bandari

  1. JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaohitaji kwenda Dodoma tar 10.6.2023 kushuhudia bunge likipisha Mkataba wa Bandari tukutane hapa !

    Karibuni mikoa yote Tanzania bara. 1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni 2. Kundi na watumishi wa TPA 3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali 3. Kundi la wafanyabiashara 4. Wananchi wote Tanganyika Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
  2. JamiiForums Tanzania Wanaopinga bandari kubinafsishwa ni mafisadi wanaogopa mirija kuzibwa na kukatwa au ni wadini?

    Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi, Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu? Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja? Angekuwa mzungu tungepinga?
  3. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge litajadili ushirikiano wa DP World na Bandari

    Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa na wabunge. Azimio hilo ni mapendekezo ya kuridhia makubaliano kati ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania DP World na Bandari imeshatutoa katika Reli juu ya Tuhuma Kuu nyinginezo za Wizara ya Nishati

    Kama kuna Watu nawapenda basi ni Watanzania kwani ni wepeei kuhamishwa Fikra na Mitazamo huku wakiridhishwa na Asali ya Timu zao Kubwa za Simba na Yanga kwa Kusaidiwa na Rais na Serikali.
  7. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

    Spika anasema wacheni kupotosha: -- Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia Azimio la Bunge kuhusu pendekezo la mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai

    Kimeumana! Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World. Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi hawajui maana ya Bandari, wanadhani ni kutuma na kupokea Mizigo tu!

    Pwani ya Tanzania ambayo inategemewa na nchi zaidi ya 6 za Africa ni zaidi ya Bandari. Nguvu ya Bandari ya Dar es Salaam iko kwenye Uchumi wa nchi, Usalama wa nchi na Siasa za nchi kwa majirani wanaotuamini kupitisha Mizigo ya nchi zao. Tunapojadili uwekezaji wowote wa Bandari, uzalendo...
  10. JamiiForums Tanzania Hili la bandari kuuzwa likipita utumwa unarudi na Zanzibar inaweza peperuka

    Wasalaam, 👇👇👇 Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea. Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi. Endeleeni kumchekea Hali si...
  11. JamiiForums Tanzania Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

    ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo. Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kagame alisema kuwa mkinipa bandari ya Dar es Salaam nina uwezo wa kulisha Tanzania nzima angefanyeje?

    Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu. Bandari tuwape JKT waiendeshe. Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kama hatuwezi kuendesha Bandari ni kipi tunaweza? Huko CCM kuna shida gani?

    Habari JF, Hivi Watanzania tunashindwa kuendesha kitu ambacho hakituhitaji tuweke mtaji tutengeneze au tuuze vitu kisha tufanye hesabu ya faida tuliyopata, tutaweza kufanya kipi? Unahitaji nguvu, tunayo ya kutosha. Unahitaji Vifaa na mitambo/mashine, uwezo wa kununua tunao. Unahitaji uweke...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kwanini isitoe elimu kwa Watanzania wote kabla ya kuingia kwenye hii Mikataba?

    Jamani nina swali ambalo nadhani hata wabunge wetu wangejiuliza kabla ya kupitisha hili jambo. Na wasiangalie wao wanaishi sasa waangalie na watoto na wajukuu wajao wataishi vipi huko baadae. Maswali: (1) Kama kila siku tunaambiwa tunategemea sana mapato ya bandari. Sasa kama bandari inapigwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ili kuokoa Bandari yetu isitekwe na Dubai, tuanzie hapa

    Kuna kila dalili kuwa maamuzi ya kutoa sadaka Bandari yetu yalishafanyika kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kupitia BBC kwa madai "hatuna fedha Trilioni 4 kujenga gati Mpya 9" hivyo Waarabu wa Dubai wanazo fedha. Chambuzi nyingi zimeshafanyika lakini Kuna danganya toto...
  16. JamiiForums Tanzania Wamesusa Mabehewa ya Ghorofa yaliyofika, Watanganyika wanalia kuuzwa kwa Bandari yao

    Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania. Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda. Gafla wakatoa mkeka wa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  19. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai

    Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote. Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Tujihesabie maumivu au tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini?

    Kama tumesikia visiwa vinauzwa wageni, mbuga nazo zinabebwa, madini huko nako ni kichomi kingine, bandari imekuja kuongeza msumari wa moto kwenye kidonda halafu wanakuja kukanisha sio miaka 100 ni miezi 12! Uwekezaji tu uliofanywa ni zaidi ya miezi hiyo, hapo hujaagalia utekelezaji, faida na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…