bariadi

Bariadi is a town in Tanzania, East Africa. It is the capital of Simiyu Region, and the administrative seat of Bariadi District. Bariadi also refers to Bariadi Ward, an administrative unit in the district.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Bariadi yakumbwa na mlipuko wa kipindupindu

    Ingawa viongozi wa Mkoa na Wilaya hawataki kutoa taarifa kwa jamii juu ya uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu. Ni kuwa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu imekubwa na visa wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu. Kata ambayo inatajwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo ni Kata ya...
  2. kamdudu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Simiyu Bariadi imekuwa kero sana

    Habari Wanajukwaa wa JamiiForums ? Natumai mko salaama. Leo ni nina kero ya muda murefu sana kutokana na umeme wa huku Bariadi Mkoani Simiyu ambao umekua ukikatika na kurudi kila wakati kutwa nzima usiku kucha kama ka mchezo flani hivi. Yaani umeme umaweza ukawaka kama dakika 30 hivi au lisaa...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Wilaya ya Bariadi

    KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU IMEENDELEA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WILAYA YA BARIADI, HALMASHAURI YA BARIADI TC Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 04/12/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 25/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC Katika...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Oparesheni 255: Tundu Lissu afanya mikutano 5 Bariadi Vijijini

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini Kama Kawaida yake, Lissu amewaomba Wananchi waunge mkono chama chake ili Katiba mpya ipatikane sasa badala ya porojo za viongozi wa serikali...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mizigo Bariadi ya Bilioni moja, inakusanya Sh. 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa taifa? Angalieni hiki kituko, uko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Stendi ya Mizigo Bariadi ya Tsh. Bilioni moja, inakusanya Tsh 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa Taifa? Angalieni hiki kituko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Simiyu: Kuna uhaba mkubwa wa mafuta ya Petroli kwenye Wilaya ya Bariadi

    Katika Mji wa Bariadi Makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, mapema Leo Asubuhi kumekumbwa na Changamoto ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli. Nimetembelea vituo vya Mafuta 8 ambavyo vimekuwa vikitoa huduma ya mafuta ambapo vituo vyote 7 havina Mafuta huku kituo kimoja tu Total Energies ndicho chenye...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Halmashauri ya Bariadi yaanzisha Dampo la Kidinda katikati ya makazi ya Wananchi

    Wananchi wa Mtaa wa Majengo, Kata ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu wako katika wakati mgumu kutokana na harufu kali na chafu inayotoka kwenye Dampo la takataka ambalo Halmashauri imelianzisha katikati ya makazi yao. Mbali na harufu kali, Wananchi hao wanalalamikia...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Majambazi wavamia maduka Bariadi, Walinzi wakimbia

    Watu kadhaa wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali wamevamia maduka yanayofanya biashara za miamala ya kifedha katikati ya Mji wa Bariadi usiku wa kuamkia Juni 8, 2023. Wahalifu hao wamevunja milango lakini wakashindwa kuvunja boksi za kuhifadhia fedha ambazo ndizo walikuwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Simiyu: Walinzi soko kuu Bariadi wanajilipa wao wenyewe

    Taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU) imesema kuwa mfumo wa uendeshaji wa soko kuu la Bariadi hauko sahihi kwenye eneo la ulinzi pamoja na mazingira ya ufanyaji Biashara. Kwenye taarifa yake kwa waandishi wa Habari iliyotolewa leo na Naibu mkuu wa taasisi hiyo Aron...
  12. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  13. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Bariadi zimeruhusu uharibifu huu wa Mazingira?

    Ni kama Mamlaka zinazohusika na utunzaji wa mazingira katika Wilaya ya Bariadi, zimeruhusu uharibifu huu wa mazingira unaofanya kwenye vyanzo vya maji. "Uchimbaji wa mchanga katikati ya mito". Uharibifu huu umeanza muda mrefu lakini hakua hatua zinazochukuliwa, wachimbaji wa mchanga wenyewe...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa mpira Bariadi wageuzwa zizi la mifugo

    Uwanja wa michezo Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, ambao utumiwa na wanamichezo mbalimbali, Sasa unatumika kuhifadhi mifugo kama ngo'mbe, mbuzi, na kondoo pia. Taarifa zinasema kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Simon Simalenga, ameufanya uwanja huo kuwa zizi, baada ya kuamua kuhifadhi mifugo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila chapa kazi usitolewe kwenye reli na wapigaji

    Kwa muda mfupi ambacho Kafulila ameongoza Mkoa wa Simiyu tumeshuhudia mageuzi makubwa ikiwemo kumtaka Mkandarasi aliyejenga barabara ya Maswa- Mwigumbi chini ya kiwango kuirudia kwa gharama zake jambo ambalo watangulizi wake hawakuliona kama ni tatizo. Kafulila amesimamia nidhamu ya ukusanyaji...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bariadi, Simiyu: Wanne wafariki papo hapo baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugongana

    Watu wanne wamefariki papo hapo baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugongana usiku huu 12.7.2022, eneo la Nyaumata nje kidogo ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu. Kamanda wa Polisi Mkoa Simiyu, Blasius Chatanda ameiambia STV kuwa ajali hiyo imehusisha magari madogo ya abiria. RPC mkoa wa Simiyu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

    HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea === WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
  19. Fanfa

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi adaiwa kushinikiza wananchi kupiga kura ya siri kuwataja wachawi na wenye Fisi

    Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi. Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bariadi: Watu 7 wafariki katika ajali iliyohusisha Bajaji na lori

    Watu 7 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lenye namba za usajili T172 AUP, ambalo liligongana na Bajaj yenye namba za usajili MC 426 CFQ. Watu saba wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori kugonga...
Back
Top Bottom