boda inalipa na hamna wizi wa Pikipiki?

    Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda. Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa...
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji ya kioo (milango miwili) - biashara ya vinywaji

    bei yake: 1.2 milioni sehemu: ukonga, g.mboto namba ya simu: 0764 509226 risiti yake ipo. gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?

    Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
  19. JamiiForums Tanzania Hongereni Simba SC kwa 'Kutuheshimisha' Watanzania na Biashara United FC kwa 'Kutung'arisha' wana Mkoa wa Mara (Musoma)

    Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja cha Mtoto Mkoani Tanga na kwenda Kuroga eneo hatari la Nungwi kwa Msaada wa Boti ya Taasisi Moja...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ku-deliver bidhaa Kibaha

    Nafikiria kuanzisha local delivery company ya bidhaa za nyumbani, kwa kutumia baiskel za umeme especially eneo la Kibaha. Nakaribisha mwenye mawazo kama haya awekeze knowledge na muda namna gani inaweza kufanyika kwa ufanisi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…