bastola

Hari Nath Bastola is a Nepalese politician, belonging to the Nepali Congress. He was elected to the Pratinidhi Sabha in the 1994 election from the Sunsari-4 constituency with 16922 votes.

View More On Wikipedia.org
  1. Munch wa Annabelle

    Takribani Watu 8 wauawa Canada na wengine kujeruhiwa kwa bastola

    Mshambuliaji aliwaua watu angalau wanane na kujeruhi wengi zaidi katika shule ya upili katika mji mdogo wa mlima wa Tumbler Ridge, Canada, siku ya Jumanne. Mshukiwa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye alikuwa ameacha shule hiyo takriban miaka minne iliyopita, polisi walisema. Alizaliwa...
  2. Just Pray

    Polisi Songwe: Henry Mboya alikamatwa kwa tuhuma za jinai zinazomkabili. Alikutwa na bastola bandia na koti moja lenye nembo ya SUMA JKT

    Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi. Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
  3. Pdidy

    Bastola ya dogo janja anamiliki kihalali??Tuanzie hapa kama sio nani mmiliki?

    Ndugu wa jeshi la polisi. Nimeona hii kashfa ya dogo janja msanii kumpiga mwanafunzi. Imenihuzunisha sana sana. Awali ya yote chunguzeni. Uhaalali wa hio siila kwa dogo janja..anamiliki kihalali. Kama sio nani alimpa? Na nani mmiliki mtujuze mapema tu. Na kama anamiliki kihalali nashairi...
  4. R

    Mwanaume mwenye bastola awaua watu watatu na kujerui wawili, Nevada-Marekani

    Mtu mmoja mwenye bastola alifyatua risasi nje ya kasino ya Grand Sierra Resort mjini Reno, Nevada siku ya Jumatatu Julai 28,2025 saa 1:30 asubuhi kwa saa za Marekani. Tukio hilo lilitokea katika eneo la maegesho karibu na sehemu ya valet ambapo mtuhumiwa, mwanaume mtu mzima ambaye hakutajwa...
  5. R

    Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  6. Mcheza Viduku

    Dada poa ana bastola......!!??

    Nyiee......tusichoshane kwa salamu bana kwanza huwa haisaidii kitu. Ninakuandikia huu mkasa wa kweli kabisa ulionikuta mimi mwenyewe. Mwaka wa kwanza tu tangu yule mwamba kutoka Chato amechukua kampuni kuiongoza, siku ile nilikuwa Mwanza kwenye Club moja iliyowika sana kutokana na huduma zao...
  7. 05CUBA

    Just for fun: ni ujinga gani hata ushikiwe bastola kichwani huezi acha kufanya ???

    Mimi nimefeli kuacha kutandika mikeka wazee ... Yan napata hasara Ila nikisipotandika mkeka siwez kula Wala kulala.
  8. UHURUWANGU

    Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Upelelezi wapiga kalenda kesi vigogo wa CCM wanaodaiwa kumuua Katibu wa chama hicho Wilaya ya Kilolo

    Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...
  10. Right Marker

    Kwa wivu mbaya uliokuwa nao halafu unataka kumiliki bastola

    📖Mhadhara (74)✍️ Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana. Wapo wanaume ambao wana tabia zifuatazo.... ✓ Mke akienda sokoni akirudi anafanyiwa ukaguzi wa mwili, kama vile kukaguliwa...
  11. Mfilisiti

    Mtanzania akionyeshwa bastola au akisikia mrindimo wa risasi basi hata eneo la tukio hatakanyaga na atakimbia mithiri ya kuvunja miguu

    Tafakuri ya leo. Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa?? Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu?? Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi...
  12. Mtoa Taarifa

    Kesi ya Mtumishi wa TRA aliyetishia Bastola na kujeruhi mtu Club 1245 yapigwa Kalenda hadi Januari 21, 2024

    Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na kitako cha bastola, imepangwa kuanza kusikilizwa ushahidi Januari 21, 2025, katika Mahakama ya Wilaya...
  13. M

    Alitishia mtu bastola na kumjeruhi alitakiwa kusomewa Ph leo kisha mashahidi tuanze kutoa ushahidi maana kila Mtanzania ameona kwa macho yake

    Kwa nini kesi iahirishwe mpaka tarehe 20 Novemba wakati upelelezi umekamilika? Upelelezi ukikamilika kinachofuata ni kusoma maelezo ya awali yaani Ph. Sasa hapa kwa nini kesi itajwe tar 20? Hapa mazingira ya rushwa. Soma Pia: Afisa wa TRA aliyemjeruhi mtu kwa Bastola aachiwa kwa Dhamana...
  14. Mtoa Taarifa

    Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana

    Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha. Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi...
  15. mr pipa

    Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

    Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao. Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
  16. Yoda

    Kwanini Polisi wa Afrika huwa wanabeba bunduki kubwa/ mitutu/ rifles badala ya bastola?

    Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi. Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
  17. D

    Makonda anasema hatomsaliti Hayati Magufuli hata kwa bastola, ilihali tayari kashamsaliti kama ifuatavyo

    Katibu mwenezi akiwa ziarani mkoani geita kasema hivi! Yeye siyo mnafiki kama CCM wengine waliomsaliti Magufuli na kumkana, Yeye Paul Makonda kasema Magufuli ndiye kiongozi wake ambaye hatoweza kumsaliti hata kama atawekewa bastola kichwani" HAYO MANENO KAYATAMKA Mbele ya umati, pia kaenda...
  18. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini: Waziri asimulia alivyotishiwa kwa kuwekewa Bastola kichwani kisha wezi wakamuibia

    Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi la gari lililopasuka Jijini Johannesburg. Amesema wezi waliwafamia wakati walinzi wake wakibadilisha...
  19. S

    Watanzania tulihuzunika na Nape alipotolewa bastola hadharani lakini hivi sasa anatulipa jeuri na kiburi?

    Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake. Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo...
  20. Suley2019

    Dar: Asalimisha Bastola na risasi kwa Polisi, adai uhalifu haulipi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ikiwa ni pamoja na kushirikisha wananchi katika kuzuia, kubaini, na kupambana na vitendo vya kihalifu kuanzia ngazi ya mtaa. Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi wema limefanikiwa...
Back
Top Bottom