Kwa kauli hii ya kabudi, Kesho naandika rasmi barua ya kujitoa TUGHE

Parabora

JF-Expert Member
Jul 6, 2019
1,504
2,180
Kabudi akiwa anahutubia wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania wa wizara ya mambo ya nje huku niliko, Ameeleza wazi hamna nyongeza ya mshahara kwa mwaka na malipo ya masaa ya ziada yanaondolewa, Kwa vile yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri sitilii shaka kusema yawezekana huu ndio msimamo wa serikali.

Sasa Ili wafanyakazi muendelee kufunga mkanda mwaka ujao wa fedha, Kesho muanze process kuondoa makato ya TUGHE kwenye salary slip zenu,

Maana hiki kikombe ni kizito na lazma mkinywe hamna namna.
TUGHE jiandaeni kupokea barua za watu kuanzi kesho.

parabora
Geneva - Switzerland
 
Kipi kimekuchukua muda wote huu?

Kwa nini hukufanya hilo mapema zaidi?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kipi kimekuchukua muda wote huu?

Kwa nini hukufanya hilo mapema zaidi?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Mkuu Kiranga hapa ni kukabiliana na hii hali ya ufungaji mkanda.
Niongeze minofu kwenye take home, niongeze vipesa vya kununulia unga
 
Back
Top Bottom