biashara

  1. JamiiForums Tanzania Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

    Habari Wakuu! Sio kila mtu kwake mtaji ni tatizo, wengi wetu tuna pesa ndefu kiasi tu kwenye Acc, (20M+50M). Personal, nilipanga kuanza kuwekeza kwenye biashara kwa Capital ya 30M, ambapo nashukuru mtandao wa JamiiForums chini ya Maxence Melo hatimaye nimeweza kuvuna idea 3 muhimu kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya ufundi simu

    Kwema wanajamii forum?? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kuna mdogo wangu ananisumbua sana,kamaliza chuo sasa hana kazi,kaniomba nimfungulie office ya ufundi simu. Sasa nilitaka kujua mpaka ufungue hiyo office itagharimu kiasi ghani? Na kila kifa cha muhimu bei yake na kinaitwaje?? Dogo...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto za kodi kwa wafanyabiashara

    Habari wana jf Nimekuwa tax consultant kwa miaka miwili sasa katika changamoto nimekutana nazo sugu nipamoja ya tra kwa wafanya biashara watu wengi wamekuwa wakisajili makampuni na kuyatelekeza bila kujua madhara yake ninini? Ambayo imepeleke badae kuwa na madeni makubwa sana leo nataka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Soko la biashara ya dagaa kwa upande wa Dar es salaam nalipata vipi??

    Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
  5. B

    JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa onyo eneo la Muhimbili hospitali mwisho leo kufanyika biashara

    29 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania RC MAKALLA ATOA ONYO ENEO HILI LA MUHIMBILI HOSPITALI |MWISHO LEO KUFANYIKA BIASHARA Source : Dar es Salaam RS Digital More info : October 31, 2022 2 min read Na Heri Shaban, TimesMajira Online, Ilala RC Makala: Hospitali ya Muhimbili sehemu...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

    Howdy, Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa. Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo...
  9. JamiiForums Tanzania Jaman nilikuwa nauliza vifaa vya muhimu kwenye biashara ya ufundi simu

    Ambaye ana sehemu nzuri ya kibiashara kuna fundi vifaa vya electronics anaitaji support
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa biashara ya parachichi nina swali

    Habari wakuu, Kuna mahali nataka kwenda kununua tani kadhaa za parachichi ila sasa huko kijijini wauzaji wanauza kwa kipimo cha ndoo (debe). Naomba kujua kwa wenye uzoefu, ndoo moja ya lita 20 ikijaa parachichi inaweza kuwa na wastani wa uzito wa kilo ngapi? Natanguliza shukrani.
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya miwa

    Wakuu nataka kufanya biashara ya miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. ko nlikua naomba kwa anaefahamu anijuze kama ntachukua vijana wa kuniuzia niwape mtaji na kokoteni kwa siku huwa wanaleta shngap na biashara inaendaje kwa ujumla. Ahsanteni..
  12. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Wakuu habari Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records) ****Im looking for...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hii Biashara kuna kupata Pesa nyingi?

    Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi. Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa chini wa tsh ngapi? Pia kama kuna mtu kwa hapa Dar anaweza shauri eneo zuri kwa biashara au...
  14. JamiiForums Tanzania Unakabiliana vipi na changamoto ya umeme kwenye biashara yako?

    Wanajukwaa! Ningependa tujadili ni namna gani iliyo bora na gharama nafuu ambayo inaweza kukabiliana na ukosefu wa umeme kwenye biashara. Kama tunavyoshuhudia ni kuwa kuna kupoteza wateja na kutofikia malengo husika. Karibuni!!
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian) Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na: Cheti cha kuzaliwa (Ninacho) Namba za Nida (ninazo) Cheti cha kuzaliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwongozo Kilimo Cha Kisasa: Greenhouse

    Habari wadau? Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre. Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha na kuendesha mradi. Lengo ni kufanya shughuli hii katika maeneo jirani...
  17. 7

    JamiiForums Tanzania Mwenye biashara ya kuuza vitu nje ya nchi, tubadilishane uzoefu

    Mwenye lengo la kuanzisha biashara ya kununua vitu toka nje na kuuza tubadilishane uzoefu. Mimi kuna kipindi nilikuwa nauza karatasi (nanunua na kusafirisha Bongo) ilikuwa nzuri sasa natafuta mawazo mapya. Tubadilishane uzoefu
  18. JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara binafsi au ubia (procedures for establishing a sole trade & partnership business) in Tanzania

    Kuna aina nyingi za kufanya biashara (there are so many forms of doing business) kama vile biashara ya mtu mmoja (sole trade), biashara ya ushirikiano (partnership), vikundi, kampuni, trust n.k. Kwenye hili andiko nitaongelea mchakato wa kusajili biashara binafsi na biashara ya ubia...
  19. JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya biashara tupeane connections ya kazi

    Kama unafahamu kuna shule ina uhaba wa walimu wa biashara katika masomo ya commerce,book keeping, accounts na economics Tupia connections ya shule ambayo unafahamu ina uhaba ya walimu hao ili vijana wanaotafuta kazi
  20. JamiiForums Tanzania Anayejua kuhusu biashara ya michezo ya bonanza

    Habari wakuu, kuna wazo moja nimepata la kuweka haya madude ya wachina kwenye moja ya frame nilionayo, nataka kuanzisha haya ma bonanza kidogo walau paweze kuchangamka maana pamedorora kweli. Kwa anayejua faida yake na hasara zake, na kama kuna changamoto tofauti na wateja pia naomba kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…