bendera

  1. JamiiForums Tanzania KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  3. JamiiForums Tanzania Kalenga: Bendera zote za Chadema kata ya Ifunda zang'olewa ili kumpisha Chongolo

    Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione. Bado haijafahamika kama...
  4. T

    JamiiForums Tanzania CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

    CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini. Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio, ni kutudharau Watanzania, sio kila mtu aweza kuwa kiongozi, Mungu ametupa vipawa tofauti...
  5. JamiiForums Tanzania Mtanzania apeperusha vema bendera ya Taifa kwenye Boston Marathon. Ashika nafasi ya 2

    Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani Geay alifanikiwa kumaliza mbio baada ya saa 2:06:04 akimaliza nyuma ya kinara, Evans Chebet kutoka Kenya aliyekimbia mbio...
  6. JamiiForums Tanzania Bendera ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni ruksa kuibadili?

    Jana Jumamosi 15/04/2023 Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar akizindua kitabu cha taarifa ya Sensa iliyopita, kwenye uzinduzi huo walikuwepo wananchi ukumbini ambao walikuwa wakipepea bendera za taifa, kitu ambacho sikuelewa ni hizo bendera za taifa katikati kuwa na picha ya rais mama Samia! Bendera...
  7. JamiiForums Tanzania Bendera ya Finland kusimikwa leo nje ya ofisi za NATO

    Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban kilomita 1,340 km, yaani mithili ya Dar hadi unapitiliza Kigoma au Mwanza. Huyo Putin aliwahi kuwatisha...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Bendera ya CHADEMA juu Mlima Kilimanjaro. Act wazalendo muone wivu

    CHADEMA ipo juu. Zitto na wapambe wako mtabakia midomo juu.
  9. JamiiForums Tanzania Boti za Azam ni nzuri kwa huduma, wabadilishe na bendera

    Jana nimebahatika kufika visiwani kwa tamasha la idhaa za Kiswahili. Azam ni wazuri kwa huduma hongera sana. Kitu moja sijapenda bendera ya taifa imechakaa sana . Nendeni GPSA zipo zinauzwa. Bendera iheshimiwe hii inawakilisha mahali palipo na giza kama mwenge wetu tunu ya Taifa
  10. JamiiForums Tanzania Njano, Nyekundu na Kijani Kwenye Bendera

    Inawezekan baadhi yetu hatujawahi kutambua kwamba kuna nchi nyingi sana za kiafrika hutumia rangi hizi za nyano, nyekundu na kijani kwenye bendera zao. Nimeweza kuweka mifano michache hapa. Ironically rangi hizo pia ndizo zinaztumiwa na wafuasi wa Reggae. Je, kuna aliyewahi kujiuliza kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

    Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+. Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya? Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital? Nini maoni yako msomaji. ===== UPDATES : Bendera imeondolewa
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Serikali sasa bendera inapepea

    Kudos
  13. JamiiForums Tanzania Je, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?

    Eti wakuu, kulingana na mafundisho ya dini, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jumamosi kuna uchaguzi wa Diwani Bagamoyo, nimeona Bendera za CHADEMA Stendi na Sokoni

    Sijaelewa kama hizi bendera mpya za Chadema hapa Bagamoyo ndio maandalizi ya Mikutano ya hadhara au kampeni za Diwani Bagamoyo watakuwa na uchaguzi wa Diwani siku ya Jumamosi
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma ni wa kuogopwa kama ukoma, ni bendera fata upepo na mchumia tumbo

    Wakati taifa likihangaika na matatizo ya hapa na pale, serikali imemua kutumia baadhi ya wapiga propaganda/chawa wake kusema uongo. Ikumbukwe Msukuma ni kati ya wabunge waliyokuwa upande wa JPM na hata baada ya kufa walitumia nguvu nyingi sana kumtetea. CCM iliona hilo na kujua huyu bwana...
  16. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa, helicopter zingesaidia hata evacuation na rescue, au helicopter zinaweza kupeperushia bendera ya Sensa tu

    We need mabadiliko makubwa sana yan hata tunayodhani tunahitaji basi tunahitaji zaidi haya . Nimejaribu kutafakari press ya Msigwa nimengundua tuna safari ndefu sana na hawa viongozi, Kuna haja gani ya maelezo? kama haya ndio maelezo ya Ikulu basi ni bora wangekaa kimya kungekuwa bora zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  18. JamiiForums Tanzania Kikwete afunguka yaliyojiri CCM mpaka Hayati Magufuli akapeperusha bendera ya CCM

    Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia...
  19. JamiiForums Tanzania Je, nchi zote raia wake husimama bendera inaposhushwa saa 12 jioni?

    Swali linaeleweka wakuu naombeni kujuzwa najua JF wengi mmesafiri mambele huko; je, huko kuna taratibu za kushusha bendera na watu wakasimama kusubiri filimbi ipulizwe nchi za wenzetu huko?
  20. JamiiForums Tanzania Ukraine wasimika bendera yao Kherson baada ya kutembeza kichapo cha HIMARS

    Jameni Ukraine wanapambana na kunifurahisha hadi naumwa, kainchi kadogo saizi ya mkoa wa Urusi ila wanajituma kama mchwa, wamekubali kujitoa mhanga ili wakomboe ardhi yao kwa ajili ya vizazi vya kesho. Habari zimfikie Putin popote alipo kwamba hata akiua mamilioni ya wa-Ukraine, lazima wafike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…