bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

    Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake. Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
  2. JamiiForums Tanzania Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
  3. JamiiForums Tanzania Japo ligi inaelekea ukingoni, NBC bado wanayonafasi ya kuboresha tangazo lao la "kupeleka mbele soka la nyumbani"

    Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo. Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
  4. N

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Simba tumeshuka ranks za CAF hatarini kuanzia round ya awali na vilaza, Namungo bado ya 56

    dah siamini aisee, kutoka 12 hadi 14 anyway dah naona namungo bado wako palepale 56, hapo ndo mwisho wa list kama team yako hauioni pole sana Shida ni kwamba kwenye zile top 10 za kuanzia round ya kwanza naona kama safari hii ni ngumu maana kuanzia namba moja hadi 13 , teams ambazo kwenye nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana kumbe bado Mrusi anapigana Mariupol, nilijua alimaliza mchezo kitambo

    Huyu supapawa kwa kweli hana la maana, hivi ameingiwa na nini Mrusi, mbona miaka yote tulikua tunamwogopa bure tu... KHARKIV, Ukraine — Turkey is working to negotiate an exit for the wounded Ukrainian soldiers sheltering in the bunkers of a steel plant in the port city of Mariupol, but its...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Bado Wako kwenye Ndoto ya Kuingia Ikulu wakaamshwe

    Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka . Kuna sababu mbili tu :- 1.Vyama vyao vinaongozwa na Mamluki na wachumia Tumbo ,Ni either na wana CCM walio vaa mavazi...
  7. JamiiForums Tanzania Spika tulia na wakina Mdee bado wanatuchezea

    Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni. Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia. Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
  8. JamiiForums Tanzania Asante sana Chadema kwa maamuzi yenu ya leo, nafarijika kuwa bado kipo chama makini chenye msingi imara, hakiyumbi wala hakiyumbishwi!

    Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa! Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni...
  9. JamiiForums Tanzania Halima Mdee na Wenzake 18 nawaonya wasijaribu kwenda Mahakamani, "Kibatala na wenzake" bado wapo

    Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo. Kwa hiyo kama wakitaka kwenda Mahakamani Mimi Sina wasiwasi kabisa. Nina Imani na kikosi Cha Askari maaalum kabisa cha...
  10. JamiiForums Tanzania Mimi bado sielewi kabisa huu uchezaji wa sinema

    Kusema ukweli hili ni jipya sana kwangu kuona Rais anacheza sinema na raia wa nchi nyingine. Nilitarajia kuona sinema imechezwa na Watanzania tu, na kuongozwa na Watanzania, na si vinginevyo. Hivi shida ni nini hasa, kama shida sio mimi?
  11. JamiiForums Tanzania Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

    Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana. Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+ Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake. Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wazee waliozaliwa miaka ya 1950-1960 bado wana mambo ya kikoloni hadi leo

    Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya 1. Kuchaguliana wachumba 2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita 3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere 4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Ile Historia yetu nzuri sana bado ipo?

    Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo.
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni nchi maskini sana

    To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu . Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta . Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sabaya kuachiwa Huru nashauri 'mnaoshadadia' kutwa kuwa Makonda nae akamatwe achaneni nalo kwani 'System' bado inawahitaji na inawakubali

    Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation'...
  16. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnamwona January Makamba na Nape ni Mashujaa... bado mna dhana hiyo?

    Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart. Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Kanumba angekua bado hai, unahisi Bongo Movie ingekua wapi?

    The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni. Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine Dimba la Santiago Bernabeu leo moto utawaka REAL MADRID vs MANCHESTER CITY nani kucheza fainali?

    Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Lile Jambo letu bado lipo, mkae kwa kutulia

    Mtajua, hamjua
  20. K

    JamiiForums Tanzania Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

    Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…