bendera

  1. R

    Kamishna wa Uhamiaji Manyara amejibu hoja Kisomi; ni kweli katika macho ya sheria gari na bendera siyo mali ya CCM; CHADEMA kuweni makini na hii move

    Kilichojibiwa na Idara ya Uhamiaji ndicho kinachoitwa majibu katika macho ya sheria. Si kila bendera ya kijani ni bendera ya CCM na siyo kila bendera ya kijani yenye nembo ya CCM siyo mali ya CCM. Kamishna wa Uhamiaji Manyara amepewa nguvu ya kufanya uchunguzi kwa mijubu wa sheria ya Uhamiaji...
  2. Kwa somo hili wanasiasa wote Tanzania bado ni kizazi cha wapigania uhuru-uhuru wa bendera

    https://www.youtube.com/watch?v=pCEYJFpwydw
  3. T

    Papa Fransisco anaisihi Ukraine ipandishe bendera nyeupe

    MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani. _______________ Pope Francis: Ukraine should have the courage...
  4. M

    Bendera kupepea nusu mlingoti upande Moja wa Muungano inawezekana?

    Kifungu Cha 8(1) Cha Leaders Funeral Act No. 10 of 2002 Zanzibar kinasema Rais wa Zanzibar atatangaza kifo Cha kiongozi mzanzibar na Bendera kupepea nusu mlingoti. Iwapo Tanzania hawataunga mkono au kuheshimu tangazo la kifo Cha kiongozi wa Zanzibar huenda bendera ikapepea nusu mlingoti upande...
  5. Nini Tafasiri ya kupandisha Bendera Asubuhi na kushusha saa 12 jioni?

    GreatThinkers Naombeni nimpe muongozo. Mtu mzito akifa bendera zinapepea nusu mlingoti. Lakini katika hali ya kawaida sa12 lazima bendera zishushwe why? Ni utamaduni ama kitu gani?
  6. Kilimanjaro Stars wana mechi na Zanzibar Herroes, kwanini Kilimajaro Stars wanatumia bendera ya Tanzania?

    Wadau wenye uelewa, mnaweza kufafanua? Kilimanjaro Stars hawana bendera yao? Naona Zanzibar Herroes wana bender yao
  7. Jeshi la Ukraine lakomboa Horlivka na kusimika bendera

    Japo mashabiki wa Urusi mlikimbilia kwa Wapalestina ambao huwa mnalazimisha undugu nao ila mara moja moja huwa naendelea kuwakumbushia masaibu ya supapawa wenu Mrusi mliyemtegemea ila akawaangusha.... Hata hivyo na huko Gaza mlikokimbilia nawafuata tu, hamna kupumzika labda mbinguni kwa mabikira...
  8. D

    Uzalendo sio kuvaa nguo zilizoshonwa kwa vitenge vya bendera ya Taifa

    Watu wengi tumekuwa katika fikra ya kwamba uzalendo ni kuwa tayari kuipigania nchi yako. Huo ndio ukweli lakini uzalendo pia unaambatana na mapenzi ya dhati kwa taifa lako. Mapenzi haya ndio watanzania wengi tunayakosa yaani hatuna uchungu na Taifa letu la Tanzania pamoja na rasilimali zake...
  9. Kwanini Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe?

    Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
  10. SI KWELI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  11. Ukweli usiofundishwa kuhusu rangi za Bendera ya Taifa (Tanzania)

    Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
  12. Serikali ikumbuke kuweka bendera kwenye ofisi zake

    Salaam wana jamii forum, Leo nimeona niikumbushe serikali tukufu ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuhusu kuweka bendera kwenye ofisi za serikali ngazi ya mtaa,kitongoji,Kijiji Hadi kata.maana imekua kawaida kwa sasa kuzikuta ofisi hizi bila kuwepo bendera ya taifa. Kuna umuhimu mkubwa sana...
  13. K

    Napendekeza mwaka 2025 Waziri Mkuu apeperusha bendera ya CCM kuwania kiti cha urais

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
  14. Iran yakamata meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania kwa madai ya kusafirisha mafuta kwa njia ya magendo

    Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on Friday. "The Revolutionary Guards naval forces seized two ships over the course of the last two...
  15. Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta

    Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini. --- Iran has seized two oil tankers...
  16. Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

    Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025! CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia! Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
  17. Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

    Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje? Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote...
  18. Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua? Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
  19. Mama Mrusi ajighubika bendera ya Ukraine na kusimama Red Square, eneo la kihistoria, Urusi

    Kaamua kujitoa mhanga maana watakachomfanyia hawa mafia wa Urusi, tayari amekamatwa.... PHOTO FROM OVD-INFO TELEGRAM CHANNEL A woman was detained on Red Square in Moscow for joining a rally while wrapped in a Ukrainian flag. Source: Russian human rights media project OVD-Info with...
  20. J

    Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…