A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.
https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
Baadhi ya wafanyabiashara wa biashara ndogondogo (machinga) waliokuwa wakifanyia shughuli zao katika maeneo yasiyo rafiki, hususan barabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu, wameanza kupisha na kuondoka katika maeneo hayo.
Tukumbuke kuna mdau aliwahi kuleta andiko hapa jukwaani akieleza...
Ndugu Wahusika,
Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka.
Hali hii imesababisha:
Harufu kali na isiyovumilika katika mazingira ya makazi
Uchafu unaoathiri...
Anonymous (67f4)
Thread
athari
barabara
dampo
kiafya
kugeuka
kusababisha
miguu
mwinyi
njia
takataka
watembea kwa miguu
Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini.
Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii.
Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea...
Anonymous (9713)
Thread
barabara
eneo
hali
kibirizi
kigoma
kigoma ujiji
manispaa
Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu.
Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
Wakuu, habari za majukumu.
Leo nataka tuguse mada ambayo kila mwenye gari itamfika tu—muda wa kubadili tairi. Kuna hii brand ya Goodride imetawala sana soko letu. Kila duka unalopita utaikuta, na bei yake ukiilinganisha na majina makubwa kama Michelin au Dunlop, utaona kuna utofauti mkubwa sana...
Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa.
Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero.
Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara.
Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
Anonymous
Thread
arusha
barabara
changamoto
hii
kero
kuanzia
kupandisha
lami
mwisho
ofisi
sana
wakazi
Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
Ubovu wa Barabara ya kutoka Mkonze Shule ya Msingi kwenda Mkonze Zahanati mpaka Mtaa wa Chinyika (Mkonze - Dodoma Mjini) unatia hasira unapopita hapo.
Hali ni mbaya mno hasa kipindi hiki cha mvua ni hakupitiki jamani tunaomba msaada kwa Serikali watuangalie tunakwama sana, gari za Watoto wa...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wa Kariakoo wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi ya barabara pamoja na kwenye njia za watembea kwa miguu.
Hoja hii ilianzia hapa ~ Usalama wa watembea kwa miguu Msimbazi - Kariakoo, Je, Mamlaka...
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka.
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
Anonymous
Thread
barabara
bukoba
hii
kukamilika
manispaa
oktoba
ujenzi
ujenzi wa barabara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaahidi wananchi wa Mkinga kuwa katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 kupitia TARURA itatengwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 16 kwa kiwango cha changarawe, ambazo zitaunganisha Chuo cha...
Habari wanaJF, je toyota alphard, na toyota harrier zinamudu kupita vizuri barabara zenye mchanga mwingi? hapa nazungumzia ambazo ni 2wd.
Na kama hazimudu je kwa alphard na harrier ambazo ni 4wd consumption ya mafuta ni wastani wa km ngapi kwa lita? Na je kuna alphard au harrier ambayo ni 4wd...
Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili na kutelekezwa baada ya kumwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika.
Tulikuwa...
Mimi ni Mwananchi wa Wilaya ya Mbeya Vijijini nina kero ambayo inatutesa sana Wananchi wa Wilaya hii.
Kero kubwa iliyopo kati ya kero zingine ni ubovu wa Barabara ya kutokea Mbalizi hadi Iwiji ambapo inapita Isangati, Santilya, Ilembo, Shigamba hadi Iwiji, kisha inaunganisha Mbeya Vijijini na...
Baada ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi kukamilika maeneo ya Gongolamboto, wafanyabiashara ndogo yaani Machinga sasa wameamua kupanga biashara zao hadi katikati ya barabara, matokeo yake sasa kuna foleni kubwa nyakati za asubuhi na jioni.
Dalili ya kuongezeka kwa wafanyabiashara katika eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.