biashara

  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara

    Unapoanza biashara, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuongeza uwezekano wa mafanikio. Kuanzisha biashara ni hatua kubwa na yenye changamoto, lakini pia inaweza kuwa fursa nzuri ya kufanikiwa na kufikia malengo yako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati unapoanza biashara: 1...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana tujitafute kwa kujitofautisha na wengine

    Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe. Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka. Najua wengi tunatafuta ajira pia...
  3. JamiiForums Tanzania Bagamoyo sugar project ilkua biashara ya kitapeli

    Haina ubishi lile eneo ambalo Zanzibar wanadai nilao lilisharudishwa mikononi mwa Tanganyika sababu Rais wa nchi ndiye mwenye mamlaka ya ardhi ya Tanzania labda huyu waleo ajichanganye tena awape hilo eneo na zaid kwa Mara nyingine. Bagamoyo sugar project ilkua n biashara ya kijanja mbele ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

    - 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ). - Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera. - Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12...
  5. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Afrika wakubaliana kupiga marufuku biashara ya Nguo za Mtumba

    Uamuzi huo umefikiwa na Mawaziri wa Nchi za Afrika, baada ya Mkutano wa pili uliofanyika jijini Nairobi ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA). Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene, amesema uamuzi wa kuzuia biashara ya mitumba ni hatua muhimu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara yako haikui? Jifunze Jinsi kampuni hii ilivyokuza mtaji kufikia mabilioni ya pesa

    Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mnaendelea salama baada ya mda mrefu kupita bila kushusha thread ya moto.... Leo nimependa kuzungumzia swala zima la mauzo (sales) na jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara, kuna msemo unasema "kufungua biashara na kuuza ni vitu viwili tofauti...
  7. JamiiForums Tanzania Unaenda kumchangia mtu kwenye biashara yake lakini bado anakuwa na wivu

    Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto azitaka nchi za Afrika kuacha kutumia sarafu ya dola kwenye biashara zao za kimataifa

    Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa. Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya kimarekani kwenye biashara zetu kiasi kwamba inafikia nchi za Afrika zashindwa kuuziana bidhaa zao mfano...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Maonesho ya 47 ya Biashara ya kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonesho ya mwaka 2023 ni ya kipekee

    WADAU WA MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (DITF) MAARUFU KAMA SABASABA WAMESEMA MAONESHO YA MWAKA 2023 NI YA KIPEKEE - KIONJO CHA SABASABA EXPO VILLAGE Wadau wa Maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonyesho ya mwaka huu ni ya kipekee kwa kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume tupambane kwa nguvu zote tuwafungulie wake zetu biashara wajiajiri

    Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia. Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:- Kazi ndio mme wake Mumewe ni chaguo la pili baada ya kazi Anaiheshimu ile kazi na anaitii kuliko anavyomtii mme wake Kazi inamfanya...
  11. JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuanzisha biashara ya vitabu kwa Taasisi za elimu ya juu

    Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali. Vibali husika vya biashara Kodi za bandarini na tra kwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania utitiri wa biashara ya miwani

    Wakuu. Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer. Je, wanaofanya biashara hii wamethibitisha kwenye mamlaka za afya kuwa bidhaa zao zinafaa kwa afya ya macho?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni biashara ipi inalipa zaidi?

    Kuna Restaurant Saloon ya kike na ya kiume Duka la nguo Duka la nafaka Bar Duka la mangi Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Alibaba yaleta mapinduzi makubwa duniani katika kuendesha biashara ya mtandaoni

    Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani. Soko la biashara ya mtandaoni la China...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye?

    Habari ndugu zangu, naombeni mnisaidie ni biashara gani naweza kufanya hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa laki tano?
  17. JamiiForums Tanzania Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako

    Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako Kupata jina sahihi la biashara ni hatua muhimu katika kujenga kitambulisho chako cha biashara na kuwasiliana na wateja wako. Hapa kuna njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako: 1. Jifunze kuhusu biashara yako: Anza kwa kuelewa vizuri...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina milioni 3, nafikiria kufanya biashara yenye tija na kuleta faida

    Wadau mimi nina kiasi cha 3m nafikilia kufanya biashara ambayo itakua na tija na kuleta faida ,nahitaji ushauli wenu ni biashara gani nzur ya kufanya nipo Dar es Salaam.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Leseni ya Biashara ya online?

    Hi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE. Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE INAWEZEKANA AU KAMA UNAJUA NAMNA YA KUPATA PLEASE ELEZEA!!.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali Yawahakikishia Wawekezaji Mazingira Bora ya Kufanyia Biashara

    SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA BORA YA KUFANYIA BIASHARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametembelea Kiwanda cha kutengeneza Mavazi cha Tanzania Tooku Garment kilichopo EPZA Ubungo External na kukutana na Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho Bw. Borja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…