bajaj

Bajaj Finserv Limited, a part of Bajaj Holdings & Investments Limited, is an Indian financial services company focused on lending, asset management, wealth management and insurance.The company employs over 20,154 employees at 1,409 locations, and is engaged in consumer finance businesses, life insurance, and general insurance. Apart from financial services, Bajaj Finserv is also active in wind–energy generation with an installed capacity of 65.2 MW.Bajaj Finserv was ranked among The Economic Times 500 as #119 in 2014.Bajaj Finance Limited (BFL), participates in the financial business and is a company listed on The Stock Exchange, Mumbai (BSE) and the National Stock Exchange (NSE)

View More On Wikipedia.org
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuacha biashara ya Bajaji, kuingia kwenye biashara ya kuuza kanga, madera na vijora minadani mikoani hasa mkoa wa mwanza?

    Wakuuu naombeni ushauri, Naona kazi ya barabarani sio nyota yangu mambo hayaendi risk haziishi Napitia wakati Mgumu kufanya maamuzi kuacha hii biashara ya bajaji na kuanza biashara nyingine ya kuuza madela, vijora na kanga maan pia sina uhakika Hivi ni sawa kweli niuze hii Bajaji alafu niingie...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kila siku tunalia na LATRA, Njia ya Makongo Juu hadi Goba hakuna Daladala au mna ubia na Bajaj zinazotumika huko?

    Kwa Mwaka wa tatu sasa mtawalia sisi wakazi wa Makongo na Makongo Juu hadi Goba, barabara inayoenda hadi mzunguko wa GOBA CENTRE tumelalamika sana kwenu kwa barabara yetu kukosa daladala. Ahadi zenu zote zimekuwa HEWA mpaka sasa. Kila mara tunapopiga simu dawati lenu la HUDUMA KWA WATEJA...
  3. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Bodi ya bajaj inayotumia gesi vs bodi ya bajaj inayotumia petrol

    Habari wakuu. Kuna hizi bajaj zinazotumia gesi zenye viturubai vya njano, asilimia kubwa unakuta ni namba E lakini bodi yake imechoka mbaya mbovu kama namba A vile. Lakini unakuta hizi ambazo hazina mfumo wa kutumia gesi bodi zake zipo njema sana. Sasa hizi za gesi zenye viturubai vya njano...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  5. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli katika Kituo cha Bajaj Ferry (Dar) zinapanda kwa kasi, Wananchi tunaumia, LATRA mdhibiti kinachoendelea

    Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli. Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini wiki kadhaa zilizopita ilipanda ghafla na kuwa Shilingi 1,000 mpaka 1,500 kwa abiria wanaoelekea...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani msiache kuwapiga vibao bodaboda na Bajaj. Hawa vijana wana vichwa vigumu

    Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi. Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj. Makofi sometimes huweka akili...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tuliwaambia kuwa bodaboda na Bajaj sio kazi mkabisha. Sasa ingia mjini na bodaboda yako ndipo utajua kuwa bodaboda ni taulo la chama pendwa

    Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa. Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa. Oyaa tafuteni kazi nyingine. Kufa kama nzi mnakufa Bima ya afya hamna Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna . Amkeni.
  9. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

    Mambo vp wadau wa JF. Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho. I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat) Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto.. ~ SIPENDI SIASA ~
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Makampuni na Mawakala wa pikipiki za TVS, Hero, Bajaj nk, mnatukosea sana Watanzania!

    Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda. Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania? Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi. Kwamba hatuwezi...
  11. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
  12. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nauza mfumo wa gesi kwenye bajaj kwa bei kitonga 200k

    Habari wakuu, nauza mfumo wa gas kwenye bajaj bei ni laki mbili.. Ila bado una deni la laki Saba na hamsini utaenda kumalizia mkopo wako. Mazungumzo yapo Wahi sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gharama mpya za Bajaj zinaumiza sana!

    Asalaam wana jamii, Mimi nafanya kazi ya bajaj, hua nanunua na kuziweka kwenye mkataba lakini mwaka moja sasa bajaj kimekua zina panda bei vibaja mno Mwaka jana nilikua nanunua kwa bei ya 8.1 Million lakini Jan-24 nilipoenda kunnunua tena bei zilipanda hadi 8.6m lakini sasa kiznauzwa 9.7m na...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Bajaj inafungwa mtungi wa gesi? Hata kama ni ubahili

    Hata kama ni ubahili. Huu wa hawa Maafisa Usafirishaji umezidi aisee!
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Bodaboda na Bajaji wana matatizo gani?

    Vijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto? Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana. Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na vyombo vya moto tena vilivyo katika mwendo kasi mimi kwa kweli hunihuzunisha sana. Inaonekana ni...
  16. ward41

    JamiiForums Tanzania Iran Wasituletee Vikombola Vyao vile Vyenye speed ya Bajaj(Masaa manane viko angani)

    Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani. Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi. Safari hii tunataka kuona vitu. LA sivyo aache kupiga makelele.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LATRA: Anayetuhumiwa kuchukua hela za Madereva Bajaj si Mtumishi wa LATRA ni Afisa wa Halmashauri ya Morogoro

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu. Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua...
  18. Mr passion

    JamiiForums Tanzania Dereva bajaj

    Habari zenu wakubwa ni kijana wenu hapa naomba msaada kwa yoyote anaehitaji dereva wa bajaj kwa mkataba nipo hapa
  19. excel

    JamiiForums Tanzania Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  20. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5

    Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5 Niko Sumbawanga Rukwa
Back
Top Bottom