bandia

Bandia is a census town in Udham Singh Nagar district in the state of Uttarakhand, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Technology: Mifuko ya uzazi bandia inayotengeneza watoto, wanawake hawatabeba tena mimba. Wazazi kuchagua jinsia,rangi,akili urefu wa watoto?

    Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kupambana na adui bandia na kuacha maadui halisi. Wenye ndoto za kuwa Rais mjifunze

    Kwema Wakuu! Ndio nimeamka sasa hivi Hapa, nikaota na kuambiwa kuwa JPM alipambana na maadui Bandia huku akiwaacha Maadui halisi wakipeta. Ndoto hiyo ambayo nina uhakika nayo Kwa Asilimia Mia moja inanipa tafsiri kuwa JPM alishindwa kutambua maadui wake halisi na Hilo kwenye uwanja wa vita ni...
  3. JamiiForums Tanzania Elon Musk asema majaribio ya kupandikiza 'Ubongo Bandia' kuanza ndani ya miezi 6

    Kamouni inayomilikiwa na Tajiri namba 1 duniani Elon Musk, Neuralink Corp. imesema ndani ya miezi 6 itaanza majaribio teknolojia yake ya kupandikiza 'Neva za Ubongo' kwa binadamu. Neuralink imesema tayari imewasilisha nyaraka za ukaguzi wa teknolojia hiyo kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Shilingi 500 bandia zimezagaa mtaani tuwe makini

    Habari, Wana JF mimi sina utaalamu wa uwandishi hivyo tuvumiliane kwa wale wakosoaji wa uwandishi. Twende kwenye lengo, hivi karibuni kumezuka mia 500 fake nyingi sana mtaani, ambapo mwisho leo usiku huu nimekutana nayo na nikathibisha madai haya niliyowahi kusikia kabla. Utaijuaje ni fake...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yafanyika mjini Xiamen

    Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki. Mashindano hayo limegawanywa katika vikundi vitatu vikiwemo vya watoto, shule za msingi na shule za...
  6. JamiiForums Tanzania Faida na Tahadhari za Chuchu Bandia (Pacifiers)

    Chuchu bandia zimekuwa zinatumika sana katika kurahisisha uleaji wa watoto, hasa wale wakorofi. Huwasaidia wazazi kupata uhuru kidogo wa kufanya kazi zingine kama kupika, usafi wa nyumba au hata kukamilisha biashara na kazi zao zingine. Faida Chuchu bandia huwa na faida nyingi. Miongoni mwa...
  7. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yakabiliwa na uhaba wa matiti bandia

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhitaji wa matiti bandia kwa ajili ya kusaidia akina mama wenye saratani ya matiti ambao wengi wao wamekuwa wakikatwa titi na hivyo kuhitaji titi bandia ili wawe na mwonekano mzuri. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa akili bandia (artificial intelligence) duniani mwaka 2022 wafunguliwa Shanghai

    Mkutano wa akili bandia duniani mwaka 2022 umefunguliwa leo katika Kituo cha Maonyesho cha kimataifa huko Pudong, Shanghai. Kauli mbiu ya mkutano huu ni "muunganiko wa akili bandia, fursa zisizo na ukomo".
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi nilivyokamatwa na silaha bandia za kivita

    25/08/22 Wilayani Kisarawe kata ya Sanze mtaa wa Kibon'gwa ndipo ilipokuwa kiwanda changu kidogo cha kutengenezea silaha bandia kwaajili ya filamu na video za muziki. Ilikuwa saa 10:30 jioni muda ambao niliacha kufanya kazi na kutaka kutoka ndani ili niende kupata chakula cha mchana lakini kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

    Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini) Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
  11. JamiiForums Tanzania China wameweza kutengeneza jua la bandia [artificial sun]

    - Wanasayansi wa China wemeweza kutengeneza jua la bandia kwa ajili ya kuuzalisha umeme.picha[emoji116] - Jua la bandia [ Artificial Sun ] hiki Ni kinu cha kuzalisha umeme kinachofanya kazi kwa nguvu ya nuklia[nuclear fusion]. - Mfumo wa ufanyaji kazi wake ni katika mfumo wa nuclear fusion...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na Wanawake wanaovaa kope za bandia

    Binafsi nakerwa Sana nikiangalia wanawake hasa Azam TV kwenye kipindi Cha sinema zetu. Wanawake wengi wameamua kuweka KOPE za bandia katika macho yao. Nawakumbusha tu HAMPENDEZI NA NI ATHARI KWA MACHO YENU SIKU SIO NYINGI Kwani Nani aliyewambia kwamba m apendeza?
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamnasa Mganga wa Jadi kwa kumiliki Sh milioni 3.3 za bandia

    Mnamo tarehe 26.03.2022 majira ya saa 13:30 mchana, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko kijiji cha Nsongwi Mantanji, Kata ya Ijombe, Tarafa ya Tembela, Wilaya na Mkoa wa Mbeya na kufanikiwa kumkamata FIDELIS KOMBA [42] Mganga wa tiba asilia, Mkazi wa Nsongwi – Mantanji akiwa na...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazindua mradi wa akili bandia

    Dodoma. Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Khamis Abdullah akizindua mradi huo katika Chuo Kikuu...
  16. JamiiForums Tanzania Nywele za bandia kwa wababa wenye vipara

    Tayari mchina kishafanya yake. Wale wababa na wakaka wenye vipara wasiopenda vipara vyao, sasa mmeletewa nywele za bandia. Kazi kwenu.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa wakala wa nywele bandia kama weaving, laster, wig n.k

    Nataka kuwa wakala wa nywele bandia za makampuni ya hapa Tanzania mfano daring hair, prima hair n.k. Mwenye uzoefu wa biashara hii na pia utalatibu wa mchakato mzima pamoja na kianzio cha mtaji kila company anisaidie. Nitashukuru sana.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna sura halisi na sura bandia

    Wanaonekana “wagonjwa” watatu wa uviko (Ramona Khoury, Fawaz Dandan na Osama Ahmad) wakieleza hali mbaya waliyopitia kwenye ugonjwa huu. Walidaiwa kuwa wako Concord Hodpital, kule Sidney, Australia. Kwa “masikitiko” wanasema wanatamani wangejua mapema, wangepata sindano. Kisha wanasema...
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuweka meno bandia

    Habari zenu mabibi na mabwana, Meno yangu ya chini yameoza yaani chini ya meno yanakama ukungu,sasa naona yananiletea show mbaya wakati wa kuongea na kucheka, nataka kuweza ya bandia, je ni hospital ama clinic gani nzuri na bei zao ziwe chini. Naombeni msaada wenu.
  20. JamiiForums Tanzania VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

    Tazama video
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…