basata

Ras Burqa, (“head of the blessing” in Ararbic) is a small bay on the Red Sea in the district of Nuwaiba, Egypt.
In 1985, Suleiman Khater, a lone Egyptian assailant, perpetrated the Ras Burqa massacre killing eight people.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania BASATA: Harmonize amepewa mwezi 1 wa uangalizi

    TAARIFA KWA UMMA Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linapenda kuujulisha umma na wadau wa Sanaa kwamba Msanii Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize amefika BASATA leo tarehe 02/10/2026 na kutekeleza masharti aliyopewa kabla ya kuendelea na shughuli za Sanaa. Hata hivyo Msanii husika amepewa...
  2. JamiiForums Tanzania Makonda na BASATA: Dudubaya sasa ni talk of the world. Fungieni na hii video kama nyie vodume

    YOU BERA WACH YUA BAACK, HALI NI MBAYA
  3. JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  4. K

    JamiiForums Tanzania BASATA haina faida ni genge la upigaji tu!

    Kazi ya Basata ni kupiga faini tu. Haijajenga chuo chochote cha sananaa kwa mfano pesa zao hazijulikani zinaenda wapi. Wanaweza waka amka leo ni kutafuta milioni 30 kwa kupiga faini wasanii. Itafika wakati wasanii wa kike hata kuvaa suruali itakuwa faini! Lakini kibaya wenzao wanao shindana nao...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Makonda ndo Kaelekeza BASATA Wamfungie God? (Dudubaya kisa maneno yake kwenye Stage?

    Nathani BASATA hawapewi ruzuku na Serikali. Wanaishi kwa Jasho la Wasanii kwa kuwapiga faini kisha wanalipana Posho. Sababu za BASATA kupiga watu fani huwa hazieleweki. Wakikuona umepata hela, wanasubiri ukohoe. Godfrey Tumaini (Dudubaya) hatishwi na na kufungiwa. Alikaa bila nyimbo zake...
  6. 3

    JamiiForums Tanzania Nandy afafanua vazi la Miss Universe baada ya kikao na BASATA

    Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe. Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake...
  7. JamiiForums Tanzania BASATA yawataka Nandy, Harmonize, Director Kenny na Millen Magese kufika ofisini kwake

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), lililo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, limetoa wito rasmi kwa wasanii na wadau mashuhuri wa sanaa nchini wakiwemo Nandy, Harmonize, Director Kenny, na Millen Magese. Wito huo unawataka kufika bila kukosa katika Jengo la Utumishi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini BASATA na Bodi ya Filamu Tanzania Zisiunganishwe?

    Swali langu ni hili: Je, kuna sababu ya msingi ya kuendelea kuwa na BASATA na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) kama taasisi mbili tofauti, wakati maeneo ya majukumu yao yanaingiliana kwa kiasi kikubwa? 1. BASATA inasimamia nini? Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeanzishwa chini ya Sheria ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gigy Money aitwa BASATA

    Gigy anasema ana taharuki hajui kaitiwa nini, ila kaahidi akitoka atakuja kusema maana siyo muongo, pia kasema acha aende huenda anaweza kupewa cheo hata cha kusimamia wanayama Pia soma: Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki
  10. JamiiForums Tanzania BASATA: Wasanii na Wadau wa Sanaa wahuishe vibali vyao kabla ya Septemba 3, 2026

    Kwa mujibu wa Kanuni ya 18 (1) na (2) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, Tangazo la Serikali Na. 137 la Tarehe 22 Mei, 2026 linapa Mamlaka Baraza la Sanaa la Taifa kurasimisha Wasanii na Wadau wa Sanaa pamoja na kutoa vibali vya kufanya shughuli zote za Sanaa hapa nchini. Ifuatayo ni orodha...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

    Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi! Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za...
  12. JamiiForums Tanzania BASATA mfumo wenu wa AMIS haufunguki karibu wiki ya pili sasa na watu wanashindwa kulipia leseni au mmeminya makusudi kuna rushwa hukoo!

    Nchi hì hata kama utakuwa na moyo wa kulipa kodi na mapato kwa hiyari bado utakumbana na changamoto tu za kukufanya uachane na mpango huo, ukitaka kulipia leseni za sanaa na saloon unalazimika kuwa na namba kutoka BASATA ambazo itazipata kwenye mfumo wao wa AMIS ,lakini cha ajabu mfumo wao huo...
  13. JamiiForums Tanzania Hongera BASATA kwa kuua Vipaji na Wasanii, Je, Chini ya Makonda, Sanaa itainuka tena?

    Salaam Wakuu, Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa. BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani. Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha. Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna...
  14. JamiiForums Tanzania BASATA: Wasanii binafsi, MC, DJ, wapika keki, Mapromota, mameneja wa wasanii na studio mnatakiwa kujisajili

    WASANII BINAFSI, MC, DJ, WAPAMBAJI, WAPIKA KEKI, MAPROMOTA, MAMENEJA WA WASANII, STUDIO ZA KUREKODI MIZIKI NA WAFANYABIASHARA WA KAZI ZA SANAA Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wadau wote wa sekta ya Sanaa tajwa hapo juu KUJISAJILI na kuwa na VIBALI hai vya BASATA BASATA, kwa...
  15. JamiiForums Tanzania BASATA inatumia vigezo gani kumpiga faini 3m mtu ambaye hajajisajili kwenye baraza lao?

    Hili baraza lina vituko. Limesema kuwa mtuhumiwa hajajisajili kwenye baraza lao kama msanii halafu mwishoni linamtoza Tsh 3m. Hii sijaelewa kabisa...!! Kimsingi huyu mtu anatakiwa afikishwe mahakamani kwa mujibu wa sheria ya makosa ya mtandaoni. Video aliyopost inatosha kabisa kumfungulia kesi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Halima Nyakanga afungiwa na BASATA kwa miaka 3 na faini ya Tsh milioni 3

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili. Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wapika keki wasajiliwe na BASATA?

    Ninajitahidi kuelewa ila nimeshindwa kabisa kuelewa kwanini wapika keki wasajiliwe na BASATA. Kama sherehe ni matukio ya sanaa inabidi hata BURIAL CEREMONIES nako wahusike pia. Wasajili wapishi, wachimba kaburi, na waendesha ibada za maziko. Kwangu mimi hii sheria ya BASATA kusajili hadi wapika...
  18. JamiiForums Tanzania BASATA: Ma-DJ na MC wasio na kibali kutozwa faini hadi Tsh. 3 Milioni au Kufungiwa

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini. BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa...
  19. JamiiForums Tanzania BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Habari wana JF, Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika. Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
  20. JamiiForums Tanzania BASATA: Mwisho wa Ma-DJ, na MC kufanya kazi bila kujisajili ni Januari 31, 2026

    TAARIFA KWA UMMA WAONGOZA SHEREHE, BURUDANI NA MATUKIO (MC), MANJU MUZIKI (DJ) NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 31 JANUARI, 2026. 29 Disemba, 2025 Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…