ban

Bánovce nad Bebravou (German: Banowitz, Hungarian: Bán) is a town in Slovakia, in the Trenčín Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  2. Carasco Putin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

    MUUE CHELSEA KWA GOLI 5-0 WEKA LAKI LALA
  3. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mfahamu modi/dinyo wa jeief aliyejipiga ban

    Eli Cohen ndiye modi aliyejipiga ban baada ya kupata udhuru fulani na baada ya kumaliza shughuli zake akabonyeza kitufe cha kurudi hewani na amerudi. Alimpiga mvua kwanza memba mmoja nayeitwa sijui lucha kisha akajipiga mvua yeye mwenyewe. JF ina vituko sana kwa hakika. Dr am 4 real PhD Harmful
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga leo nipigwe Ban ya Mwezi Mzima

    Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA... SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
  5. SINGULARITY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TikTok’s Ticking Clock: Trump’s Dance with Deadlines Amid Middle East Crisis

    The midnight of June 19, 2025, TikTokers are on the edge of a digital guillotine in the U.S., facing a ban unless President Donald Trump waves his executive wand yet again. The app, a virtual playground for more than 170 million Americans, is caught in a geopolitical tug-of-war, with its Chinese...
  6. Sema kama nenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ESPN has announced the permanent ban of Stephen A Smith .

    From covering all NBA games after he was caught playing solitaire during the game 4 of the NBA finals league. Boxs core ph.
  7. Doto12

    JamiiForums Tanzania Ni bahati njema tu kwamba Tanzania si miongoni mwa nchi zilizopigwa Travel Ban to USA

    Niliona orodha ya nchi zilizopigwa marufuku kuisogelea USA viza. Aidha Trump anaamini nchi ambazo zinania ya kuitishia usalama wa marekani hawezi iruhusu watu wake waingie marekani. NB. Marekani Ina wabongo wengi wanaojionesha mitandaoni. Nawashauri waendelee kuiomnea nchi maana ikinuka hata...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

    Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
  9. shuka chini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba akichukua kombe, nipigwe ban ya siku tano

    Habari wadau . Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama . Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe...
  10. chongoe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

    Ndio ivyo
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuepuka kupigwa Ban hapa JF, hii hapa

    Ndugu zangu, wanajukwaa letu pendwa. Salaam! Kila mara tunashuhudia humu mijadala mikali inayopelekea watu kurushiana maneno ya kejeli, dharau na wakati mwingine matusi. Mwisho wa yote, wanaojihusisha na lugha chafu wanajikuta wamepigwa ban – wengine kwa muda, wengine moja kwa moja, halafu...
  12. shuka chini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitoomba tena kupigwa ban, hii kazi namuachia Laban OG

    Habari wadau. Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali. Dah! MUNGU saidia akafuzu. Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban...
  13. Bueno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

    Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stellenbosch. Mods naomba nieleweke...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wamemaliza kazi saa 4 ya leo. Yanga tusipopata 3 points kwa Azam nipigwe ban. Sioni Azam wakibana hii game

    Match imeisha tayari. Miundombinu imeshafanyika na kukaa sawa. Kazi imeisha. Azam watake watafungwa, wasitake watafungwa. Sioni kama Azam wana pa kutokea. Hawana piga ua points 3 tunachukua. Wazee wanasema Azam akibana sana bao 2 ndo za chini kabisa. Yanga ikipoteza points nipigwe ban. Sioni...
  15. Bueno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
  16. Top Gun

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal akimshinda Madrid leo basi mods wanilime ban ya mwezi. Sioni hawa watoto wa mama wakifanya lolote leo

  17. Bueno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tarehe 09.04.2025 ikitokea Simba Sc amemfunga Al Masry Mods naomba nipigwe Ban ya Muda mrefu sana isiyopungua siku 3

    Ndio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda mrefu usuopungua siku 3. Kifupi tu tarehe tajwa hapo juu Simba Sc hatofunga hata goli 1 namaanisha...
  18. shuka chini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba akifuzu nipigwe ban ya wiki

    Kiukweli kwa simba hii ikifuzu mimi nipigwe ban ya wiki moja .mimi shuka chini nikotayari. Kwa ban hiyo
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

    Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana. Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo. Team ya kufika mbali ilikuwa...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Itakuwa haina maana unakaa miezi miwili hujapigwa Ban? Are you dead? Huo ni Uzwazwa

    JF raha yake ni mara umepigwa ban, mara umepiga mtu za chembe, mara amekushtaki mara unaitwa ujieleze, mara mtu kakushtaki unaingia unakuta umepigwa ban unacheka unasema hapa sawa. Ama sivyo moderators wanakuwa bored sana. Wanakuwa kama hawana kazi vile maana sasa watafanya nini? Hamna cha...
Back
Top Bottom