bandari

  1. Kikubwa Pumzi

    Biashara ya bandari na fursa zake

    Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi. Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani? Dp world au adani yeye anapataje pesa ikiwa achukui kodi? Wale wenye malori yenye kontena wanafanya vipi...
  2. petro matei

    Bandari ya Bagamoyo tumaini jipya kwa ukanda wote wa Pwani

    Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone). Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla. Bandari hii inajengwa...
  3. A

    KERO Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
  4. ChoiceVariable

    Ingizo la DP World Lawa Kimbilio Kwa Wasafirishaji.Tani Milioni 28 Zaingiza Mapato Trilioni 14 kupitia Bandari ya Dar

    My Take Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho. Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia...
  5. R

    Msigwa: Kuna baadhi ya watu wanapotosha bandari imeuzwa, haijauzwa ipo chini ya serikali

    Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 amesema kuwa Rais Samia alifanya maamuzi makini ya kuingia mkataba wa upangishaji na uendeshwaji wa Bandari ya Dar es Salaam na DP world pamoja na ADAN akidai wanaosema imeuzwa wanapotosha kwani ipo...
  6. PAYE

    Wanaodaiwa kughushi nyaraka Bandari ya Dar kusomewa maelezo leo Januari 13, 2026

    Jamhuri imepanga leo Jumanne, Januari 13, 2026 kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo, wafanyabiashara sita wanaokabiliwa na kesi ya kuwasilisha nyaraka za uongo katika Bandari ya Dar es Salaam na kujipatia zaidi ya Tsh 10 bilioni zilizotokana na shehena ya mafuta. Hatua hiyo inatokana na...
  7. Mshindi wa Vita

    LIVE: David Kafulila anaongea na wadau wa Usafiri na Usafirishaji wa Bandari

    https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council – TSC) leo linaendesha mdahalo wa ngazi ya juu wa Sekta ya Umma na Binafsi (Public–Private Dialogue)...
  8. Damaso

    Suala la Bandari tunajihujumu Sisi Wenyewe

    Katika siku za karibuni, taarifa zimeibuka kuwa Bandari ya Mombasa, Kenya, imeanza kupokea meli za mizigo ambazo hapo awali zilikuwa zikitia nanga Bandari ya Dar es Salaam. Kwa lugha nyepesi kabisa, mizigo imehama, yaani wateja wamehama. Lakini kwa lugha ya siasa nyepesi zaidi, lawama...
  9. D

    Mlioko Dar nasikia barabara ya bandari imefungwa

    Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini? Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
  10. N

    Mwanamke mzuri ndo anagombaniwa? Bandari, Gas, Tanzanite, Graphite etc

    Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi, List ya urembo wa mama Tanzania, 1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc 2. KIFUA CHUCHU SAA SITA...
  11. masai dada

    Tuokoeni wafanyabiashara Bandari operations-internet blackout

    Tunaiomba serikali kwa mapana na mrefu…maamuzi yoyote yatakayochukuliwa yatizame madhara kwa short term na long term. Kabla ya kufanya chochote kile lazima kiangalie je utatuzi huu hautaibua matatizo zaidi. Chochote kitakachotokea huko mbeleni Naiomba serikali isizime mtandao kwa gharama...
  12. gallow bird

    Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b. Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
  13. M

    PostGE2025 Tulia Ackson, wahuni walikutumia kuuza bandari za Tanganyika na kufumbia macho UTEKAJI na MAUAJI ya wananchi. Sasa wamekuweka pembeni

    Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais, akashiriki kubariki azimio eti la kumpongeza rais utendaji wake wakati alitakiwa amsimamie huyo...
  14. figganigga

    Hatimaye Stephen Wasira atema Cheche kuhusu Bandari ya Dar

    Hata hajui anaongea nini nadhani. Kwani mwaka huu CCM haawana Ilani? Wangejikita kunadi Ilani
  15. imhotep

    Je ni kweli M23 nao wamekuja kulinda Bandari?!

    Wakuu, wakati naperuzi huko Jasusi TV nimekutana na hii habari ya kutisha sana, wadau wa maandamano ni bora muahirishe hadi siku za usoni https://youtube.com/shorts/3GCF3WoAMNg?si=QArzIsuclu4_26AG
  16. Kazanazo

    Kuweka bandari kavu chuo kishirikishi cha Dar es salaam (DUCE) ni kukishusha hadhi chuo

    Toka ianzishwe ile bandari kavu chuoni pale chuo hakina muonekano mzuri ni vumbi kila mahali kuanzia benki ya NBC, dispensary na mageti yote ya upande wa barabara ya kuelekea Mkapa stadium Kwa maoni yangu haikuwa sahihi kuweka bandari kavu karibu na chuo kikibwa kama kile muda wote malori ya...
  17. presider

    Generator Spare parts

    Tunauza Generator Spare parts kwa upande wa Engine, Ac alternator(Kinu) and Automation( Automatic Mode). Kuna plc za Deepsea zpo mpya na Used(Refurb). Model 7320 MKI, 7320MKII, 7420MKII, 8610MKII. Pia kuna AVR ( Automatic Voltage Regulator). Lastly tuna fanya Pm ( Preventive Maintenance) and...
  18. L

    GE2025 Rais Samia awashona Midomo waliosema ameuza Bandari. Uwekezaji wake wazaa Matunda kwa kupokea Meli yenye uwezo wa kubeba Magari Elfu 9 kwa mpigo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Kiongozi Mwenye Maono, ni kiongozi anayeishi mbele ya Wakati ,ni kiongozi ambaye anawaza miaka Elfu moja ijayo,ni kiongozi Mwenye akili kubwa na uwezo mkubwa sana wa kuona mbele. Ni kiongozi ambaye anafikiria kesho njema ya Taifa letu, ni...
  19. SSH2025_2030

    Bandari bubu Ununio-Chimbo la bidhaa nafuu toka Zanzibar

    Wale risk takers chimbo la bidhaa nafuu njooni hapa Ununio Majahazi wanaleta bidhaa toka Zanzibar niwendo wa kupiga pesa tu. sukari kilo Tsh 800
  20. Vincenzo Jr

    Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

    Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi. Yanga yauza tiketi zote (Full house) Uwanjani (Benjamini Mkapa) kukiwa kunameremeta kuelekea sikukuu ya wananchi...
Back
Top Bottom