A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.
Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha
1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi...
Huku Kondoa mjini hapa kunao wakandarasi wamepewa kazi za barabara ila sasa ni wiki ya pili wamemwaga kifusi barabara za mtaani na wamemwaga katikati ya barabara mpaka pikipiki hazipiti inaleta kero sasa tumevumilia tumechoka kama hawawezi kuvisambaza kwa haraka wasimwage vifusi bila mpangilio
Salam Wadau!
Shimo kubwa sana lipo barabara ya Mwembe Yanga, linahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Tafadhali lifanyiwe kazi haraka na mamlaka husika.
Ni kero ya muda mrefu na inaendelea kutuumiza wakazi wa makabe kuelekea Msumi.
Porojo za siasa zimekuwa nyingi huku wananchi wanateseka huku wahusika wakikaa kimya .
Muda huu kuna foleni kubwa sana na njia mbovu .
Mkuu wa wilaya ya Ubungo ahadi zako hazitimizi huku wananchi wanateseka
Nimepita kwenye barabara ya Mazimbo–Manyuki, ambayo niliilalamikiwa hapa JamiiForums, na nikaona ni vyema nilete mrejesho kuwa kwa sasa imekwanguliwa kwa kutumia greda ili kupunguza mashimo yaliyokuwa yakisababisha usumbufu mkubwa, hasa kwa watumiaji wa vyombo vya moto.
Pia soma: Je, TARURA...
Barabara ya kutoka Ibanda mpaka Kyela Mjini imegeuka kero kwa watumiaji kutokana na barabara hiyo kujaa mashimo ya muda mrefu, pia kumekuwa na matukio ya ajali zitokanazo na mashimo hayo, Watumiaji wengi tunajiuliza kwa nini Serikali kupitia TANROADS hawalifanyi kazi hili tatizo?
Tunaumia sana...
Wananchi mbalimbali wa Kitongoji cha Mtukura - Iriba, Kijiji cha Isenyi, Kata ya Nyakasasa wakielezea jinsi maboresho ya miundombinu yalivyokuwa na faida kwao kwa kuwa ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa muda mrefu.
Barabara hizo zinaendelea kufunguliwa kwa kutumia mitambo ya Mbunge wa...
Wananchi wa Kata ya Terati, jijini Arusha, leo Julai 6 wamefunga barabara ya Mapambazuko wakipinga uteuzi wa mgombea udiwani wa CCM, Julias Lenina, ambaye amemaliza muda wake, lakini jina lake limeteuliwa tena kuwa miongoni mwa watakaopitishwa kuwania nafasi hiyo.
Wakieleza sababu za hatua...
Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa.
Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji,
Hii sio mbaya, ila inashangaza hadi maeneo ambayo hayajawahi kuwa na usumbufu na yenyewe...
Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
Baadhi ya Wananchi wanaoishi jirani na eneo ambako limejengwa Kanisa la Arise and Shine linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wamewasilisha malalamiko yao wakidai kuwa ujenzi wa miundombinu ya kanisa hilo umesababisha changamoto ya upatikanaji wa maji na kuzibwa kwa baadhi ya njia...
Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu.
Ikitokea umepita kwa mwendo wa haraka unaweza kujeruhiwa na nondo zilizopo hapo.
Tunaomba Mamlaka...
Baadhi ya wakazi wanaoishi karibu na eneo linalodaiwa kujengwa Kanisa la Arise and Shine (Kawe), linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wameeleza malalamiko yao kuhusu athari zinazodaiwa kusababishwa na ujenzi huo.
Wakizungumza Julai 1, 2025, Saa tatu asubuhi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa kilomita 60, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma.
Akizungumza...
Kiwanja hakijapimwa ila kipo surveyd, kina ukubwa wa 1500sqm+. Kipo karibu na shamba litakalo jengwa shule ya feza kigamboni. Kinataka 30ML. Zingatia kutoka barabara ya kibada mwasonga ni 450m only hakina udalali. Price included na ku process hati ni PM.
Habari za jioni ndugu na dada zangu
Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach
Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho.
Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana...
Jinan, China – Juni 2025
Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano (Yellow River) katika jiji la Jinan.
Barabara hiyo ya ajabu ina urefu wa kilomita 3.3 (sawa na maili...
Njia ya Kivule kwenda Banana ambayo ilikuwa kero nimeona imeanza kukarabatiwa, kwa kipindi cha wiki nzima naona mkandarasi yupo site jambo ambalo kidogo limenipa faraja.
Hii barabara kwa muda mrefu imekuwa ikitupa tabu sana wananchi hasa wakazi wa maeneno ya Banana hadi Kivule, ilikuwa haifai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.