barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana kimafanikio kuliko nilivo sasa. Kipindi namaliza O' level baada ya matokeo kutoka nikapangwa Moshi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mnyika hawaandikii barua wabunge wa Chadema kuwaelezea hatua zilizochukuliwa na Kamati Kuu dhidi yao?

    Hadi leo wabunge watatu Mh. Lwakatare, Mh. Silinde na Mh. Lijualikali wameshalalamika mbele ya bunge na vyombo vya habari kwamba hawajapewa barua na chama chao kuwaelezea maamuzi ya kikao cha kamati kuu. Wajibu wa kuwaandikia barua hizo ni wa Katibu Mkuu mh John Mnyika lakini amesita kufanya...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Uhuru Kenyatta: Ungetatua kwanza mgogoro na Wananchi wako si Tanzania

    Ndugu yangu Uhuru aka Kamwana, Kuna mambo umeyafanya ambayo yameleta ghadhabu wa wakenya sasa unataka kutupia lawama mataifa jirani kama ambavyo Trump anavyolaumu China kwa matatizo yake ya ndani. Ushauri wangu tulia jifunze kutatua matatizo wa wanakenya kwa kutumia mikakati ya kimagharibi...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili kwenye kichwa cha barua ya maombi ya ajira /kazi

    Habari vijana wenzangu? Sehemu iliyopita nilionyesha makosa wanayofanya vijana katika kuomba kazi hususasani kwenye taasisi za serikali. Leo pia nitaeleza shortly juu ya kosa moja dogo nililoliona kwa vijana wetu Tanzania. Kabla hujatuma maombi ya kazi jua kuwa hilo tangazo limetazamwa na...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wanaotaka nimfukuze Cecil Mwambe Bungeni, wamwambie aniandikie barua ya kujiuzulu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya kujiuzulu kwake, halafu waone kama ataendelea kukaa Bungeni. Spika Ndugai amesema hayo Bungeni leo Mei 12, 2020 na kusema kuwa maamuzi hayo yote ya...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania "Kufukuzwa" kwa Meya Boniface Jacob: Utumishi wa umma umeingiliwa

    Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua . Vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

    Na Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano @MSalimu Mheshimiwa Rais, kwanza nianze kwa kusema, hakuna mtu yoyote mwenye akili zake timamu atakayeulaumu uongozi wako kwa kuleta ugonjwa wa korona. Sio kosa lako! Ugonjwa huu hauna mjanja, umetoka ulikotoka, na umeenea kila mahala. Naamini tusingeweza kuuzuia...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Google yazuia mamilioni ya barua pepe za wadukuzi

    Wadukuzi wa mtandaoni huwa wanatuma barua pepe milioni 18 kila siku zenye ujumbe wa uongo kuhusu ugonjwa wa Covid-19, kwa mujibu wa Google. Mataalamu wa teknolojia anasema mlipuko wa ugonjwa huo umesababisha uhalifu wa mtandaoni kukua kwa kasi huku wakijaribu kutumia mbinu mbalimbali ili kuvamia...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu: Tukiongeza haya tutazuia maambukizi zaidi

    Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. K.Majaliwa (MB) Binafsi ninatambua jitihada kubwa sana ambazo Serikali imekuwa ikifanya tangu kutokea kwa mlipuko wa COVID-19 duniani na hata baada ya kuanza kupata kesi hapa nchini. Serikali chini ya uratibu wako ukishirikiana na Mh. Ummy...
  10. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Barua ya US Congress kwenda WHO wakiituhumu kushirikiana na China kusambaza virusi vya corona

    Baraza la Congress la Marekani limemwandikia barua Tedros Adhamon ambaye ni DG wa WHO likimtuhumu kuisaidia China kwenye mpango wake wa siri kueneza COVID19 duniani kwa Makusudi. Jisomee mwenyewe hapa👇: April 9, 2020 Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus Director-General World Health Organization 20...
  11. NOT ENOUGH

    JamiiForums Tanzania Naomba kusahihishwa barua yangu ya Kingereza

    Elimu yangu ni form four niliyoipata Shule ya Jumuiya Tanga (Shule ya Jumuiya ya wazazi) na kufaulu daraja la tatu points 23 mwaka 1993. Tokea hapo nimefanya kazi na wazungu mpaka nikafikia level ya umeneja. Sikuwahi kuongeza elimu kabisa. Kama miaka tisa sasa nina kampuni yangu ambayo mimi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais John Pombe Magufuli - Madaktari Bingwa Wabobezi na TCU

    Mheshimiwa Rais! Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania. Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili. Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
  13. Mr Kazembe

    JamiiForums Tanzania Je, inaruhusiwa kumchukulia mtu barua za EMS ambazo imetoka nje ya nchi

    Na barua kutoka Google imeshatumwa Tanzania sasa jinsi ha kuipata na sikuanfika sanduku lolote nimetuma hivi: BAKARI JUMA SALUMU KINONDONI DAR ES SALAAM 11000 TANZANIA Hivo ndo nilivi jaza kwenye address yangu HAPO SIJATUMIA PO BOX SASA JE NINAWEZA IPATA BARUA INATOKA ADSENSE...
  14. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya kabudi, Kesho naandika rasmi barua ya kujitoa TUGHE

    Kabudi akiwa anahutubia wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania wa wizara ya mambo ya nje huku niliko, Ameeleza wazi hamna nyongeza ya mshahara kwa mwaka na malipo ya masaa ya ziada yanaondolewa, Kwa vile yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri sitilii shaka kusema yawezekana huu ndio msimamo wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Hai, Ole Sabaya

    Mheshimiwa pole sana na majukumu ya kujenga nchi katika Wilaya ya Hai kwa kujipambanua kwa vitendo kuwatetea wananchi wanyonge katika wilaya yako unayoisimamia bila ubaguzi wa aina yoyote. Hivi karibuni niliona ulipotembelea kiwanda cha mtu binafsi na kumtumbua mtu mmoja ambaye amekuwa akifanya...
  16. BASIASI

    JamiiForums Tanzania EWURA yaiandikia barua Oryx kujieleza kwanini wamepandisha gesi gafla

    Unawezaa ukadharau post za malalamiko hujui nani yuko humu na anasoma nini? EWURA imeiita bodi ya Oryx kujieleleza kwanini wamepandisha bei ya gesi kuwa kubwa hivi Msemaji wa EWURA alipoulizwa amesema ni kweli kuna kampuni tumeita viongozi wake ofisini waje kujieleza na waje na marekebisho...
  17. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sio kosa kuiandikia barua Benki ya Dunia isiipe mkopo Tanzania

    Zitto kuandika barua Benki ya Dunia siyo kosa ndiyo, ila kosa ni kutumia nembo ya Bunge kuiandikia Benki ya Dunia, na kusaini barua kama Mbunge wa JMT, wakati Bunge halikuwa na taarifa rasmi kuhusiana na barua yake hiyo. Zitto alitakiwa aandike barua hiyo kama Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo...
  18. Charlzdeo 97

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  19. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma kuingizwa kwenye bajeti ya 2020/2021 ili kurekebishiwa cheo lakini kupata barua mwaka 2022

    Wajuzi wa mambo naomba tuelemishane hapa. Kuna ndugu yangu ambaye kwa sasa ni Afisa Biashara daraja la kwanza katika moja ya Halmashauri za manispaa nchini. Katika kufuatilia kwake ili arekebishiwe cheo chake ili awe Afisa Biashara Mwandamizi ameambiwa ataingizwa katika bajeti ya mwaka...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai barua yake kwa Benki ya Dunia inapotoshwa. Asema hajazuia mkopo kwa Tanzania bali amewatetea watoto wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandikia uongozi wa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola za Marekani milioni 500 ambao Tanzania imeomba kwa benki hiyo. Akiwa mjini Toronto, Canada juzi, Zitto alidai si lengo lake kuzuia misaada...
Back
Top Bottom