basi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama siyo TANESCO Basi Waziri mwenye dhamana ya umeme acha kupuuza kelele za mitandao ya kijamii

    Nadhani lipo tatizo lakukatika umeme mara kwa mara hasa Dar, hii ni kwa mujibu wa wananchi wanaotumia social media. Mliopo dar mnaweza kusaidia kama Kuna ukweli ndani ya hizi habari. Lakini nichukue fursa hii kuwakumbusha Tanesco au Wizara kuchukua hatua. Kama kelele hizi zina ukweli watafute...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ukiona au kuhisi Idara nyeti ya Usalama unapambana na watu ndani basi anza kulia

    Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao. Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Karibu kwenye njia ya mwendokasi kuelekea utajiri na mafanikio, huku ni spidi kali kama unaogopa basi shika

    Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imeamua Somalia ikimwaga mboga basi Kenya itamwaga Ugali

    Wiki iliyopita Somalia iliamua kufurusha Balozi wa Kenya nchini humo kwa madai kuwa Kenya ina interfere na siasa ya Somalia. Sasa kwa sababu Somalia ndio wamelianzisha basi sisi tunalipiza tu mapigo. Sasa Kenya imealika President wa Somaliland kuja Kenya on a state visit. Hakuna nchi yoyote...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ndiyo basi tena ulimwengu wa fialmu, kwisha habari yake!

    nimetoka kuingalia filamu ya 'Dragons Forever' ya kina Jackie Chan, Sammo Hung na Yuen Biao hivi punde kupitia Rembo tv. dah, nimekumbuka mbali sana........ucheshi, uchangamfu na uhalisia uliopo humo ukanikumbusha na filamu zingine nyingi za namna hiyo za miaka ya 90 zilizojaa raha na burudani...
  7. K

    JamiiForums Tanzania App developer wa Tanzania kuweni serious basi

    ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi App iko...
  8. JamiiForums Tanzania Sarah na Harmonize ndio basi tena

    KAMA ulikuwa unadhani ile ishu ya Harmonize n Sarah juu ya kitendo cha nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya kumposti mtoto akidai ni wake imeisha, pole. Kwani wazi ni hatma ya ndoa ya wawili hao imeshikiliwa na uzi mwembamba baada ya Sarah kutangaza kubwaga manyanga na kutoa ruksa kwa Harmonize...
  9. JamiiForums Tanzania Tutakumbushana tena 2025 Magufuli kama atakubali kuachia madaraka basi atalazimisha kutuachia Rais anayependa yeye

    Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo 1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya...
  10. JamiiForums Tanzania Endapo kuna mtu au kikundi cha watu kipo juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa halipo huru

    Wanajamvi, Kama kwenye Taifa kuna mtu au kikundi cha watu ambao wako juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa hilo siyo huru. Bali litakuwa linaongozwa na kundi hilo. Ngoja kitu kimoja tulivyokuwa wajinga kama Taifa. Na ujinga siyo tusi, maana unafutika, ila ni adui mkubwa wa maendeleo tokea...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo chagueni moja basi

    Unaskia wadada wana compliment kwa mwenzao hivi jamani nyie wakaka romantic and loving namna hii wanapatikanaga wapi? You women have choices to make in life mjue. Unahitaji jamaa awe ana cling to you kama hereni na sikio kila mahali upo naye, he gives you all his time of the day akupe nafasi...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiona maisha yako ni magumu basi jua kuwa kuna Mtu amekuchezea (amekuroga)

    Habari zenu, Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi. Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu. Haijalishi umesoma au...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ndoto ni "reflection" ya mawazo tunayowaza kabla hatujalala?

    Salaam kwenu wadau hapa mjengoni JF! Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenfanya nitafakari ule msemo watu huwa wanasema eti ndoto ni "reflection" ya mawazo tunayowaza tukiwa hatujalala. Ndoto yenyewe iko hivi: Nilikua maeneo ya mtaani nikabanwa na haja kubwa, basi nkacheki...
  14. JamiiForums Tanzania Arusha to Dar kwa basi la harambee ni kama azabu

    Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana. Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA ni Saccos basi CCM ni kioski

    Kwa muda mrefu katika ukumbi huu CHADEMA imekuwa ikiitwa (reffered to) kama saccos. Wanaoiita CHADEMA saccos nadhami wana maana kwamba chama kinaendeshwa kwa matakwa ya watu wachache tofauti na matakwa ya Wanachama kwa ujumla. Kwa mtazamao wangu kama ni hivyo basi CCM ni kioski. Kwa nini nasema...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

    Akihojiwa na kituo cha habari cha Sauti ya Ujerumani, Jenerali ulimwengu amesema kuwa zoezi la uchaguzi mkuu halikuwa huru na haki na kwamba tangu mchakato wa upinzani uanze, wapinzani walitendewa mambo ambayo kimsingi ukiyaangalia siyo fair kabisa. Jenerali amekumbushia kauli ya Magufuli...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Cloutus Chama tunayemwimba kwenye mpira wetu wa Bongo kwenye Timu yake ya Taifa hayupo hata reserve basi Ligi yetu ya Bongo ina walakini

    Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye...
  18. JamiiForums Tanzania Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia

    Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34. Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
  19. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

    Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
  20. JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood

    Watu zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya basi la Abood (T 266 DBV) walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kwenda Dar es salaam kupinduka mara mbili katika eneo la Ruvu wilayani Kibaha. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wameiambia TBC kwamba ajali hiyo imetokea majira ya saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…