bangi

  1. Scared

    Bangi na pombe Kali ni hatari nimerudi mtaani naona vijana wamezeeka ghafla

    Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  3. Seran

    Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Hola! 🙋🏽‍♀️ Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k.. Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au...
  4. F

    Kisa cha mvuta bangi

    Mvuta bangi mwanaume alivuta bangi akajiona uchi akadhani amevaa suti. akaenda kwa wenzake akawauliza suti imemtoa aje .mmoja wao akamjibu Poa sana ila tu tai umefungia chini sana
  5. Mshana Jr

    Chonde chonde nawasihi: Msije mkachanganya bangi na meditation!

    Matokeo hayatakuwa mazuri Usipowehuka unaweza kujikuta unafanya mambo mabaya yatakayokuweka pabaya Bangi na meditation havina tofauti na pombe na ugoro.. Havichanganywi Bangi inafumua akili.. Moshi wake huenda direct kwenye ufahamu! Inaweza kukuzibua ufahamu ikakupa uthubutu wa ajabu ukafanya...
  6. nzalendo

    Nilipika bangi kama mboga za majani

    Naam ni miongo kama minne unusu ishapita katika mkoa wa Iringa. Nyakati hizo mabasi yalikuwa yanasafiri usiku, Safari yangu ilianzia Kiborlony kuelekea Railway Station. Treni iliondoka jioni tartiibu tuna ambaa ambaa kuuacha mkoa wa Kilimanjaro, Nilikuwa daraja la pili la kukaa..."Second...
  7. Pdidy

    Mwanachuo mwaka wa 4 akutwa na misokoto 650 ya bangi bwenini

    A 4th-year Garissa University student has been arrested after 650 sticks of bhang were recovered from her wardrobe during a security operation. Image: Kenya Police
  8. mirindimo

    Polisi Kenya wakamata bus kutoka Tanzania likisafirisha bangi

    Police nab Tanzanian bus company ferrying bhang worth Sh2.5 million to Nairobi in Namanga Poleni watoto wa mama, mama atawatetea msilie ee
  9. Kazanazo

    Ila kusema ukweli wavutaji bangi mnatupanga sana

    Bangi ni sigara kama sigara zingine haina uhusiano wowote na uhuni na uchizi kama mnavyotuigizia wavuta bangi. Wakati zinaingia sportsman na Sm wale wavutaji wa kwanza walijidai kulanduka na kuwaka sana hadi ikakaririwa kuwa sportsman na sm, hasa sportsman inasababisha uhuni, kulanduka na wakati...
  10. adriz

    Kama kuvuta bangi ni "ujanja" na kunaongeza "akili " kwa nini wavuta bangi hawawafundishi watoto bangi na hawapendi kuitwa wavuta bange ?

    Moja kwa moja. Wavuta bange wengi wanadai mtu ukivuta bange unawaza vitu mbali akili inakuwa kubwa hata uwezo wako wa kufikiri na kupanga mipango chanya unaongezeka. Na wengine wanadai hata kwenye madoma darasani bangi inasaidia na wavuta bange wengi wanajiona wao maIntelligent kama Isac...
  11. adriz

    Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

    Moja kwa moja. Kwa utafiti usio rasmi ; Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo ...
  12. Inside10

    Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya, pamoja na kilogramu 6,007 na lita 153 za kemikali bashirifu katika operesheni zilizofanyika katika maeneo...
  13. R

    Kinara wa Biashara ya Bangi akutwa na Tani 6.5 mkoani Mara

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi...
  14. DuaZaMama

    Sigara za Kielektroniki za Bangi pisi 50 za kamatwa Dar

    Kamishna Jenerali Lyimo amefafanua kuwa, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam, amesema, jijini Dar es salaam, kwenye klabu ya “Bad London” iliyopo Temeke kwa Azizi Ally na klabu ya “Sanaa” katika eneo la “Reggae bar” iliyopo Masaki, walikamata sigara za kielektroniki (E - Cigare...
  15. Masalu Jacob

    Je, mmea wa Bangi unapuuzwa na kuwaziwa tofauti?

    Habari Tanzania ! Naomba kuwauliza wataalamu wa mambo ya afya hasa mwili; Je, ni kweli mmea aina ya Bangi unatibu kabisa mambo yafuatayo; 1. Kansa aina yoyote? 2. Punguza maumivu aidha makali au sugu? 3. Kuchechea hamu ya kula? Karibu.
  16. A

    DOKEZO Meru, Arusha: Kuna Mwalimu ni mvuta bangi na anauzia wanafunzi Bangi

    Habari za kwenu? Kuna mwalimu wa kiume wa sekondari ya Nkoasenga anaitwa Alb.... (jina limefupishwa) katika kijiji cha Nkoasenga wilaya ya Meru, kata ya Leguruki mkoa wa Arusha anafanya biashara haramu ya kuuza bangi kwenye baa yake. Wanafunzi wa sekondari nao huenda katika baa hiyo kununua...
  17. Nyanda Banka

    Ingekuwa bongo wangesema ni bangi

    CHAKUSHANGAZA Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa.. Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira!
  18. Abdul Said Naumanga

    Botshwana: Mwanamke wa Kitanzania Ahukumiwa kwa Kosa la Kukutwa na Bhangi

    Tarehe 11 Agosti 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Broadhurst, nchini Botswana, ilitoa hukumu dhidi ya raia wa Tanzania, Emma Sezary Beda (42), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la umiliki wa dawa za kulevya aina ya “dagga” (bhangi). Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi la Botswana, tukio...
  19. Z

    Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka. Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
Back
Top Bottom