bakwata

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda awakataa BAKWATA, asema hajui vigezo walivyotumia kupongeza uchaguzi. Awafananisha na watu waliokaa sehemu nzuri na kutoa tamko

    - Asema Msimamo wa BAKWATA si wa waislamu wote - Pamoja na mambo mengine, Sheikh Ponda ameshangazwa na Rais kuipongeza Tume ya Uchaguzi kwa uchaguzi ulioonekana wazi haukuwa huru wala wa haki. - Asema kwa alichokisikia kwenye Hotuba ya Rais (akizindua Bunge la 13), haoni dhamira ya kweli ya...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza awauliza BAKWATA; Kwa Miaka 60 tunaitwa kisiwa cha amani, Je Haki ilikuja?

    Huyu ni Askofu Bagonza, Msomi wa PhD , anawauliza hao Wafuga Ndevu zinazopakwa Brichi, Wanaohusudu Ngono na kupitisha visheria Uchwara vya kuoa watoto wa miaka 10 , Watu wenye Elimu za Darasa la Saba , anawauliza, Kwa miaka 60 ambayo Tanzania imeitwa Kisiwa Cha Amani, je HAKI ILIKUJA??. Kwa...
  3. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huko BAKWATA kama ilivyokuwa CCM nako hakuna mwenye akili akashauri vizuri? Waandamanaji ndio wamesababisha mauaji na sio Polisi?

    Yaani sasa hivi kila ukiingia mtandaoni unapigana na hisia zako usije kupata presha kwa hasira! Aaaaaa! Wazee kabisa ambao vijana wanategemea muwe na busara kushauri mambo vizuri mnajitokeza kuongea upuuzi bila soni hata kidogo usoni! Pia soma PostGE2025 - BAKWATA na taasisi za kiislamu...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Lugha Gongana ndiyo hii. Maasofu wanasema lao na Masheikh wa BAKWATA wanasema lao

    Nawaombeni msikilize kwa makini hawa viongozi wetu wa dini halafu tuone nani yupo sawa na yupi hayupo sawa. Binafsi sina la kusema sababu BAKWATA labda wanaweza kuwa wanasema kweli sababu nimesikia mara nyingi wakisema Yesu alikua Muislamu mwenzao labda wanayajua zaidi mafundisho ya Yesu kuliko...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA, Watanganyika tunajua mnatumika kupandikiza hoja ya Udini. Jueni tu hamtaweza kututoa kwenye reli

    Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona. Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado KKKT walitoa nyaraka mbalimbali kumsema na kuituhumu Serikali yake kwa ukandamizwaji wa haki za...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jemedari Saidi ahoji ukimya wa BAKWATA wakati Quran ikibagazwa bungeni hadharani

    Maandishi nguli wa habari za michezo Jemedari Saidi amehoji ukimya na unafiki wa BAKWATA huku Quran ikitumika vibaya bila kuzingatia maadili na maamrisho ya uislam Tuliwambia kazi ya BAKWATA ni uchawa na kuutangaza mwandamo wa mwezi 1. Wameonekana wanawake wakishika kitabu hicho bila...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 BAKWATA yakana kutumika na Serikali

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu ya Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) itaendelea kusimamia maslahi ya Nchi ambapo ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuwa wazalendo na Taifa lao pamoja na kuilinda amani. Mufti ameeleza hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 BAKWATA waelekeza Waumini kufunga kuombea Amani kuanzia Oktoba 23 hadi Matokeo ya Uchaguzi

    Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi. Akizungumza wakati wa Kikao cha...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mufti Abubakar Zubeir: BAKWATA si vibaraka wa serikali

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) litaendelea kusimamia maslahi ya Taifa, huku akiwataka Watanzania kuendeleza uzalendo na kulinda amani ya nchi. Mufti Zubeir ametoa kauli hiyo leo Oktoba 10, 2025 wakati wa ziara yake ya kikazi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 BAKWATA yampatia Rais Samia tuzo maalum ya Mufti Tanzania

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeipa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tuzo maalum ya Mufti Tanzania, ambayo iliwasilishwa na kupokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Rais, tarehe 20 Septemba 2025. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania amkabidhi tuzo hii Samia, akitambua...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Katibu mkuu bakwata ateua kamati kuandaa maadhimisho miaka kumi ya Mufti Shehe mkuu Abubakar Bin Zubeir

    KATIBU MKUU BAKWATA ATEUA KAMATI KUANDAA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA YA UONGOZI MAKINI NA IMARA WA MHES MUFTI........... Mh. Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Alhaj Nuhu Jabir Mruma Ashighatiiniy Almwangawiy ameteua kamati maalum kuandaa maadhimisho ya miaka kumi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Maulid Kitaifa yatasomwa siku ya Alhamis 04/09/2025 Korogwe Mjini. Mgeni rasmi ni Rais Samia

    Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania, (BAKWATA), limewatangazia Waislamu na wananchi wote kwa ujumla kwamba Maulid Kitaifa yatasomwa siku ya Alhamis tarehe 04/09/2025 usiku katika uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi Manund, Korogwe Mjini mkoani Tanga. Baraza la Maulid litafanyika siku ya Ijumaa...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waislamu washinda kesi dhidi ya serikali na BAKWATA leo 27/06/2025

    KAMATI YA KUTETEA HAKI ZA WAISLAMU TANZANIA WAISLAMU WASHINDA KESI DHIDI YA SERIKALI NA BAKWATA LEO 27/06/2025. “Natupilia mbali mapingamizi yote kwa sababu hayana mashiko”. Hayo ni maneno ya (mmoja wa majaji kati ya majaji watatu), jaji Mbagwa wakati akisoma hukumu ya mapingamizi leo...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania BAKWATA toeni tamko kulaani mauaji Iran

    Tunawasihi Baraza Kuu BAKWATA litoe tamko yanayoendelea Iran na nn kifanyike baada ndugu zetu wanauawa kama kuku.
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa BAKWATA: Tushiriki uchaguzi 2025 kwa amani, tusiige mataifa mengine

    Watanzania wamehimizwa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi Mkuu ujao ifikapo mwaka 2025 Oktoba huku wakiaswa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na kutoiga mataifa mengine ambayo yanaingia kwenye vurugu kipindi cha uchaguzi. Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Halmashauri Baraza la Waislamu Tanzania...
  17. sanalii

    JamiiForums Tanzania Malasusa hawakilishi wakristo wote, vilevile BAKWATA haiwakilishi waislam wote. Wakristo mnaoshambilia waislam acheni mara moja, mtaharibu NRNE

    Kuna kundi la wakristo wakisema waislam sio wapenda haki na kua wanatetea Samia, mara waseme tatiso ni elimu, hii yote ni kutokana na matamko ya BAKWATA, mkiendelea na utaratibu hii mtaifitinisha NO REFORMS NO ELECTION pakubwa sana. Acheni kejeli kuniona nyie mmesoma na kuona wengine hawana...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu BAKWATA: Tuepuke mahubiri ya siasa kwenye nyumba za ibada

    "Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAKWATA yahimiza amani nchini na Siasa safi mwaka wa Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa amani shughuli za kimaendeleo katika jamii haziwezi kufanyika, na hata ibada pia hazitafanyika...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma wataka BAKWATA na TEC kuwachukulia hatua Viongozi wa Dini wanaoeneza propaganda za kisiasa

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa . Wito huo umetolewa leo...
Back
Top Bottom