Simba akichukua kombe, nipigwe ban ya siku tano

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
1,551
Reaction score
3,091
Habari wadau .
Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa

Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama .

Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe ratiba mtapigwa kama mbwa na naahidi endapo mtachukua kombe mimi nipigwe ban ya siku tano

Inakera sana na inaudhi mno.Na nyie viongozi acheni wizi mnajua kabisa mechi itakuwa zanzibar ila mnashupaza shingo kutangaza viingilio na watu wametoa pesa zao.

Mwende mkapigwe namimi nasema mpigwe mpaka mchakae pumbavu sana.
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Habari wadau .
Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa

Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama .

Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe ratiba mtapigwa kama mbwa na naahidi endapo mtachukua kombe mimi nipigwe ban ya siku tano

Inakera sana na inaudhi mno.Na nyie viongozi acheni wizi mnajua kabisa mechi itakuwa zanzibar ila mnashupaza shingo kutangaza viingilio na watu wametoa pesa zao.

Mwende mkapigwe namimi nasema mpigwe mpaka mchakae pumbavu sana.
Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC guvu moya...💪.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Tukiweka ushabiki pembeni, na kuongea kama wanamichezo! Tukubaliane Simba ana mlima mrefu wa kupanda kwa Rs Berkane! Wale jamaa wamekamilika kwenye kila idara.

Kwa mara ya kwanza tangu alipoingia kwenye haya mashindano ya msimu huu, nadhani safari hii ndiyo amekutana na mpinzani wa kweli.

Kwa hiyo kama atapindua meza kwenye mechi ya marudiano na kuchukua kombe mbele ya timu kama ile; basi atastahili pongezi.
 
Choo zimeshikana ziekewe radio bana,, juu ukipata mtu starehe hakuna!
 
Habari wadau .
Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa

Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama .

Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe ratiba mtapigwa kama mbwa na naahidi endapo mtachukua kombe mimi nipigwe ban ya siku tano

Inakera sana na inaudhi mno.Na nyie viongozi acheni wizi mnajua kabisa mechi itakuwa zanzibar ila mnashupaza shingo kutangaza viingilio na watu wametoa pesa zao.

Mwende mkapigwe namimi nasema mpigwe mpaka mchakae pumbavu sana.
Moderators muwe mnafuta threads za kipumbavu kama hii. Mtu kashiba maharage huko, halafu anakuja kucheua jukwaani.
 
Back
Top Bottom