barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kero ya Bunju B, mchinga hadi barabarani: Serikali haioni kero hii?

    Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B. Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita. Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

    Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi...
  3. JamiiForums Tanzania Taa za barabarani ni kero/zinadumaza uchumi

    Nimekuwa napita kwenye taa za barabarani maarufu ka traffic light Naona zimekuwa ni kero saana kwani zina fanya barabara kuu highway itumike muda mfupi sana. Na maanisha kwa barabara zimekutana kama cross (jumlisha) barabara hufungwa karibia masaa sita kwa siku ( kila moja) Hii ni upotevu...
  4. JamiiForums Tanzania Ajali Barabarani: Chuma juu ya chuma

  5. N

    JamiiForums Tanzania IST zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari

    Habari wakuu, kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina...
  6. JamiiForums Tanzania Vibanda vya wamachinga juu ya mitaro barabarani ndio chanzo cha harufu mbaya Dar es Salaam

    Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara. Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wetu wa Kiafrika hawawezi kufuata sheria za barabarani hadi wasimamiwe?

    Niko barabarani kwa mguu natoka mahali kwenda mjini kuna basi ya abiria imepita kwa speed sio nzuri sana eneo ambalo halitakiwi. Sijajua hivi vibao vinavyoonyesha speed ya gari ya kutembea eneo husika vina maana gani kwa sisi madereva wa kiafrika.Sijajua alama za pundamilia za kuvuka watembea...
  8. JamiiForums Tanzania Yajue mabadiliko yanayokuja katika Sheria ya Usalama Barabarani

    Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:- 1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
  9. JamiiForums Tanzania Njia yoyote ya kuwaondoa wamachinga barabarani ni kutuliza maumivu tu ila sio tiba

    Kutumia nguvu kuwaondoa barabarani au kuwapanga wamachinga maeneo maalum kwa njia zozote za amani ni sawa na kutumia paracetamol au aspirin kutibu Malaria au UTI. Utatuliza maumivu kwa muda tu ila Ugonjwa utakuwa pale pale. Umachinga uliokithiri na kuwa tegemeo la vijana ni matokeo ya uchumi...
  10. JamiiForums Tanzania Mipango Miji na idara mbalimbali kwanini zisitungwe sheria na kanuni kila nyumba iliyopo barabarani kuwa na fremu zenye bei elekezi

    Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao. Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri. Kwa Dar es Salaam naona...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanyonge waanza kumiliki barabara

    Hawa watu wanaoitwa 'wanyonge' walianza kujimilikisha sidewalks, now taratibu wameanza kununua hisa za barabara, soon nazo watazimiliki.
  13. JamiiForums Tanzania Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

    Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani zisigongane Angani .Wanawake wanaweza Huyu akija Tanzania Traffic waongoza magari Wanaume lazima wakimbie...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Video: Trafiki akijidhalilisha kwa kucheza barabarani

    tabia ya hawa trafiki kufanya mambo ya ajabu ajabu barabarani yanadhalilisha jeshi la polisi. Hii inaendana kinyume na miiko ya kazi kabisa. Wengine mtapinga ila hii tabia imekuwa too much sasa kwa trafiki. Itapelekea hadi nidhamu kushuka. Kwenye hii video nimeshangazwa sana na kusikitika.
  15. JamiiForums Tanzania Alama hii ya Tahadhari barabarani inamaanisha nini?

    Naiona sehem chache sana. What's so special about it?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hivi wahandisi wetu huwa wanawaza nini kuweka vituo vya daladala barabarani?

    Kuna vitu unaviona hata kama sio mhandisi lakini unashangaa, huyu ama hawa wahandisi wamesomea wapi? Ukiangalia barabara zote za Dar kiuhalisia hakuna foleni kiviile ila shida kubwa inayochangia kuwepo na foleni ni vituo vya daladala kua barabarani ama karibu sana na taa za Barabarani. Mfano...
  17. JamiiForums Tanzania Roundabout vs traffic lights: Kipi kinasaidia watu kutopoteza muda barabarani?

    Suala la foleni katika miji limezidi kuwa changangamoto. Nini kinaisaidia kutokomeza watu kukaa Barabarani muda mrefu Kati ya roundabouts na trafic lights? Kwa upande wangu, roundabout nazipa asilimia 100 katika upunguzaji wa foleni
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tusubiri lori liparamie wanaofanya biashara barabarani ndio tuchukue hatua?

    Naandika kwa tahadhari tu. Toka mwaka 2016 kasi ya watu kujenga vibanda, mabanda na kujazana kandokando ya barabara kufanya biashara na shughuli mbalimbali imekua ikiongezeka kila kukicha na kwa kasi kubwa sana.Vijana wanaitana tu toka vijijini kuja mjini kuanzisha misheni town kwa kuuza...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

    Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa. Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi. Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
  20. JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa sheria barabarani, with impunity!

    Hii ndio jeuri ya serikali siku hizi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…