barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tushirikiane kubandua matangazo ya waganga barabarani

    Kwa wadau wote ebu tuanzishe kampeni ukiona tangazo tangazo la mganga bandua na ulitupe hii itatupeleka kupunguza shiriki kwa binadamu na hawa waganga matapeli wanawaibia watu au kuwatuma watu vitu hatarishi katika maisha mfano ulale na mama yako mzazi sijui au umuingilie mtoto mdogo asiye...
  2. JamiiForums Tanzania Magari kupaki barabarani ni kero kubwa, Serikali wanaojenga majengo michoro iambatane na parking

    Hasa Dar imekuwa kero sana hivi halmashauri inakuwaje mnatoa ujenzi wa majumba katikati ya Mji mahoteli na ya biashara bila majengo hayo kuonesha wapi magari yatakuwa yanapaki? Watu wakipaki magari yao barabarani inakuwa finyu watu tunashindwa kupita kwa amani na magari yetu ya kifahari
  3. JamiiForums Tanzania Tamu na chungu ya wauza maziwa barabarani

    Wanachelewa kulala lakini wanawahi kuamka, ni kina mama wauza maziwa katika Kituo cha Nyichoka Kata ya Kyambahi Wilaya ya Serengeti ili kuwahi wateja kwenye mabasi yanayopita saa 12 kuelekea Musoma,Bunda na Mwanza. Kwa kuwa wengi wao hukamua wenyewe ,huwalazimu kuanza saa 10 alfajiri muda...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

    Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika, na watafute kazi nyingine. Wale waliokuwa wanatishia kuingia barabarani, haitawezekana tena. Mbowe...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

    Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu. Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake. Je, nini kimembadilisha? Ni muda ndio utasema.
  6. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kutumia simu hasa kuchati ukiwa barabarani

    Nazungumzia hizi busy roads za mijini na sub urban. kuna watoto wa.mjini wanajikuta wao na simu ni Alpha Na Omega. Hawatenganishwi na Tecno zao. Nawaasa sana unapokuwa katika movement barabarani, kama una sms ama simu muhimu sana ya kujibu, simama pembeni kwenye usalama malizana na mtu kwenye...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Uingereza waleta uhai kwa vifaa barabarani

    Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
  8. JamiiForums Tanzania Tujadili Changamoto za Matuta Barabarani na Namna ya Kufanya Maboresho

    Nipo kwenye bus la ABC, kimsingi mabasi ni mazuri, huduma ni nzuri mwendo ni mzuri. Ila changamoto niliyoona ni upande wa choo ambapo bus likifika kwenye matuta mambo yanakuwa siyo shwari ukizingatia matuta nayo hayafanani, usipofanya timing vizuri uka synchronise mwendo wako na mwendo wa dereva...
  9. JamiiForums Tanzania Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

    Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani. Na tunawaona kila siku jijini Dar. Picha hii ni leo Mwenge DSM. Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini. Picha ya close-in kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nani anaelekeza madereva Mwendo Kasi kupakia abiria kupitia milango iliyoangalia barabarani (Kibaha to Kimara)? Hadi abiria wagongwe?

    Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
  12. JamiiForums Tanzania Usalama Kwanza: Tuwapo Barabarani Tuwe Makini

  13. L

    JamiiForums Tanzania Wale wapenda mishikaki ovyo barabarani msiseme sijawaambia

    Huyu jamaa kanaswa mikononi mwa polisi kwa kuwauzia watu mishikaki ya huyo mnyama
  14. C

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Bunju km 1 kutoka barabarani & nyumba kwa mnada

    Karibu MUDU COMPANY LTD tunauza Nyumba na viwanja maeneo mabalimbali dar kwa mnada.#contact 07676055856.mfano tuna huu Uwanja upo BUNJU B BEI 30M 1529 Square meter
  15. L

    JamiiForums Tanzania Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

    Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra akicheza taarabu. Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga. Kijana huyu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Faini, Polisi au adhabu kali barabarani hazipunguzi ajali

    Kuna hali ngumu ya maisha itokanayo na mfumuko mkubwa wa bei ambao serikali imechagua kujiweka pembeni kiaina: Kama vile haitoshi kuna usumbufu mkubwa barabarani. Zinatakiwa pesa, mengine kama kawaida yetu ni usumbufu tu. Bahati mbaya ni kuwa ajali zinazotokea wala hazisababishwi na...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi wafanya Oparesheni ya Usalama barabarani, Makosa ya magari mabovu yaongoza

    Jeshi la Polisi limekamata Watuhumiwa 1,251 wa Makosa ya Usalama barabarani na baadhi yao wamefikishwa Makahamani na wengine kutozwa faini katika oparesheni maalum iliyofanyika kwa wiki tatu. Makosa mengi katika orodha hiyo ni ‘Kuendesha magari mabavu’ ambayo ni 840, ambapo ilifanyika mikoa ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki. Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi? Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii. --------------------- Ikumbukwe:
  19. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Usalama Barabarani Jiji Mwanza chukua Tahadhali Mapema

    Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Usalama Barabarani: Marufuku Trafiki na dereva kuzunguka nyuma ya gari

    Kutokana na malalamiko ya rushwa dhidi ya askari Polisi Usalama Barabarani (Trafiki), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku madereva kushuka na kuwafuata askari nyuma ya gari. Mutafungwa alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Gazeti la Mwangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…