bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

    Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
  2. JamiiForums Tanzania Simba Bado inacheza mpira mbovu

    Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness. Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida. Pass accuracy...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

    Kwema Wakuu! Ni Stress hapa! Ni sonona hapa! Kihoro kinakaba kama pumu huku. Yaani hapa mambo sio mambo. Kuna Watu wanakuambia umri ni number tuu lakini huko ni kufarijiana tuu! Hakuna kitu kinauma na kuleta mfadhaiko na mtagusano kulinafsi kama kuona jua lile linazama halafu wewe mambo...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, tatizo la kukatika Umeme na Maji bado lipo eneo lako? Je, Mwenezi Paul Makonda amepita eneo lako?

    Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!? Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!? Je, shida zako zimetatuliwa!? Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!? Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
  5. JamiiForums Tanzania Tumeanza kwenda AFCON toka mwaka 1980, bado tunajifunza nini?

    Hivi wadau, mnajua Tanzania ilikwenda AFCON kwa mara ya kwanza mwaka 1980 wakati huo timu zinazofuzu huko ni 8 tu? Yaani kwa lugha nyingine, tungekaza sasa hivi tungekuwa moja ya magwiji wa mashindano haya na hata ndoo labda tungekuwa tumeshawahi kubeba. Hawa watu wanaosema bado tunajifunza...
  6. JamiiForums Tanzania Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

    Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile. Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Drama za kikore cheki dude hili lipo hewani bado Goryeo_ Khitan War

    Msije mkasema sikuwaambia
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wivu na chuki ya maendeleo mbaya sana: Waigbo wa Nigeria ndio kabila lenye akili na uwezo mkubwa kibiashara, wanakomolewa ila bado wanadunda

    Nigeria kuna makabila 371 ila kuna makabila matatu maarufu 1. Hausa = Hili ndio kabila lenye watu wengi zaidi Nigeria na Afrika, Hawa wapo nyuma sana mambo ya elimu na hata huko kwao hakuna sana maendeleo miji imejaa omba omba lakini ndio walioshikilia power ya nchi kwenye siasa, Jeshini...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Maandamano ya CHADEMA hayahusu Miswada, yanalenga kuangalia kama bado wana watu

    Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa... "Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

    habari wadau. Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine. kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu...
  11. JamiiForums Tanzania Israel yafukua makaburi kutafuta mateka.Hakuna aliyepatikana mpaka sasa

    Jumla ya maeneo 16 ya kuzikiana watu huko Gaza yamefukuliwa na jeshi la Israel kwa kile wanachokiita kutafuta mateka. Pamoja na kufukua makaburi hayo vile vile katika baadhi ya maeneo wamejenga kambi zao za muda juu ya makaburi hayo. Kitendo hicho kimewashangaza watetezi wa haki za binadamu...
  12. JamiiForums Tanzania Congo DR imetulia lakini bado haina maendeleo

    DRC kwa kikubwa imetulia. Vita IPO sehemu chache sana lakini bado hakuna dalili za maendeleo. Pamoja na utajili mkubwa wa rasilimali madini, ardhi, maji, DRC bado wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha. Watu wengi wanahisi DRC kuna Vita. Jibu ni hapana. Maeneo mengi DRC kumetulia kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania bado wanauelewa mdogo kuhusu siasa hivyo Rais Samia endelea kuteua wazee kwanza

    Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally. Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji Wa CCM. Ukija kwa upinzani hawa kiasi chake wanakuaga na hoja nzuri ila tatizo lao kubwa ni lile la...
  14. JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila ni muumini wa maandamano ya amani, bado tunakumbuka kauli ya Mwanza

    Salaam, Shalom!! Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza. Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali. Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la ufaulu duni wa masomo ya Mathematics na Physics bado halijaeleweka!

    ...
  17. JamiiForums Tanzania Uhamiaji bado tatizo la milenia, tusubiri miaka 1000 watakuwa na ufanisi

    Iko hivi, nilikuwa namsaidia mtu kuomba passport nisafiri nae, zamani ilikuwa unaambatanisha makolokolo kibao lakini baada ya NIDA nikajua process zimepingua hasa ukizingatia huyu mtu wazazi wake wote wana NIDA nikajua ile sehemu ya kiapo cha mzazi NIDA zao zinatosha maana waliapa mahakamani...
  18. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe ametuelewa bado Ahmed Ally

    Simba na Yanga ni timu kubwa zenye wafuasi wengi wenye hadhi tofautitofauti, zinahitaji wasemaji mahiri sio wasema chochote wanachojisikia wao hata kama hakina maana wala uhalisia. Hata kama ni utani lakini unawezaje kusema Yanga woooote hawana akili isipokuwa watu wawili tu kwenye timu ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba kupeleka kikosi cha kwanza Zanzibar katika mashindano yasiyopewa uzito bado imeshindwaa kutwaa ubingwa

    Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa u20 kwa ajili ya kutunza nguvu ya vikosi vya kwanza kwa mashindano makubwa na kuepuka majeraha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…