Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua kuhamasisha matumizi ya gesi badala ya nishati kama kuni na mkaa, kama njia ya kupunguza uharibifu wa...
Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4.
Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 4.1 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 5.6 mwaka...
Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni.
Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama...
China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi duniani, likigharimu takriban dola za Kimarekani bilioni 170, sawa na takriban TZS trilioni 443.5...
Rais Samia ameongeza bajeti ya elimu na mafunzo kutoka TZS4.72Trilioni mwaka 2020/21 hadi TZS6.16Trilioni mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la TZS1.45Trilioni.
Bajeti ya Elimu na Mafunzo ndio bajeti kubwa kuliko zote ikifuatiwa na bajeti ya Wizara ya Afya na huku Nishati na Kilimo zikifuatia...
Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi...
Wakuu naomba mnipe mwongozo wa simu ambayo angalau inaweza nisaidia kupiga picha nzuri za kupost mtandaoni bidhaa za duka walau nikapata quality inayokubalika kwa bajeti hiyo, asante!
Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
Nipo Songea nahitaji pc yenye kuanzia 5th generation na core 5, bajeti ni kilo 2. Lakini pia napokea ushauri wenu. Nahitaji kwa kazi ya software za simu tu especially 4 bypassing services and works
Meseji tu 0759189534
https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi...
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).
Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
Hi
------
Posti hii inaeleza jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi. Mambo muhimu yaliyoangaziwa ni:
1. Aina ya ardhi:
- Tambarare: Gharama hupungua.
- Mteremko/milima: Gharama huongezeka.
2. Aina ya udongo:
- Laini: Huhitaji msingi wa kina → gharama huongezeka.
-...
Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo:
*Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP)
*Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na...
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
Habarini?
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo.
Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
Habari za mchana.
Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya.
Kubwa ninalotaka kulisemea...
Nimejaribu kufuatilia katika maeneo na vyanzo mbalimbali kuhusu mwitikio wa wananchi juu ya bajeti ya serikali ya mwaka 2025/2026, nimebaki nikijiuliza, bajeti haina mvuto? Au wananchi wamekata tamaa kufutilia huo mpango mkuu wa serikali?
Sio katik media au vijiweni, mjadala.kuhusu bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.