Hari Nath Bastola is a Nepalese politician, belonging to the Nepali Congress. He was elected to the Pratinidhi Sabha in the 1994 election from the Sunsari-4 constituency with 16922 votes.
Samaleko wana jukwaaa! Ni habari iliyozua gumzo katika mji mdogo wa Himo mkaoni Kilimanjaro.
====
Ni mauaji yaliyotikisa mji wa kibiashara wa Himo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, baada ya mfanyabiashara mashuhuri katika mji huo, Kennedy Minja (47) kudaiwa kumfyatulia risasi na kumuua papo...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ameeleza kuwa Jeshi la Polisi linamshikilia Elias Obadia Mwaimse [30] Mkazi wa Mikoroshini Wilaya ya Kyela kwa tuhuma ya kuvunja ofisi mchana na kuiba silaha moja aina ya Short Gun yenye namba T.26444, TZ CAR NA.55089 na risasi zake 17...
Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
James Alex mkazi wa Vibaoni na Ally Waziri, Mkazi wa Bomani aliyekuwa mlinzi wa ofisi, wamepandishwa Kizimbani wakikabiliwa na makosa 4 yanayohusu tukio hilo
Watuhumiwa walitenda kosa hilo Novemba 30, 2022 kwa kuiba Bastola 2 zenye usajili wa CAR NO F. 40326W na Risasi 15 na nyingine yenye...
Tanga. Watu wasiojulikana wamevunja mlango wa ofisi ya Kamanda wa Takukuru wilayani Handeni na kuiba bastola mbili zilizokuwa na jumla ya risasi 21.
Habari zilizolifikia Mwananchi jana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Henry Mwaibambe zinasema tukio hilo lilitokea usiku wa...
Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) .
Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji.
Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki.
Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
Hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zangu mara gafla kuna mtu anatoa bastola.
Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo.
Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan...
Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola.
Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola.
Kama kuna huo ulazima wa kumiliki silaha unaothibitika, nashauri mamlaka irahisishe mchakato wa kuwapatia silaha wale watu wanaothibitisha wako mazingira hatarishi ya uvamizi...
Mie si mshari, mchokozi na wala sina hasira.
Lakini toka majuzi panya rodi walipotetemesha hadi Kunduchi nikaona sasa wacha mbwai iwe mbwai.
Wanaume wa kanda Maalum Musoma wamezidi kutucheka.
Panya rodi mkiniona na subaru ya bluu na nakunywa mitaa ya Kunduchi njooni mnisalimie.
Nina salaam zenu.
Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.
Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa!
Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani.
Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii!
Wanaume wa Dar es salaam...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata bastola na mkasi mkubwa zilizotelekezwa na watu wawili ambao bado wanaendelea kutafutwa na jeshi hilo.
Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Mbeya, Ulrich O. Matei amesema leo Machi 28., 2022 majira ya saa 06:30 asubuhi maeneo ya Uhindini, Kata na Tarafa ya Sisimba...
Kweli elimu haina mwisho, wote wenye mamlaka na madaraka leo heshimu watu, ogopeni watu, tumikieni watu na kuweni na kiasi, maana leo haifanani kila kitu na kesho. Kuna jamaa mchana kweupe alitaka kumtwanga risasi kiboya Mh. Nape ambae leo ni waziri tena.
Yule jamaa anajisikiaje leo kama bado...
Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani...
Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani...
Mzuka wanajamvi!
Huyu jamaa alikuwa 'shortsighted'. Wenzake aliotumwa nao walikuwa wataratibu sana yeye kimbelembele. Sasa leo Nape kateuliwa tena kwenye Ile nafasi.
Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho...
Miaka kadhaa iliyopita kabla sijafulia nikiwa kwenye kilele cha ukwasi niliopoa binti mmoja mtoto mzuri sana ila mpekupeku.wale wanawake ukienda bafuni unakuta kaishasoma sms zako zote na kaishakusachi,wale ukilala anachukua kidole chako anaweka kwenye simu ili kufungua biometric password,demu...
Yasemekana mshitakiwa #2 alikamatwa na bastola ambalo anakanusha.
Kwamba alikamatwa na bastola au hakukamatwa na bastola, hayo ni mambo mengine.
Kukamatwa na bunduki kinyume cha sheria mbona bado ni msala usio kuwa na kifani?
Kwanini upande wa mashtaka wameshupalia zaidi namba kuliko hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.