barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makambako: Serikali ipunguze matuta ya barabarani yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri

    Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri. Mhema ametoa ombi hilo kwa Waziri wa viwanda na biashara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe ambapo pia...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kukaa kimya kwa kauli 'Tutaingia barabarani" na hakuna kukamatwa kwa uchochezi. Tundu Lissu kashaiingiza Serikali kwenye mfumo

    Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ajali za Barabarani zinaweza kuwa chanzo kizuri sana cha Mapato Serikalini (Sheria ya Ajali itungwe vizuri)

    Naomba serikali ifanye jambo hapa. Ajali huwa hazitokei bahati mbaya. Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani. REJEA ANDIKO HILI...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani Tanzania zinasema nini kuhusu Self Driving cars?

    Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida. Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars. Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma 2025 limetenga milioni 300 kuweka kamera za ulinzi barabarani (CCTV ) yakitokea matukio kama la Tundu Lissu 2017 zinachakachuliwa

    Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo ukitokea uhalifu hazitoi msaada wowote na kukaa kama mapambo tu... mfano tukio la Lissu 2017...
  7. Bueno

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa leseni za Magari ya Barabarani

    Wakuu. Nimekuja kwenu hapa wale wenye ujuzi wa leseni za magari nina maswali naomba majibu kupatiwa majibu, najua natakiwa kwenda kuwauliza askari wa barabarani au TRA Tanzania ila sasa naomba majibu yenu hapa kwanza Swali namba 1: Leseni ya kuendesha pikipiki zipo makundi kuna Class A, A1, A2...
  8. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Habari wana JamiiForums, Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami). Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria? Mfano wa huo mchanga ni kama kwenye picha hapo
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Wamiliki wa Vyombo vya Moto Kutoa Rushwa huku wakiwarekodi Askari barabarani , Sheria isimuhukum Askari pekeake na Mtoa Rushwa awajibishwe

    Hawa Askari wetu wanafanya kazi kubwa na Ngumu mnoo, Mvua yao, Jua lao . Watanzania wachache Kwa upuuzi na makusudi yao, huamua kwenda Kumpa Hela Askari , wakati fulan Askari anaipokea akijua ni "Pole ya juani" kama ilivyo kawaida katika kada mbalimbali . Ajabu unakuta Mtanzania huyo alotoka...
  10. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Mamlaka husika tunaomba mtuweke taa za barabarani Bunazi, Wilaya ya Misenyi

    Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar mpaka Ofisi za Halmashauri. Nyakati za usiku kiza kinene na Barabara hiyo ndio kuu ya watembea kwa...
  11. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tashtwiti Kuandika Juu Ya Usalama Barabarani Na Jeshi Letu La Polisi

    Wanabodi Habarini... Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha. Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
  12. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopatikana kwa mfumo wa kuangalia madeni ya makosa barabarani (TMS Check)

    Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine ama lah. Hii hupelekea dereva kupata adha awapo barabarani ya kusimamishwa na trafic barabarani na...
  13. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Kwanini magari ya jeshi huwa hayafati sheria barabarani?

    Naombeni mnijuze, kwanini magari ya jeshi mara nyingi huwa hayafati sheria za barabarani na hawashugulikiwi?
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayochukua vifusi Mbutu- Kigamboni hayafuati sheria za usalama barabarani

    Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali. Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua inayochukuliwa na mamlaka husika. Moja ya madhara ambayo yamekuwa yakitokea ni kumwagika kwa vifusi...
  15. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Pugu, Kinyerezi na Viwege tunalaza magari barabarani kutokana na ubovu wa miundombinu

    Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko maelezo. Barabara za mitaani kwetu zimeharibika vibaya, hali inayotulazimu kulaza magari mbali na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  17. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya:Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani njia ya Mbeya Tunduma wamezidi kuchukua Rushwa

    Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa. Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo ya Ifisi na Songwe viwandani wao kazi Yao ni kuchukua Rushwa tu. Wanasimamisha Magari lakini hakuna...
  18. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tukitumia mfumo huu, hakika tutamaliza ajali za barabarani kwa Siku moja Tu

    Habari za jioni ndugu na marafiki, Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani. Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu. Lakini kabla ya yote...
  20. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Tunakifa kizembe sababu baadhi ya alama za barabarani hatuzijui

    Hii elimu ya usalama barabarani mbona kama inatolewa kwa madereva, vipi kuhusu sisi tunaoendesha miguu yetu. Mana tunakufa kizembe sababu baadhi ya alama za barabarani hatuzielewi wala
Back
Top Bottom