bei ndogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    Kipi ni Bora kwako: Kununua nguo/kiatu kimoja brand/OG kwa bei kubwa au kununua copy nyingi kwa bei ndogo?

    Wakuu. Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk? Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000! Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
  2. stakehigh

    TRA wana mfumo wa kufanya mnada wa vitu vingi bei ndogo sana, However atakaeweka bei ya juu zaidi yako anachukua

    https://tanesw.tra.go.tz/cgme/onln/actn/cgme0504001q?menuId=menu_cgme0833 Mfumo huu unakua na bidhaa nyingi sana unaweza tu bei unaotaka, mfano kuna mpaka scania za mil 0, however ni bidding atakaekuzidi anachukua
  3. Mad Max

    Car Service Episode 3/10: Power Steering Fluid na Differential Fluid kuzibadirisha ni bei ndogo ila ni muhimu sana!

    Power Steering Fluid na Differential Fluid zipo kwenye kundi la fluids ambazo uwa zinapotezewa sana wakati wa kufanya service, ilihali gharama zake ni ndogo kuzidi ata faini moja ya trafiki. POWER STEERING FLUID Power steering fluid inasaidis pampu ya steering kufanya kazi vizuri, kwa kufanya...
  4. willy ze great

    Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  5. Kigger

    Karibu utangaze kwenye TV kwa bei ndogo

    Wadau Karibu mnisapoti kijana wenu . Karibuni mtangaze kwa gharama mdogo kabisa kupitia Tz Gospel Tv ipo Azam other channel 27 tunapatikana African nchi 21 satellite eutelsat 7b Kupitia kingamuzi cha azamz,zuku, continental decoder na milan cable arusha channel 204 Gharama zetu ni kama...
  6. Mad Max

    Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  7. tutusi27

    Wadau tuambiane hapa simu gani nzuri inauzwa kwa bei ndogo

    Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
  8. M

    Msaada chimbo la cherehani aina zote bei ndogo

    Habari wakuu, Naomba kuwauliza chimbo la cherehani aina zote hasa cherehani za kushona nakudarizi kama Usher.
  9. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  10. V

    Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
  11. BARD AI

    Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

    Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
  12. MwananchiOG

    Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
  13. JanguKamaJangu

    Mkopaji anatakiwa kudai fidia iwapo Benki imeuza nyumba yake bei ndogo

    Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko. Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa...
  14. BARD AI

    Saa 10 za gharama kubwa duniani, ya bei ndogo ni Tsh. Bilioni 11.7 aliyopewa JAY-Z na mkewe Beyonce

    Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani. 1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7 2. Chopard – 201 carats -...
  15. BARD AI

    EWURA: Tanzania ni kati ya nchi zenye bei ndogo ya Mafuta

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Modeatus Lumato amesema Tanzania ni kati ya nchi zinazouza mafuta kwa bei ya chini kutokana na ruzuku ya Serikali. Amesema mbali na ruzuku hiyo, hatua ya kuwa wananunua mafuta kwa pamoja imesababisha kushuka...
  16. N

    Tanzania ni nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta ukilinganisha na nchi za Afrika Mashariki

    Tanzania tunabahati sana kuwa na Rais anayejali wananchi kutokana na ruzuku ya mafuta Bilioni 100 inayotolewa na Rais Samia Suluhu kila mwezi imepelekea bei ya mafuta kuendelea kushuka kila leo. Kupelekea Tanzania kuwa nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta Afrika Mashariki. Kuanzia leo mafuta...
  17. Mr Chromium

    Nifanyeje niweze kutumia internet nyingi kwa bei ndogo kabisa!!…na nina iphone

    Habar wakuu! Walengwa nadhani mmeelewa! Tatzo n simu yangu iphone je hakuna app za free internet za iphone Kama huelewi apo we basi🤣
  18. sky soldier

    Rekodi Mpya: Tanzania avuliwa taji la gharama nafuu za Internet, Kenya ndie bingwa mpya East Africa

    Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa. Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94. Youtube views za miziki yetu zilivyo drop ni kithibitisho tosha,
  19. Nyuki Mdogo

    INAUZWA Tabata-Dar: Bajaj Tvs inauzwa kwa bei ndogo sana

    Bajaj ya abiria aina ya Tvs. Haina shida yoyote njoo na fundi kagua, lipa anza kuswampa Bei elekezi 1,500,000 0713096076 tuwasiliane
  20. Nyuki Mdogo

    INAUZWA Igoma-Mwanza: Bajaj ya abiria kwa bei ndogo

    Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza engine nzima, seat nzima, 0713096076 kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu Tunaanzia 2,500,000 it means punguzo kidogo lipo.
Back
Top Bottom