A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.
Habari wadau....tunakoishi Mwanza hasa maeneo ya kuanzia Nyegezi na kuendelea mbele njia ya kwenda Shinyanga tunateseka sana na Barabara hiyo hasa mchepuko wa SGR Barabara imejaa mashimo pamoja na mbavu za mbwa (Rasta) kiasi kwamba magari yanakimbia taratibu sana hasa nyakati za asubuhi na jioni...
SERIKALI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE MWANZA.
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kikamilifu kuleta mapinduzi ya miundombinu katika Jiji la Mwanza kupitia ujenzi wa barabara ya njia nne kuanzia Mwanza Mjini hadi Usagara pamoja na njia ya mabasi ya mwendokasi, hatua...
Imepita miaka kibao wakazi tunaotumia hii barabara tumekua tukidanganywa juu ya ujenzi wake kwa kiwango cha lami mpaka tumechoka,tangu enzi za mbunge madeje mpaka huyu mavunde kila awamu wameitumia kuombea kura lakini matokeo yake wanaishia kupitisha greda na kumwaga vimaji...baada ya wiki mbili...
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mkoa wa Morogoro Abdallah Kirungu kupitia Chama cha Mapinduzi amewataka Wananchi kutokubali kudanganyika kwa pesa za mtu bali wamchague Kiongozi mwenye maono na uwezo wa kuwasaidia Wananchi wa Ulanga.
Kirungu ni mmoja kati ya watia nia sita...
==
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Mboni Mhita akiongea mbele ya waandishi wa habari alisema , Rais Samia anatekeleza Miradi mbalimbali ya kimkakati inayojumuisha, Ujenzi wa Mradi wa Umeme Jua Ngunga (MW 150) kwa shilingi bilioni 323, ukarabati wa Kiwanja cha Ndege Ibadakuli (km 2.2) na jengo la...
Habari za muda huu
Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana vumbi linatuathiri sana.
Kutokana na ujenzi unaondelea wa Barabara mkandarasi anamwaga maji upande wa...
https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP
Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia
Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
Ikiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, Kamati ya Ukaguzi ya TARURA imetembelea Miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya barabara mkoani Shinyanga.
Katika Manispaa ya Shinyanga Kamati ilitembelea ujenzi wa barabara ya Old...
Wakuu
Hii mitambo ya kutengeneza barabara inanunuliwa sana kipindi hiki kuelekea uchaguzi, siku zote wanakuwa wapi? au ndo kura zinatafutwa kwa kuhadaa wananchi. Alafu mtambo huo huo baada ya uchaguzi utakuta unaharibika:AAAA:
=====
Mbio za Mwenge wa Uhuru umezindua mtambo wa kutengeneza...
Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar.
Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko.
Naamini kabisa...
Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi.
Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana.
Mtu anapaki gari katikati ya Barabara bila kujali watu wengine wanapata taabu kiasi gani.
Kama huyu...
Ndugu wanajamvi,
Napenda kuibua hoja kuhusu jambo linaloumiza wananchi wengi – suala la kutolipwa fidia kwa nyumba zinazotakiwa kupisha upanuzi wa barabara visiwani Zanzibar.
Mfano halisi ni barabara ya kuelekea Paje (Unguja Kusini). Kuna nyumba moja imebaki katikati ya ujenzi wa barabara, hali...
Wakuu,
Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata ujasiri wa kupita😂😂
Sisi wa maeneo mengine kama Sinza, Manzese, Mbezi Beach, Tegeta, Bunju, Kimara...
Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari.
Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu.
Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF.
Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mamlaka zilizo chini yake kumsimamia kwa ukamilifu mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola kwa kiwango cha lami na kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kuvunja...
Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati.
Na John Mapepele
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA
Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
Kwanza kabisa nisiwe mkosefu wa fadhila nimshukuru Rais Mwinyi kwa maboresho makubwa ya barabara mbalimbali ambayo yamevunja rekodi.
Lakini jambo la kustaajabisha kuna hii barabara muhimu iliopo Malindi kituo cha polisi kuendea Bwawani ambayo ni kero kubwa kwa sisi wakaazi wa hapa kwani ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.