Mangungu: Uchaguzi uliotangazwa Simba ni batili

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,663
Reaction score
46,789
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amesema mchakato wa uchaguzi, Tume ya Uchaguzi pamoja na Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliotangazwa kufanyika Januari 3, 2027, ni batili na haramu.

Mangungu ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 29, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akieleza kuwa amepokea barua kutoka Serikalini yenye mwongozo kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa kuhusiana na mchakato huo.

Kwa mujibu wa Mangungu, taratibu zinazohusu uchaguzi na Mkutano Mkuu wa Simba zinapaswa kufuata mwongozo uliotolewa na Serikali.
 
Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.

Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.

Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.

Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah
 
Mzee ajibiwe kwa hoja!!, mnataka mmpoke madaraka yake kwa kigezo Cha utulivu na matokeo ya uwanjani?. Viongozi waliotangaza huo uchaguzi wana mamlaka hayo?, kwanini aonewe wakati yeye ndiye anapaswa kusikilizwa na Bodi!.
 
Hahahaha mbona mnapanic. Fuateni utaratibu. 😂😂
 
Mzee ajibiwe kwa hoja!!, mnataka mmpoke madaraka yake kwa kigezo Cha utulivu na matokeo ya uwanjani?. Viongozi waliotangaza huo uchaguzi wana mamlaka hayo?, kwanini aonewe wakati yeye ndiye anapaswa kusikilizwa na Bodi!.
Alikuja na manzoki kipindi cha kampeni zake ,kama ahadi ya kumleta kabla ya, kujibu hoja zake za kipumbavu tunamtaka manzoki.
 
Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.

Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.

Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.

Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah
Halafu ndio mnataka mumfunge Berkane na Orlando. Mda si mrefu mtaanza GSM anaharibu ligi.
 
Mzee ajibiwe kwa hoja!!, mnataka mmpoke madaraka yake kwa kigezo Cha utulivu na matokeo ya uwanjani?. Viongozi waliotangaza huo uchaguzi wana mamlaka hayo?, kwanini aonewe wakati yeye ndiye anapaswa kusikilizwa na Bodi!.
Muda wake umeisha kwa mujibu wa katiba ya simba.
 
Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.

Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.

Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.

Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah
Mangungu pambania timu baba tunakuaminia! Ukizembea timu inaenda na Mwamedi!
 
Jibu hoja zake ... Unamkutaa bila sababu😅. Mangungu ni kama maji tu, usipomnywa utamuoga na usipomuoga utamnywa 😅.
Hakuna hoja bila uthibitisho wa madai yake , tutajuaje kaibukia kilabuni kanywa gongo zake na kuaanza ropoka
 
Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.

Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.

Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.

Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah
Kuna siku mtakuja kumuelewa tulizeni vichwa vyenu.
 
Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.

Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.

Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.

Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah

Sasa kosa lake nini? Yeye amesisitiza tu taratibu zifuatwe. Inawezekana tukafuata taratibu na tukajiandaa na chamoions league tukiwa na umoja.
 
Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.

Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.

Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.

Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah
Ndugu mjumbe punguza munqari
 
Back
Top Bottom