biashara

  1. K

    Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo. Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe. Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu...
  2. B

    Naombeni mbinu za kumzidi kibiashara ya mpinzani wako

    Habari wakuu. Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya...
  3. H

    Biashara ni matangazo

    Tangazo
  4. Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  5. Tengeneza kipato cha Tsh. 500,000 mpaka Tsh. 1,500,000 kwakujiajiri katika biashara hii

    Hello habari ya leo wakuu, hongera kwa mapambano ya kutafuta ajira pasipo Kuchoka licha ya kukosa nafasi Leo nimekuja na wazo la biashara ambalo binafsi nimelifanyia kazi kwa zaidi ya miaka 3 mfululizo na kwa mafanikio makubwa Kama utaamua kuchukua hatua na kulifanyia kazi basi utajikomboa...
  6. Faida za kufanya Biashara kama kampuni

    1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea kushirikiana na kampuni badala ya mtu binafsi, kwa sababu kampuni huonekana kuwa na uwajibikaji na...
  7. “JKT Ni Roho ya Taifa, Sio Biashara ya Wachache”

    Makala ya Kwanza: Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za...
  8. JKT ni roho ya Taifa, siyo biashara ya wachache

    Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za kujenga nchi yao. JKT...
  9. L

    Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara

    Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo. Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today; 1. Kwenye halmashauri Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni. Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila...
  10. Soma vitabu hivi utafanikiwa kwenye biashara yako

    .
  11. L

    Hautapewa leseni ya biashara kama Hauna Hizi Taarifa

    Ili uweze kufanya biashara kihalali Tanzania ni muhimu sana uwe na leseni ya biashara. Sasa Kuna taarifa Tano lazima uwe nazo ili upewe leseni ya biashara; 1. Aina ya Biashara, Ni lazima uweke wazi ni biashara gani unataka kufanya mf; Vifaa vya simu 2. Wilaya/halmashauri Ni lazima useme ni...
  12. D

    Natafuta mboga za majani zilizokaushwa. Anaefanya hii biashara tuwasiliane

    Natafuta mtu anaeuza mboga za majani zilizokaushwa. Kama unafanya au unamjua mtu anaefanya hii biashara naomba tuwaskiliane.
  13. K

    Orodha ya makampuni legit yanayota huduma za online business

    Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online. Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu waliotapeliwa wanasema tumetapeliwa mtandaoni bila kutaja majina ya mtando upi wala majina ya...
  14. Biashara ya utapeli inalipa?

    Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya. Cc Boss la DP World
  15. Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    HAbari zenu wakuu. Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo. katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
  16. D

    Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  17. H

    SmartBusiness: Tumefika 50,000+ Installs, 12,000+ Daily Users 🚀

    Tunashukuru kwa sapoti kubwa kutoka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali. Leo tumefika hatua kubwa: ✅ 50,000+ Installs kwenye Play Store ✅ 12,000+ watumiaji hai kila siku SmartBusiness imekua chaguo la wafanyabiashara kwa ajili ya kusimamia mauzo, malipo na hesabu zao kwa urahisi...
  18. Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Shule ya Msingi na Secondari

    Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari. Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya: 1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili. 2. Kuvutia wawekezaji na...
  19. wanasiasa wengi ni mabilionea wana ukwasi ambao hata Bakhressa na Mo wafanye biashara miaka miamoja hawawezi kuwafikia

    Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki . Ila wamechagua njia ya Ku-play low key . Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao. Hakikisha October Una-tiki√
  20. G

    Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

    Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar. startup kubwa huanza na swali dogo. Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant, swali lilikuwa: “Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na Uber?” Mwaka 2015, waliamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…