barafu

  1. R

    Nashangaa Tanzania intelligence inaruhusu maandamano ya raia, wakati ni jambo dogo TU likifanywa maandano yanayeyuka kama barafu!

    Kwani hao viongozi wa wahuni wapo wangapi Hadi Damu nyingi za watanzania ziendelee kumwagika!!? Viongozi wahuni wakuu hawafiki hata watano lakini namna ya kuwashinikiza inagaharimu uhai wa Tanzania maelfu kwanini!? Kwanini hao wachache msifanye jambo Moja TU na mioyo ya watz ipone na...
  2. Siku nyota aina ya jupiter na Saturn zikitoa energy basi barafu kwenye sayari ya neptune, uranus na pluto zitaondoka

    Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
  3. MEN FITNESS: Barafu changanya maji ?? Inafanyaje kwenye uso

    Wakuu “Maji ukichanganya kwenye chenga za barafu afu ukawa unaloweka uso umo kwa dk kadhaa na kutoa “ Hii inasaidia nn? naona watu wa fitness wengi kutoka nje wanafanya Watalaam wa skin na fitness tupeni nondo
  4. Barafu imeshamiri Mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili leo

    KILI YANG'ARA
  5. Barafu katika jangwa la saud Arabia!

    Through my study! it’s a polar shift, geomagnetic reversals where the earths north and south poles change place .. occurs every 200,000 years or so . Which will disrupt many weather patterns, some considerably with freak storms , tornados , droughts ect #Ps and who’s history ? Our small time in...
  6. Nina wazo la kufungua kiwanda cha kugandisha barafu feri

    Habari za Mchana Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu...
  7. Dunstan Kitandula: Barafu inapungua mlima Kilimanjaro kutokana na kuongezeka kwa joto la Dunia

    Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa misitu imezindua kampeni ya kupanda miti zaidi ya Bilioni moja katika mikoa ya kaskazini ili kunusuru barafu ya Mlima Kilimanjaro. Kampeni hii ya upandaji miti inakwenda sambamba na utekelezaji wa mikakati ya kupanda zaidi ya miti milioni 8 kwa...
  8. Biashara ya barafu

    Soko limekaa vipi kwa jiji la Dar? Mabonge ya barafu kwa wauza maji wauza samaki n.k. Kuna jamaa anataka kufunga machine za kufyatulia barafu.
  9. Yuko wapi memba akili kubwa Barafu?

    Wakuu Heshima mbele. Kwa kweli miaka ya nyuma kidogo kabla ya kupoteza akaunti yangu ya Jamii forums. Nilikuwa napenda sana kumsoma jamaa mmoja anaitwa barafu. Kwa waliokuwepo jamii forums miaka ya nyuma nadhani wengi mtamfahamu mwana jamii forums barafu akianza kuchambua kuhusu mambo ya...
  10. Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye maji yenye mabarafu

    Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
  11. Unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani kwa muda mrefu kwenye friji bila kuungua na barafu au kuoza?

    Heri ya Pasaka Wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi? Huwa nikiweka tunda kwenye barafu nikiwa nataka lipate baridi kwa mfano, nikijisahau nakuta limeungua, au ukiweka matunda/mboga...
  12. Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

    Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu umeisha huku Mrusi akiwa ameganda anapambania kamji ka chumvi huko mbali Bakhmut. === Kyiv said that...
  13. S

    Kilimanjaro imejaa barafu ya kutosha

    Tofauti na wanasayansi wanavyotabiri barafu Inaendelea kuwa nyingi Kwenye mlima Kilimanjaro
  14. UN yautaja Mlima Kilimanjaro kuwa mmoja wa milima itakayopoteza barafu yake mwaka 2050

    Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) milima mingi Duniani ikiwemo ile ya Afrika itapoteza barafu kwa kuyeyuka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hatua hiyo itafikiwa ikiwa hakutakuwa na jitihada za kulinda mazingira na baadhi ya Milima mikubwa iliyotajwa...
  15. Baridi ya Njombe yahatarisha maisha, Dereva ashindwa kuendesha gari kutokana na Barafu

    Hii baridi ya mwaka huu ni noma Sana, 👇 ---- Ikiwa bado hali ya hewa ya baridi kuwa kali katika baadhi ya maeneo nchini ikiwemo Mkoa wa Njombe kupelekea shughuli za kiuchumu kuwa na ugumu katika utekelezwaji kutokana na wakazi wa maneno hayo kupunguza muda wa kufanya kazi kwa kutafuta vyanzo...
  16. L

    Maonesho ya taa yafanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa

    Katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, maonesho ya taa yamefanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa.
  17. L

    Mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu watoto wajitokeza kufanya mazoezi

    Kwenye uwanja wa barafu katika bustani ya vijana ya Shenyang, kikundi cha vijana walikuwa wakifanya mazoezi ya mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu chini ya uongozi wa kocha. Kutokana na michezo ya majira ya baridi kukaribishwa nchini China, watoto wengi zaidi wanashiriki kwenye mchezo wa...
  18. L

    Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo hiyo kwa miaka 22

    Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing 2022 inaendelea, na China imetimiza lengo lake la kuwahamasisha wananchi milioni 300 kushiriki kwenye michezo ya majira ya baridi. Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo...
  19. UN: Mlima Kilimanjaro hautakuwa na barafu mwaka 2040

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa kasi ya barafu kuyeyuka katika milima ya Afrika Mashariki hakutakuwa na mlima utakaobaki na barafu kileleni kufikia mwaka 2040. Milima yenye barafu Afrika Masharini ni Kilimanjaro(Tanzania), Ruwenzori(Uganda) na Mlima Kenya. UN inatoa wito kwa nchi kupunguza...
  20. Mbuzi wa barafu wanaweza kuuzika Tanzania?

    Mbuzi ni mnyama anae lika sana Tanzania, kwa sherehe za kifamilia au hata social gatherings mfano birthdays, kutoa mahari, ubatizo nk. Pamoja na hayo mbuzi choma ni kitafunwa pendwa kwa wanaokunywa pombe na wasiokunywa pia. Wengi tunanunua mbuzi na kumtafuta mchinjaji. Anachinjwa mbuzi saa 11...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…