bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa fedha SADC wajadili vyanzo vya kuongeza bajeti

    Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09, 2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano wa kikanda kusini mwa Afrika. Watalaamu wa masuala ya fedha na bajeti kutoka Tanzania...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  3. BigTall

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

    Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo. Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu, Si Lazima Bajeti Ya Nchi Iongezeke Kila Mwaka

    Miaka mingi sasa kumekuwa na trend kuwa budget bora ya nchi ni ile ambayo inazidi ya mwaka uliopita. Spending inaongezeka na badala ya makusanyo ya ndani yalioongezeka kutumika kuweka budget isiyotegemea misaada, tunafikiria kuongeza matumizi. 2023/24: TZS 44.4 trillion 2024/25: TZS 49.36...
  6. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Zifahamu mbinu hizi muhimu wakati unapanga bajeti yako

    MBINU ZA KUPANGA BAJETI Namna matajiri wanavyopanga Bajeti zao kwanza Kufuatilia matumizi yao. Kuishi chini ya kipato chao. Kuepuka deni la matumizi. Kujilipa wao kwanza. Kuwekeza kwa muda mrefu. Kuweka malengo maalum. Kuotomati maamuzi ya kifedha . Kupunguza kodi. Kupitia upya bajeti yao mara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  9. Insidious

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 12m napata gari gani?

    Habari wakuu, kwa bajeti ya 12m naweza pata gari gani zuri la kutembelea mjini hata kama ni kutoka kwa mtu namba E; Nltaka IST ila naona wengi wanaanzia 14.5m. Naombeni msaada wa mawazo hapa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Netflix yaridhia kuinunua Warner Bros kwa $ 72bn, inalipa deni lote la Taifa na bajeti ya mwaka mmoja juu

    Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali. Tume ya ushindani ikipitisha...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme. Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Mayeye: Nikiingia Bungeni nitapigania bajeti ziwafikie

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye, amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anapigania maslahi ya wananchi kwa kuhakikisha bajeti zinazopitishwa bungeni zinawagusa moja kwa moja wananchi na si kufujwa kwenye...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Stop Kupoteza Pesa Hizi ni Imani 7 za Teknolojia Ambazo Zina Haribu Bajeti Yako Kilaa Wakati

    Hizi ni Myth 7 za Teknolojia Zinakupotezea Pesa Nyingii Mno Je, umewahi kuambiwa kwamba lazima ununue cable ya bei ghali ili kupata picha bora kwenye TV yako? Au kwamba kamera yenye megapixel nyingi ndiyo bora zaidi? Ukweli ni kwamba, kuna imani potofu nyingi kwenye teknolojia ambazo...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Menejimenti MOI yapigwa msasa utekelezaji Bajeti 2025/26

    Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepatiwa mafunzo ya utekelezaji bora wa bajeti ya maendeleo ya Taasisi hiyo ya mwaka wa fedha 2025/26 ili kuendelea kuboresha huduma kufikia dira ya taifa ya 2050. Hayo yalibainishwa Agosti 26, 2025 na Meneja Mipango...
  18. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa simu nzuri kwa bajeti ya shilingi milioni moja

    Salaam Wakuu, Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000]. Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda. Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania MacBook Air au MacBook Pro? Ipi Inafaa kwa Kazi Zako Mwongozo wa Kitaalam Kabisa wa Kuchagua Kulingana na Kazi, Bajeti na Mtindo wa Maisha

    Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza swali moja kubwa: "Ninunue MacBook Air au MacBook Pro?" Katika makala hii, tutakuongoza kwa lugha...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kanali Evans Alfred: Bajeti ya Ujenzi Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka TZS7bn mwaka 2020 hadi TZS245bn, bajeti ya TARURA imeongezeka mara 4

    == Chini ya Rais Samia, bajeti ya TARURA Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka shilingi bilioni 6.92 mwaka 2020/2021 hadi bilioni 25.71 mwaka 2024/2025, ikisaidia kufungua barabara mpya, kukarabati za zamani na kuwezesha upitishaji wa barabara misimu yote kwa asilimia 72.7. TANROADS imetekeleza...
Back
Top Bottom