INAUZWA Nauza Air Condition, brand new kwa bei nafuu, shilingi laki tano

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,526
Habari wadau

Nauza air condition mpya kabisa, sealed in box

Bei ya kuuza ni laki tano fixed ( haipungui kiasi chochote) mimi nilinunua laki 7, risiti ipo

Brand ni BRUHM

Nilinunua kwa ajili ya kuifunga kwenye barber shop .. kwa sasa wazo la barber shop limeniondoka, nimeona niiiuze tu maana sina kazi nayo tena

Hii Air condition ina BTU 9000

Namba ya simu ni 0789 18 70 10

20210411_115818.jpg
 
Hii brand ina spear,unawarant card

Bruhm wapo dar wana duka lao... warranty ninayo ndio ila imeisha.. mashine imekaa mwaka mzima bila kufungwa kutumika.. warrany inahesabu toka siku uliyonunua tu mpaka mwaka uishe
 
Bruhm wapo dar wana duka lao... warranty ninayo ndio ila imeisha.. mashine imekaa mwaka mzima bila kufungwa.. warrany inahesabu toka siku uliyonunua tu mpaka mwaka uishe
Mkuu BTU 9000 inafika ukubwa gani wa nyumba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom