bastola

Hari Nath Bastola is a Nepalese politician, belonging to the Nepali Congress. He was elected to the Pratinidhi Sabha in the 1994 election from the Sunsari-4 constituency with 16922 votes.

View More On Wikipedia.org
  1. Chachu Ombara

    Mmiliki wa silaha kinyume na sheria kutoshtakiwa ikiwa atasalimisha silaha yake

    Serikali imekuja na sheria ambayo itampa msamaha mtu yeyote anayemiliki silaha kinyume na sheria ikiwa ataisalimisha silaha hiyo kuanzia Novemba 1 mpaka 30 Novemba 2021. AMNESTY FOR ILLEGAL FIREARM OWNERS The Government of Tanzania has granted amnesty for illegal firearm owners to surrender...
  2. beth

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  3. M

    Askofu Gwajima umekuwa na maadui wengi usisahau kutembea na bastola yako yasije yakajirudia ya kipindi kile

    Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali. Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii. Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora...
  4. J

    Shuhuda: Gaidi alishuka kwenye gari akiwa na bastola na kuanza kuwapiga risasi polisi

    Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho. Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni...
  5. Jembe Jembe

    Shahidi: Sabaya alinifunga Pingu miguu na Mikono na nilipigwa nusu ya kifo

    Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
  6. chiembe

    Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

    Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
  7. LellozWho

    Leseni ya umiliki silaha Vs Leseni ya udereva ipi imeleta madhara zaidi?

    Sina takwimu kamili Issue ya umiliki wa silaha imeleta fikra/ hisia/ mawazo mengi kwa Watanzania hasa baada ya taarifa za wiki iliyoisha(weekend). Kikubwa nimejifunza Wengi wanalaani umilikishwaji wa silaha kwa watu.(kiholela) Ingawa process ni ndefu. Wanakemea na kuiomba serikali Au taasisi...
  8. Mshana Jr

    Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

    Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new! Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama...
  9. Sir John Deere

    Moshi: Fedha zilizotengwa kununua Bastola ya Mkurugenzi kurejeshwa

    Meya wa manispaa ya Moshi Mh.Juma Raibu ameagiza uongozi wa manispaa hiyo kurejesha Fedha kiasi cha Tsh.3.2 milioni zilizotengwa kwaajili ya kununua Bastola ya Mkurugenzi wa manispaa. ======= Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya...
  10. GeoMex

    Meya wa Moshi aagiza Sh3.2 milioni za kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa. Raibu ametoa tamko hilo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa...
  11. Suley2019

    Tunataka majibu: Ni nani aliyemtishia Nape Nnauye kwa Bastola?

    Mnamo tarehe 23 mwaka 2017 Mbunge wa Mtama Ndugu Nape Nnauye alitishiwa bastola hadharani na mtu asiyejulikana. MARCH 23, 2017, Rais John Magufulli aimteua Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Waziri wa Sheria na Masuala ya Katiba, kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Sanaa na Michezo, nafasi iliyokuwa...
  12. Analogia Malenga

    Mbaroni kwa kutishia kuua kwa bastola

    MFANYABIASHARA, Adelard Lyakurwa (58), anayefanya shughi uli zake Kariakoo amepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shtaka moja la kutishia kumuua mfanyabiashara mwenzie marufu, Valence Lekule kwa silaha, Bastola Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo...
  13. B

    Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

    Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Peter Toima Kiroya anadaiwa kumshushia kipigo mkewe, Philomena Toima mpaka kufikia hatua ya kukimbizwa hospitalini kupatiwa matibabu. Tayari suala hilo limeshatinga polisi ambapo mwanamke huyo alifika katika kituo...
  14. J

    Polisi: Bastola ya Nape Nnauye iliyoibwa nyumbani kwake Kawe Beach imepatikana mkoani Mbeya

    Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam imesema silaha ya mbunge wa Mtama mkoani Lindi iliyoibiwa kupitia dirishani nyumbani kwake Kawe beach jijini Dar es salaam imepatikana. Silaha hiyo aina ya bastola ikiwa na risasi 14 imepatikana mkoani Mbeya baada ya ushirikiano wa polisi wa mikoa hiyo...
  15. FrankLutazamba

    Je, ni halali au haramu kumiliki Upupu (uwashao) kwa siye tusio na kibali cha kumiliki bastola za kujilinda dhidi ya wezi na wakabaji!

    Jamani bado sijui ikiwa Upupu ni haramu au la! Maana kuna mitaa kuna wapiga roba maarufu, sasa tusio na vibali vya kumiliki silaha tunaruhusiwa kuumiliki kama njia moja wapo ya kujihami kwa tunaojua kuutumia?
  16. The Sheriff

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam lakamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti. Tukio la kwanza ,Mnamo tarehe...
  17. Nyendo

    Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu Mwanza akamatwa kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili kwa risasi

    Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu jijini Mwanza, Salum Othuman (44) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili, akiwemo mpenzi wake Happiness Israel (32). Anadaiwa kumpiga risasi ya mguuni mpenzi wake baada ya kutokea ugomvi wakati wakiwa chumbani...
  18. pansophy

    Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Habari wanajamvini Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
  19. real G

    Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako. Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi. Haapa...
Back
Top Bottom