bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Karne 21 bado ni sahihi DC & RC kuteuliwa na Rais?

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania ilipata uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.Tumepitia awamu mbali mbali kuanzia awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere hadi sasa awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu. Nimekuwa nikitatizwa na namna tunavyojitawala,hasa katika suala la zima la mamlaka ya uteuzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa Mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu. ELIMU: Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017. Literature in English na history kama masomo ya kufundishia. UZOEFU; nimefundisha kama mwalimu Wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

    Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens. Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kufika Gaborone, ile gereji ya watanzania maeneo ya Mogoditshane, Gaborone bado ipo?

    Hii ilikuwa kama kijiwe cha wabongo kukutana wakiwa Gaborone ili kubadilishana mawazo na kupeana mikakati. Ilikuwa ikimilikiwa na wabongo toka maeneo ya Iringa hivi hii gereji bado ipo?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Iramba tuache unafiki - Tusimfitini Dkt. Mwigulu kwani bado ana nafasi ya kuisaidia Iramba

    Bahati nzuri Ndugu yangu ni mmojawapo wa madiwani wa viti maalum Iramba. Katika udiwani wake huu ni muhula wa pili na anakiri isingekuwa Dr. Mwigulu asingeshinda mwaka jana kwani upinzani ndani ya Chama ulikuwa mkali sana. Ndugu yangu anabaisha bayana kuwa Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi Dr...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumbe bado mpo Geita hadi Chato, hongereni sana

    Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee. Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefuta status WhatsApp lakini wana bado wanaiona kwenye simu zao

    Wakuu naombeni msaada Kwa mwenye uelewa jinsi ya kufuta status na isionekane Kwa Yule aliyeiona na ambaye hajaiona. Jana by mistake nikapost picha ya mtoto mkali, nikaifuta immediately Ila cha kushangaza Wana bado wakawa wanaiona na wanareply, imeniletea majanga Sana hii issue. Msaada wakuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wale walioshiriki kutesa na kuumiza watu 2015-2020 bado wanaamini walifanya sahihi?

    Viongozi na watendaji walioshiriki kuumiza na kunyanyasa watu kwa sababu ya madaraka na kumlinda kiongozi bado wanaamini Mungu akuwaona? Je bado wanakula mema ya nchi Kama walivyotegemea au nyakati zakusaga meno zimewadia? Ni sahihi kuishi kwakumtegemea mwanadamu?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je, kwa ukuaji wa uchumi wa 4.7% bado tuko kwenye uchumi wa kati au tumerudi kulekule? Kwako Dr Mwigullu!

    Ninajua kabla ya Corona uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia 6.9 lakini kufuatia anguko la uchumi wa dunia uliosababishwa na covid 19 uchumi wetu nao umeanguka na sasa unakua kwa 4.7% Ndio namuuliza Dr Mwigullu Nchemba, je bado tuko kwenye uchumi wa kati au anguko hili limepunguza per...
  10. JamiiForums Tanzania Sumsung zile za projector miaka hii bado zipo?

    Miaka fulani hivi huko nyuma kulikuwa na toleo fulani hivi zilikuwa zinakuja na inbuild projector baadae sikuziona tena sikoni. Vipi ziliacha kutengenezwa?
  11. JamiiForums Tanzania Propaganda? Hao wasomi waliojaa pomoni wapo wapi? Mbona mimi siwaoni!!!

    Amani iwe nanyi wakuu! Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
  12. P

    JamiiForums Tanzania A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

    Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu. Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani. Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Chelsea fans game ya Madrid darajani Bado ngumu kwetu

    Bado jamani tusione kama tayari tushaingia fainali kikubwa ni kumuomba mungu pia tuingie fainali ya mashindano haya hii ya kusema Madrid nyumbani hatoki tusijipe asilimia zote kwani lolote linaweza kutokana maana Madrid ni yenye historia kubwa kuliko hata sisi kwenye haya mashindano. Hii ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, miradi ya kimkakati bado inaendelea huko Chato?

    Kipindi cha awamu ya tano tuliona miradi mingi inapelekwa chato, tumeona hospitali kubwa na ya kisasa. uwanja wa ndege, mbuga ya kitalii, hoteli ya nyota tano vyote hicho vikijenga chato, Je ile miradi mingine kama uwanja wa kisasa wa michezo inaendelea?
  15. JamiiForums Tanzania Asante Mambosasa na RC wa Dar kwa juhudi zenu za Ulinzi; bado Temeke, Ilala na Ubungo

    Wilaya hizo ulinzi wake umelala sana. Watu wanataka nusu usingizi huku wakijilinda kea wasiwasi. Ifike kipindi wezi wawe wanaiba vitu ambavyo wenyewe hawaviihitaji. Letengenezeni Mazingira muwasaidie wananchi. Matukio ya wizi ni mengi mno. Tembeleeni vituo vya polisi mujionee orodha ya wizi...
  16. JamiiForums Tanzania Harmonize, hii 'chenchi' ya views laki 4 iwe fundisho kwako kwa mkubwa wako Diamond

    Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8 DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Bado Kuna mtu anapinga nguvu ya harmonize kwa Sasa kwenye tasnia ya muziki Tanzania?

    Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na...
  18. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli

    DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za watumishi wa kada ya walimu kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…