Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra.
Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu.
Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
Mh Waziri.
Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua.
Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki zinafanyia uharamia wa kupita kiwango.
Mtumishi akikopa anatozwa gharama 100% zinazoonesha...
Marekani imeonya.
Nchi za Ulaya zinaonya.
DUA-Africa inaonya.
IDU-The International Democracy Union ilionya.
Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini.
Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0.
Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa...
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu
Mpendwa Sheikh Ponda,
Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko...
Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
askofu gwajima
barua
fake
gwajima
halali
hisia
kanisa
kanisa la askofu gwajima
kanisa la gwajima
kibatala
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mitandaoni
moderator
ndani
peter kibatala
sakata
sintofahamu
thread
waziri
yangu
Wanabodi
N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events!
1. Utangulizi
Binadamu hatufanani, kuna watu ni wenye bahati, very fortunate, wengine wako kama...
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo,
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"-...
Habari Wana JF,Miaka ya nyuma huko1960.......1990,Tuliokuwepo, unaenda posta unakoroga simu kwa operator,anskuitikia unataka namba baadae anakuunganisha unaongea na kutumbukiza hela ya muda wa Maongezi .
Kama huna hela unasema reverse call,akikubali unayempigia kwamba itaingia kwenye bill...
Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa;
Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
📆 Mei 29, 2025 Jioni...
Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu:
"John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu
Sikupoteza muda... Nikaamua...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.