biashara

  1. NHIF mmeacha lengo la msingi na kujiingiza kwenye biashara

    Mwanzoni wakati mfuko huu unaanzishwa ulikuwa unafanya vizuri sana kwasababu ulikuwa unachangiwa na Watumishi wa umma na kuwahudumia watumishi wa umma. Mfuko ulikuwa stable sana. Tatizo lilianza mlipoingiza tamaa za kuufanya kuwa mfuko wa biashara badala ya huduma. Haikupaswa taha kidogo...
  2. Asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia nguvu za giza katika Biashara, Ajira na Harakati za Maisha Kiujumla

    Kwenye siasa, uchawi 100% Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma😂😂😅😅 Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa. Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua...
  3. Ushauri kwa Wizara ya Kilimo-Fursa zinazotakiwa kufunguliwa ni za mazao ya biashara sio chakula

    Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato. Nadhani nimeeleweka!
  4. Rostam kuingia kwenye biashara ya anga Shirika letu litapona?

    Kwa mjibu wa gazeti la The Citizen tajiri Rostam Aziz amenunua hisa nyingi za Coastal ambayo ni Kampuni inayojishughulisha na usafiri wa anga. Kwa umafia wa kibiashara wa Rostam Aziz Air Tanzania itapona kweli?! ====== Mfanyabiashara Rostam Aziz ameingia kwenye sekta ya usafiri wa anga baada...
  5. Namna ya kuanzisha na kufanya biashara ya nafaka

    Ndugu zanguni naomba kueleweshwa na kupata uzoefu wa namna ya kuifanikisha biashara ya kuuza nafaka kwenye frem, mfano Michele, unga, marage, dengu nk. Naomba kuelewa 1. Risks zake 2. Faida yake 3. Mtaji wake 3. Mahali pazuri kokote tz 4. Masoko na mauzo jumla na rejareja That is all...
  6. Nimeshuhudia baadhi ya wachaga na wakinga wanaacha ajira nzuri wanaingia mazima biashara ambazo zina hatari ya hasara, huu ujasiri wanautoa wapi?

    Ni baadhi yao,,, sio wote Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki. Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa...
  7. Mgunda na Matola anzeni na Kimoja kati ya hiki ili tumalize Biashara mapema kwa 'Wanyasa' tumsubiri ajae mbeleni...

    1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Mohammed Outarra 6. Jonas Mkude 7. Kibu Denis 8. Sadio Kanoute 9. Moses Phiri 10. Football Genius Clatous Chama 11. Augustine Okra au 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4...
  8. Shoppers Trading Ltd yadaiwa wameamua kufunga biashara Tanzania

    Wanadai sababu ni kukosa fedha za kujiendesha
  9. S

    Website and Database errors fix services

    Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi. Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo; Database 1. Database cleanup 2. Database optimisation 3. Database...
  10. T

    SoC02 Biashara ya ajira

    ELIMU ni suala mtambuka lisilotenganishwa na AJIRA au KUJIAJIRI (Biashara). Hivyo suala la ELIMU linapaswa kutazamwa upya kama uwekezaji usasa ambao ni sharti ulete mafanikio kwenye jamii husika. Mfumo wa kutoa bidhaa pendwa za MUDA,PESA na USALAMA wa muhusika kwa lengo la kujizolea ujuzi na...
  11. SoC02 Biashara ya mtandaoni: Fursa yenye changamoto nyingi

    Biashara ya mtandaoni ni biashara yoyote inayotumia mtandao wa intaneti kuuza, kununua na kutangaza bidhaa au huduma.Kutokana na ongezeko la matumizi ya intaneti sasa hivi Duniani kote bidhaa mbalimbali zinauzwa, zinanunuliwa na kutangazwa kupitia mitandao ya kijamii na tovuti.Hapa nchini...
  12. Serikali kufanya marekebisho Sheria ya Leseni za Biashara

    Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, uchumi na mwenendo wa biashara, Serikali imeanza mchakato wa maboresho ya sheria ya leseni za biashara sura namba 208. Huu ni mwaka wa 50 tangu sheria hiyo itungwe mwaka 1972, hivyo maendeleo ya sekta ya biashara yamesababisha haja ya mabadiliko yake...
  13. P

    SoC02 Jinsi Nilivyotengeneza Soko Pekee (Lisiloingiliwa) la Bidhaa Zangu

    UTANGULIZI Watu walio wengi kwa sababu moja au nyingine huwa hawawezi kutengeneza fursa za biashara kutokana na kuanza kwa biashara moja kupitia Mnyororo wa Thamani. Fuatilia Makala hii kwa makini uone jinsi unavyoweza kufanya hivyo kwa biashara yoyote. Mnamo mwaka 2019 nilianzisha na kusajili...
  14. Wizara ya Nishati, tunaomba TPDC waajiri watu waliosoma fani za mafuta kwa usawa

    Kwako Wizara ya Nishati, Rejea Tangazo la ajira za shirika letu la mafuta, TPDC. AJIRA MPYA - Shirika limetoa ajira nyingi za kutosha lakini kuna baadhi ya fani za mafuta hazijatajwa kwenye Tangazo hilo ilihali watu wa fani hizo wanaweza fanya kazi hizo. Tunazo fani nyingi za mafuta na gesi...
  15. naomba kujua namna ya kufanya biashara ya kuweka mashine ya kubetisha, kama gal sport

    za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba anielekeze hapa
  16. Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

    Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
  17. Kuna wimbi la biashara ya ukahaba kwenye vyuo vikuu kupitia Instagram

    Wakuu, naamini mmeakuwa na weekend njema, na mmeianza Jumatatu vyema. Back to me it was boring baada ya kukutana na hiki kisanga. For the last six months nimekuwa mtu wa kusafiri safiri kidogo ndani ya hii Tz. Napenda sana kampani hasa maeneo ninayotembelea, hii imenifanya kujuana na watu...
  18. Oparesheni uhalifu yanasa silaha 997

    JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019 hadi Juni mwaka huu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu alisema hayo juzi katika taarifa yake kwa mkuu wa mkoa huo, Fatma Mwasa...
  19. Siku isiyokuwa na Biashara wala Urafiki

    Ningependa Leo nizungumzie maswala ya kiroho na walengwa ambao Nataka niwakumbushe neno la Mungu ni Wale wanao mwamini Mwenyezi Mungu. Kama wewe humwamini Mwenyezi Mungu au unaamini Mungu hayupo basi huu Uzi haukufai. Mwenyezi Mungu anasema katika Kitabu chake katika Suratul Ibrahim Aya ya 31...
  20. Kuwa Kinara Sokoni (Being The Market Leader) Bila Kufanya Matangazo

    Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…