barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Matangazo barabarani ya kuuza viwanja yapo Dar Tu?

    Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake. Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu haupo wakati huku mkoani watu wanapata maeneo makubwa zaidi tena kwa bei nafuu siyo hio 20x20 . Mili 6.
  2. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Manispaa ya Tabora wekeni Taa za Barabarani, muonekano wa Usiku Mitaani ni aibu

    Wanajamvi, Leo naomba nilete kwenu giza hili la Tabora, kiukweli nimesikia mara kadhaa baadhi ya Viongozi wa Tabora kupiga kampeni ya kwamba, Tabora linatakiwa kuwa Jiji, kwa Giza hili hadhi ya jiji watapata wapi? Viongozi wa Manispaa ya Tabora, Mkoa wa Tabora hili la Taa walichukue kama...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe bodaboda wanashirikiana kuiba na kukwapua barabarani

    Kijana mmoja ameporwa simu barabrani tena kwenye service road wakati anaongea, bodaboda kaipitia kama kipanga, wakati jamaa anapiga kelele huku anafukuzia akakutana na kijiwe cha bodaboda mbele yake akawaambia naomba mmoja tumfatilie yule mwizi nitalipa hela yeyote, kwa mshangao wote pale...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi vigari vidogo vidogo vichafu vichafu vya zamani kama hasa IST na VITZ madereva vijana hawa wanafanya fujo sana barabarani

    Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na vilivyochakaa. Kila nikiangalia dereva wake, nakuta ni vijana wa kiume. Inaonekana wengi wao ni...
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Taa za barabarani eneo la Stendi ya Morocco hadi Biafra zitengenezwe, ni hatari kwa usalama

    Taa za barabarani eneo la Stand ya Morocco hadi Biafra zinahitaji kutengenezwa, kwani ni hatarishi kwa usalama. Ikifika usiku, Morocco inatisha kwa giza. Taa za barabarani kuanzia Stand ya Morocco hadi karibu na Biafra, Kinondoni hazifanyi kazi upande mmoja kwa muda mrefu sasa, jambo ambalo...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini gari namba ‘A’, ‘B’ na ‘C’ zinafufuliwa na kurudishwa barabarani kwa kasi sana mwaka 2024?

    Je, kuna uhaba wa magari Japan? especially zike za mizigo na na za abiria?
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ugomvi barabarani ni ushahidi Dar es Salaam watu wengi wenye magari wanastress au levo ya mapepo iko juu barabarani msimu huu

    Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi. Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza. Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kitengo cha Road Marshals ili kupunguza ajali za barabarani

    Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu bado inaendelea kudhoofisha jamii. Ajali ya Mbeya ni moja ya ajali ambayo imeniumiza sana kiasi...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za Barabarani eneo la Kona ya Nairobi zitengenezwe, ni hatarishi kwa usalama

    Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa kuwa na bahati nazo kukuta zinawaka. Lakini kwa ufupi tu ni kuwa ujumbe wangu Mamlaka zinazohusika...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais kuwekewa zuria barabarani wananchi hawana barabara!

    Nilishauliza je utamaduni wetu ni tatizo? Kwa wenzetu Maraisi wanajaribu kufanana na watu wao lakini Tanzania Raisi ni kama mfalme au malikia! Raisi Samia kutandukiwa zulia kila mahali wakati wananchi wake hawana barabara, maji, kazi na wana maisha duni ni kitu cha kutafakari sana. Nitoe tu...
  12. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa askari wa usalama barabarani kuwatoza wananchi faini ya 30,000/= kwa kutokuwa na sticker za nenda kwa usalama?

    Habari ndugu Wanajamii Forums. Nimeona nije kupata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa mambo ya usalama barabarani. Kwa ufupi nilikuwa na safari kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine huku nikitumia usafiri wangu binafsi. Kiukweli njia nzima changamoto zilikuwa ni nyingi kutoka kwa hawa askari wetu wa...
  13. drginwey

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Mabango: Serikali na vyama vya siasa wanalipia mabango yao barabarani?

    Sasa hivi ukipita barabarani kuanzia mwanza mpaka Mtwara ni mabango ya CCM au Mama Samia yakielezea amefanya moja au mbili na pongezi kibao. Ziwe za kweli au uwongo zote zimepangiliwa njia nzima mithili ya maua kwenye misiba ya kishua. Swali langu ni je, tunapata mapato yoyote kwenye mabango...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
  15. Dear_me_

    JamiiForums Tanzania Naombeni updates za barabarani kutokea Dar kwenda Moshi

    Habari wana JF Naomba kujua maeneo walipo traffic wa barabarani -Torch -Checkpoint. Barabara ya Moshi-Dar Asanteni
  16. Dear_me_

    JamiiForums Tanzania UPDATE ZA BARABARANI DAR-MOSHI

    Habari wana JF Naomba kujua maeneo walipo traffic wa barabarani -Torch -Checkpoint. Barabara ya Moshi-Dar Asanteni
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  18. The25824

    JamiiForums Tanzania Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakienda barabarani siyo septemba 23, 2024 tulio wao sisi twende kwenye miji yao

    CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
  20. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ili kukabiliana na ongezeko la ajali barabarani nashauri serikali iwe inafungia kampuni zinazomiliki magari yanayosababisha ajali kwa miezi 6 tu.

    Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya. Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa. Leo napo morogoro kuna ajali ya bus na lori imetokea na kuua tena watanzania. Serikali kama imeshindwa kuweka utaratibu wa kuwadhibiti...
Back
Top Bottom