basi

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchukueni kabisa basi na Msaliti mwingine Inonga kwani tulishawajua Siku nyingi kuwa mlikuwa mkiwatumia Kutuumiza

    Hongereni ila mwambieni tu kuwa asiwe anasahau kutumia Dawa zake za VRA kwani yule Demu wake yuko Hoi sasa.
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kufumaniwa basi tupe uzoefu wako.

    Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

    MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman aliwahi kusema, Mhubiri 7:17 [17]Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa kifedha kupitia mama ako basi usisubiri hadi upate hela nyingi. Fanya kama haya

    Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku. Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki. Siku...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wakili Harold Sungusia: Kama tunatazama maslahi mapana ya Taifa basi tutatoa mapendekezo ya Katiba Mpya ambayo hayana ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama una mipango ya kununua subwoofer basi usithubutu kununua hii subwoofer.

    From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya miezi miwili ilianza kujizima ukiwasha unasikiliza hazipiti hata dk 2 inazima Ikabidi nirudishe dukani...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye basi la Kilimanjaro latangazwa kupigwa mnada

    Kampuni ya udalali ya Legit Auctin Mart ya Dar es Salaam imetangaza mnada wa kuuza basi la kampuni ya Kilimanjaro Express kwa amri ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam. Kutangazwa kuuzwa kwa basi hilo kutokana na kampuni la Kilimanjaro kushindwa kulipa deni la shilingi milioni mia tatu...
  8. Songambele

    JamiiForums Tanzania Basi za Udart ziko wapi???

    Tukikumbuka ahadi za wanasiasa na siasa zao uhsusani kipindi hiki cha uchaguzi tunamalizia ni watu wale wale na mambo yale yale. Nakumbuka wakati ule waziri kama sikosei Bashungwa alipiga mpaka ziara katika mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam. Ukiwa mgeni unaweza fikiri wako serious kumbe...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vitu vizuri havihitaji Watu wanaopenda utulivu wa bwerere. Kama hupendi changamoto basi vitu vizuri sio halali yako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere. Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko. Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto. Hata...
  10. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

    Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake

    Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu? Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote? Hata wachungaji/mapadre wenyewe...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

    We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Sitamani Ukuu wa Mkoa - ikitokea nikawa basi ukali wangu ni zaidi ya Paul Makonda

    Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona. * Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa! * Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Upinzani, jiandaeni basi walau hata kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani

    kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao. hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
  16. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una Mume asiyechepuka, basi ana mojawapo kati ya sababu hizi

    1) Hana pesa 2) Ni Mwenye hofu ya Mungu. 3) Ni mgonjwa. Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya sheria ya Ndoa kufanyiwa maboresho, watu wakizaa pamoja basi ihesabike ni Ndoa halali

    Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
  18. D

    JamiiForums Tanzania Simba ndio basi tena?

    Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka! Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita. Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
  20. excel

    JamiiForums Tanzania Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
Back
Top Bottom