bet

  1. A

    KERO Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ifuatilie Premier Bet, ukishinda hawakupi hela yako, wana ku-block

    Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako. Ukiwapigia simu wanakwambia tumeona una accounts zaidi ya moja za Premier Bet ilihali sina na pesa...
  2. Scared

    Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa. Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana...
  3. Echolima1

    Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kujiuzulu wadhifa wake

    Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas. Ikizungumza katika hafla ya ukumbusho wa wafanyikazi waliokufa wa Shin Bet, Bar inasema kwamba baada ya...
  4. Scared

    Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

    Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
  5. The introvert

    Mchezo ya kubet imefika kuweka odisi haki kwa Kamala Harris vs Donald Trump

    Wale wajuzi wa siasa mtusaidie hapo nani anauwezekano wa kushinda watu waweke millions 😁😁😁
  6. D

    Meridian Bet mnakera sana, nitawashitaki

    Hawa Meridian bet nilijiunga mara moja tu na nikajitoa(nililazimika kujiunga kwa muda mfupi ili niObserve kitu fulani kutokana na kazi zangu), lakini kila siku wanaendelea kunitumia meseji zao za ofa na promotion. Nimepiga simu zaidi ya mara tano wanasema tu watafanyia kazi lakini hamna kitu...
  7. Mr Why

    Diamond Platnumz usibabaishwe na tuzo za BET kwasababu soko la mziki Marekani limeanguka na Wasanii wake hawana mashiko kwa sasa

    Diamond Platnumz Diamond Platnumz usibabaishwe na tuzo za BET kwasababu soko la mziki Marekani limeanguka na Wasanii wake hawana mashiko kwa sasa. Mziki mzuri upo Africa kwa sasa ukishikiliwa na nchi ya Nigeria Wasanii wa Marekani wameanguka sana na soko lao limedorora sana, hawana nyimbo za...
  8. beatboi

    Kendrick Lamar amechukua tuzo ya saba BET... Hii sio sawa kabisa huyu jamaa atengwe

    kama itawezekana afungiwe kabisa haiwezekani kila siku yeye tu.
  9. W

    Waafrika walioshinda Tuzo za BET 2024

    Tuzo za BET zilianzishwa mwaka 2001 na mtandao wa Black Entertainment Television, zikilenga kusherehekea mafanikio ya wasanii weusi na watu wa makundi mengine ya wachache katika muziki, filamu, michezo, na shughuli za kijamii. Hafla hii ya kila mwaka hupeperushwa moja kwa moja kupitia BET na...
  10. VINICIOUS JR

    Mapenzi hayana tofauti na betting

    Kwema wakuu, Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k, Kwa wakamaria hawa hawanashida...
  11. Mr Why

    Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

    Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka...
  12. ZOYA internet

    Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  13. A

    Achaa tamaa weka timu chache ushinde bet

    Watu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na michezo mengine, Embu tungalie kwa upande wa mpira wa miguu ambo unaongoza kwakua na mashibiki wengi...
  14. City Of Lies

    Hatimaye GO BET waomba radhi kwa kutumia lugha ya kuudhi

    Baada ya kutumia neno la kuudhi wameamua kuomba radhi ingiwa wametumia maneno ya kijanjajanja
  15. Malaika wa Misukosuko

    Hawa GO BET wanapata wapi ujasiri wa Kutukana Watu Kisa tu hatujajiunga kwenye Hiyo mitandao yao Ya Kubet

    Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane, Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu...
  16. BARD AI

    BETAwards2023: Burna Boy ashinda tuzo ya Best International Act ya BET, Busta Rhymes apewa ya LifeTime Achievement

    Nyota huyo kutoka Nigeria ameibuka mshindi na kuwabwaga mastaa wengine ambao Aya Nakamura, Ayra Starr, Central Cee, Ella Mai, K.O, L7nnon, Stormzy, Tiakola na DJ Uncle Waffles. Beyonce ameshinda 'Viewers Choice', Drake na 21 Savage (Kundi Bora), Future na Tems (Wimbo Bora wa Ushirikiano)...
  17. Kommando muuza madafu

    Tuwataje Madereva wa Mabasi wanaobet kwa kuendesha magari ovyo ili wawahi kufika Stendi wapewe 100,000

    Na declare interest mimi ni mdau wa usafirishaji Tanzania. Lengo la kuanzisha huu uzi sio kuharibu biashara au maisha/ajira za watu ila ni kuokoa maisha ya watanzania wanaokufa kila siku kama panzi kwa uzembe na ujinga wa hawa madereva. Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Mbeya na huwa nafanya kazi za...
  18. BARD AI

    Full List: Wanaowania Tuzo ya BET 2023 hawa hapa, Afrika ni wawili tu

    Best International Act Aya Nakamura (France) Ayra Starr (Nigeria) Burna Boy (Nigeria) Central Cee (UK) Ella Mai (UK) K.O (South Africa) L7nnon (Brazil) Stormzy (UK) Tiakola (France) Uncle Waffles (Swaziland) Album of the Year “Anyways, Life’s Great” - GloRilla “Breezy” - Chris Brown...
  19. The Supreme Conqueror

    I Bet Msimu huu 2022/23 Yanga atakuwa Bingwa makombe yote 4

    Wakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
  20. bahati93

    Kusema kweli nikishinda bet sitapokea simu

    Jamani sijui mimi nipoje, sina mpango kabisa wa kupokea simu ikinipongeza eti nimeshinda. Yaani kucheza nicheze mimi alafu watanzania wajulishwe eti nimeshinda. So, habari ndo hiyo! Kama leo utasikia simu ya mshindi ikiita pasipo kupokelewa, jua ni mimi.
Back
Top Bottom