ban

Bánovce nad Bebravou (German: Banowitz, Hungarian: Bán) is a town in Slovakia, in the Trenčín Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Eronda

    Curent Situation in Kampala Following Ban Of Street Vendors by KCCA.

    Kampala Capital City has received a breath of fresh air following the recent ban on street vendors, who had congested the city and turned major roads into selling points. The move is aimed at restoring order, improving traffic flow, and enhancing the city’s image as Uganda’s commercial and...
  2. coockie monster

    Tanzania iwaekee shadow ban to some US citizens. 20% percent warudishwe

    Trump ni mbaguzi,wametuwekea vikwazo vya kudhalilisha. Madhali kiusalama wa nchi hatuwezi kulipa kama wao ila tutumie uswahili wetu na fitna zetu kuwazuia Baadhi ya watalii wanaokuka kiholela kutoka Marekani. Unless awe amebook hotel za kueleweka sio Airbnb na ubabaishaje mwengine.. Tutunze...
  3. Marco Seth

    Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

    Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa vinarecover Kutuma text kidogo ti ban Ban ban Christmas ban Je wewe hii hali ishawahi kukutokea? Ni...
  4. Mad Max

    Marekani wamepiga ban drones zote kutoka “nje” ya nchi yao!

    Vita ya kiuchumi kati ya USA na China inazidi kupamba moto. Baada ya kuweka vikwazo vingi kwenye magari ya umeme (EV) kutoka China, sasa panga limekuja kwenye drones. Federal Communication Commission (FCC) wametoa tamko kwamba unmanned aircraft systems (UAS) na components zake zote kwa...
  5. Mhaya

    Mawaziri wa Saudi na UAE wasema Imamu Akieneza Chuki anakula BAN, Magaidi wengi watatoka Ulaya siku zijazo

    Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
  6. Foffana

    Akaunti za watu watata zilizopigwa life ban

    Hawa jamaa walikuwa wanatema madini sana hata ukipitia michango yao linajidhihirisha hilo greybakuza Uguswelana Mpendakukimbiakimbia Misrecodius vulutus Naby Keita Tanganian
  7. Chizi Maarifa

    Silver Strikers leo ikishinda nipigwe Ban mwaka huu wote

    Hii match tumeimaliza nje ya Uwanja. Na ubao unasoma tuna goals zisizopungua 3. Leo hawa madogo wanapigika kinyama hasa. Wameshakubali matokeo. Sisi tupo vizuri na tunaingia uwanjani kuwachakaza hasa. Wanayanga njooni kwa wingi ushindi ni kama pai 22/7 haibadiliki
  8. ELI COHEN

    Tuache na kupigana ban sasa, ni wana JF gani utaweza kuwa recommend katika nyadhifa hizi za serikali?

    1: RAIS 2: WAZIRI MKUU 3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO 4: SPEAKER WA BUNGE 5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO 6: MKUU WA T.I.S.S 7: IGP 8: WAZIRI WA FEDHA 9: MSHAURI WA RAIS 10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII
  9. N

    Fredrick Sumaye mbona yeye haonekani na hasikiki au kapigwa ban ya Jumla?

    Fredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa. Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu? Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili...
  10. Knock life

    Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  11. Carasco Putin

    Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

    MUUE CHELSEA KWA GOLI 5-0 WEKA LAKI LALA
  12. secretarybird

    Mfahamu modi/dinyo wa jeief aliyejipiga ban

    Eli Cohen ndiye modi aliyejipiga ban baada ya kupata udhuru fulani na baada ya kumaliza shughuli zake akabonyeza kitufe cha kurudi hewani na amerudi. Alimpiga mvua kwanza memba mmoja nayeitwa sijui lucha kisha akajipiga mvua yeye mwenyewe. JF ina vituko sana kwa hakika. Dr am 4 real PhD Harmful
  13. Komeo Lachuma

    Simba ikimfunga Yanga leo nipigwe Ban ya Mwezi Mzima

    Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA... SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
  14. SINGULARITY

    TikTok’s Ticking Clock: Trump’s Dance with Deadlines Amid Middle East Crisis

    The midnight of June 19, 2025, TikTokers are on the edge of a digital guillotine in the U.S., facing a ban unless President Donald Trump waves his executive wand yet again. The app, a virtual playground for more than 170 million Americans, is caught in a geopolitical tug-of-war, with its Chinese...
  15. Sema kama nenga

    ESPN has announced the permanent ban of Stephen A Smith .

    From covering all NBA games after he was caught playing solitaire during the game 4 of the NBA finals league. Boxs core ph.
  16. Doto12

    Ni bahati njema tu kwamba Tanzania si miongoni mwa nchi zilizopigwa Travel Ban to USA

    Niliona orodha ya nchi zilizopigwa marufuku kuisogelea USA viza. Aidha Trump anaamini nchi ambazo zinania ya kuitishia usalama wa marekani hawezi iruhusu watu wake waingie marekani. NB. Marekani Ina wabongo wengi wanaojionesha mitandaoni. Nawashauri waendelee kuiomnea nchi maana ikinuka hata...
  17. Komeo Lachuma

    Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

    Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
  18. shuka chini

    Simba akichukua kombe, nipigwe ban ya siku tano

    Habari wadau . Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama . Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe...
  19. chongoe

    Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

    Ndio ivyo
  20. Setfree

    Dawa ya kuepuka kupigwa Ban hapa JF, hii hapa

    Ndugu zangu, wanajukwaa letu pendwa. Salaam! Kila mara tunashuhudia humu mijadala mikali inayopelekea watu kurushiana maneno ya kejeli, dharau na wakati mwingine matusi. Mwisho wa yote, wanaojihusisha na lugha chafu wanajikuta wamepigwa ban – wengine kwa muda, wengine moja kwa moja, halafu...
Back
Top Bottom