Bei ya mafuta duniani imepungua kwa kiasi kikubwa kufuatia tangazo la Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili.
Mapema Jumanne, pipa moja la mafuta katika soko la kimataifa lilikuwa likiuzwa kwa dola 103.42, huku mafuta ya Marekani...