bei nafuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane inbox kama unahitaji 'huduma hii' kwa bei nafuu

    Ndugu wanaJF, unahitaji kuhaririwa habari au ripoti yako kwa Kiingereza au habari, ripoti, dissertation (BA, MA, PhD), paper au translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili kazi nzuri kwa bei nafuu. Kama jibu ni ndiyo, basi tukutane inbox.
  2. Waterbender

    JamiiForums Tanzania Nahitaji miwani ya macho

    Habarini wote. Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa. Naitaji miwani ya bei nafuu nipo Morogoro Asanteni
  3. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  4. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wanaouguza wazee na vijana, ninauza wheelchair nzuri za mtumba kwa bei nafuu

    Habari wadau.. Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili.. Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000. Namba ya simu ni 0692 275 229
  5. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Air Condition, brand new kwa bei nafuu, shilingi laki tano

    Habari wadau Nauza air condition mpya kabisa, sealed in box Bei ya kuuza ni laki tano fixed ( haipungui kiasi chochote) mimi nilinunua laki 7, risiti ipo Brand ni BRUHM Nilinunua kwa ajili ya kuifunga kwenye barber shop .. kwa sasa wazo la barber shop limeniondoka, nimeona niiiuze tu maana...
  6. dealkubwa

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kitanda cha chuma bei nafuu

    Nauza kitanda. Bei laki na 20 (120,000/=). Nipo Banana Ukonga. Namba yangu ni 0712505049.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunatoa Huduma ya T-shirt printing kwa bei nafuu Dar

    Tunapokea oda za kuprint t-shirt za aina zote kwa bei nafuu..t-shirt high Quality. tunapokea oda kwa t-shirt za 1. Familia 2. Shule (wanafunzi na staff) 3. Birthday 4. Msiba 5. Kwaya 6. Vikundi Tunapatikana (Msongola- Ukonga Dar Es Salaam) Wasiliana kwa 0789214792 au 0620875713
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wafugaji wa Kagera na mikoa jirani; Jipatie mbegu za Azolla kwa bei nafuu

    Habari waJF, Kwa wale wafugaji wenzangu wa mkoa wa Kagera na mikoa jirani sasa unaweza kupata mbegu za Azolla zenye ubora unaohitajika kwa bei rafiki kabisa. Tuwasiliane kupitia namba 0625951181 Faida za Azolla kwa kifupi ni; 1. Ni nyongeza ya chakula cha kuku na mifugo mingine 2. Ina...
  9. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Goodman TV inch 32 bei nafuu, 225,000 tu: Tabata Segerea

    Habari jf. Nakusogezea bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu sana. Jipatie Tv aina ya Goodman kwa bei tajwa hapo juu. Tv sio smart. Call 0744033555
  10. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  11. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Vinauzwa Kibaha, kilomita moja toka Morogoro Road, Bei Nafuu

    Mji mpya umeanzishwa ,mkabala na halmashauri mpya ya Kibaha ( Mlandizi),Nyuma ya kiwanda cha Kiluwa Steel. viwanja vipo kilomita 1.9 toka Morogoro road. Kiwanja Cha sqm 1,200 (mita 40 kwa mita 30) kinauzwa milioni 3 tu. Piga 0713039875 kwa maelezo zaidi Vimebaki viwanja 6 kwa wiki hii. Ofa...
  12. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa bei nafuu HP probook 350,000/

    Wapendwa Wana jamvi, Nimeamka na dharura ya kumsafrisha mgonjwa na Mambo yangu siyo mazuri. Nalazimika kuuza laptop yangu( Kama unaweza nisaidia kupata mtu wa haraka wa kuniokoa) Walau kufikia jioni niwe nimepata mteja. Specifications za laptop" 👉HP probook 👉Hard disck 400GB 👉Processor...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Virusi vya Corona kuuzwa kwa bei nafuu kwa nchi masikini

    Shirika la UNICEF limetangaza kuhusu mkakati wake wa kusambaza chanjo ya Covid-19 kwa Kenya na nchi nyingine zinazoendelea, limeripoti gazeti la daily Nation nchini Kenya. Chanjo zote zitakazonunuliwa kupitia Covax zitauzwa kwa shilingi 300 za Kenya (takriban dola 3) kwa nchi zinazoendelea...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Amazon Firestick lite, tv box original kwa bei nafuu

    Umechoshwa na Tv box za kichina ambazo zipo slow, ngumu kutumia na hazina features nyingi? Karibu kwenye ulimwengu mpya wa Android kwenye Tv yako kwa kutumia Fire stick. Fire stick ni tv Box ambayo inaweza kubadili tv yoyote ambayo sio smart kuwa smart, pia wale wenye smart tv wanaweza kuitumia...
  15. excel

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki Swift Bx inauzwa bei nafuu

    Habari jf Suzuki swift bx iko sokoni, magomeni Dar Transmission: Automatic Engine; Petrol, cc 1300 Milleage: 110,000kms Year made: 2000 Bei 4 million Piga simu 0744033555
  16. H

    JamiiForums Tanzania Jipatie SSD kwa ajili ya laptop na desktop yao kwa bei nafuu

    nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mchele safi toka kyela unapatikana kwa bei nafuu

    Ewe mkazi wa Dar es salaam karbu tukuhudumie Mchele safi toka kyela. Tutakuletea mchele popote ndani ya Dar es salaam kwa bei 1400/Kg hapo ni pamoja na gharama za usafiri. Kwa mawasiliano zaidi tutumie ujumbe kwa wasap au kutupgia kupitia 0757160773 Ah karbu kituo chetu cha mauzo kilichopo...
  18. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania Heavy duty blenders kwa bei nafuu

    Call/WhatsApp 0788622610 Brand new heavyduty commercial blender. Zinaweza kusaga matunda, juice,pilipili nk Zinatengeneza smoothie Zinauwezo wa kufanya kazi mda mrefu Ina jagi lita 2 Ina power watts 2200 Zina warranty miezi 12 Unaipata kwa bei ya 135,000 tu Tupo kkoo Kwa Dar free delivery
  19. trust 1

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofa baab kubwa: T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu

    Ofa ofa ofa T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu, bei karibu na bure, Kuanzia 5-10 bei ni Tsh 6900 . 11-30 bei ni Tsh 6600 . 31 + bei ni Tsh 6400 Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana Wahi ofa hii mapema kabla mzigo haujaisha Kwa mawasiliano zaidi ## 0715477041
  20. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ninauza vitambaa, mito na foronya kwa bei nafuu sana

    Vitambaa set moja ni sh.70,000 kwa 80,000. Mto na foronya moja ni sh.15000 karibuni sana wateja ninapatikana Tunduma Songwe. Kwa mawasiliano ni kupitia namba 0758267513.
Back
Top Bottom