bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Crimea

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea CHADEMA, na suala la Abdul bado mnaamini saini kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee ilifojiwa?

    Pascal Mayalla aliwahi kuleta uzi humu kwamba CHADEMA kuna kirusi kinawatafuna na kipo ndani kabisa kwenye chombo chao cha maamuzi. Ukiangalia haya yanayotokea hapo chadema kwa Mbowe kung'ang'ania madarakani ukijumlisha na suala la Abdul kuambatana na kiongozi mkubwa ndani ya chadema kupeleka...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kuwa CHADEMA bila Mbowe haiwezi kwenda, basi chama bado kina safari ndefu sana

    Kuna baadhi ya wanachama wamenza kuwa na wasiwasi kuwa Lisu anakipoteza Chama bora uongozi wa Mhe. Mbowe ulikuwa imara na madhubuti
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mambo bado kesi ya Dr Manguruwe, kuendelea kusota rumande, kesi yaahirishwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa kutokana na kutokamilika kwa upelelezi ambapo anashtakiwa kwa makosa 29 ikiwamo ya uhujumu uchumi...
  4. Wilfred Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Je upendo wa kweli ni mpaka aagize Mungu ?

    Je
  5. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na mama yake

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  8. Bravoozi3

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unaoa ukiwa bado unaishi kwenu, una akili kweli?

    Hii Gen Z ina mambo mengi sana, ni kawaida kukuta mtoto wa kiume ameoa na bado anaishi kwa wazazi, yani alipo olewa mama yake na yeye analeta demu wake, huku ni kuvunjia heshima wazazi, kama unajijua ni kijana unayesumbuliwa na genye za kipumbavu basi nenda ukapange na sio kumaliza pwiru wako...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania KERO MAAJABU! Dom-Iringa, mashimo kama yote. Mkandarasi bado yupo site?

    Hata kama ni kubunya huku mnazidisha aisee. Mbona Dom-Kondoa-Babati-Arusha barabara imejengwa standard kabisa haina mashimo kama hiyo ya Dom-Iringa?
  10. puker

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kubet njoo tukumbushane mbinu tulizotumia lakini Mhindi Bado AKATUCHAPA!

    Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi. Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁, ukiamini pengine mambo yanaweza kuwa tofauti🍾... twende kazi ngoja nitoe zangu😋 Mm nilishawah...
  11. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania YANGA BADO VIWANGO VIKO CHINI

    Wakishinda ni bahati nasibu 😂
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hizi kampuni za kukopeshana online credit companies bado hazijafungwa zote zipo zimebaki na zinasumbua binadamu

    Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kweli bado yapo?

    Wadau, swali la iwapo mapenzi ya kweli bado yapo limekuwa likizungumziwa sana. Ni suala la muda tu kumpata mtu anayekufaa. Kwa mfano, kuna binti mmoja ambaye amenionyesha upendo wa dhati kiasi cha kunifanya nianze kuamini tena mapenzi ya kweli. Awali, sikumzingatia sana, lakini kadri muda...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

    Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history. Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya uhuru Bado watanganyika tupo kwenye makucha ya watawala. Tupitie mashairi ya development kutoka kwa mshairi Kundi Faraja.

    A man of the people Enters his office to sit on the throne of Party and State, His stick of power Across the table. He looks into the files To see the demands Of the millions of people Who for years since Uhuru Have just managed to survive They ring out one message Man of the people You have...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania GSM aachane na Yanga itamfirisi,mtaji wake bado mdogo asishindane na Mo au Bakhresa

    Hii nchi kuna matajiri wakubwa tu zaidi ya GSM ila hawataki kusikiahabari za udhamini wa mpira,au kuwekeza kwenye kabunbu,wanajua hailipi GSM angeendelea kukuza mtaji wake tu kwanza aachane na Yanga itakuja kumfirisi,akuze mtaji wake kwanza,najua yeye ni Simba damu na yuko pale kibiashara ,mbona...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Alinambia ameolewa lakini bado akaendelea kunitafuta

    Eeh katika harakati Za kidachu. Bhana nikakutana na mtoto mmoja black shape fulani ya kwenda nikaomba Namba mzee mali ikaita lakini pale pale nikamuuliza kama kaolewa akasema ndio 🥲nikasema basi tuishie hapo Huwezi amini Baada ya wiki akanitafuta saa tano usiku Nikamuuliza Ina maana mmeo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria ya Mikopo ya Mtandaoni bado inavunjwa kwa kutoa siri za mteja

    Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo kwenye simu yake hii ni kinyume na sheria ilisainiwa. Tungependa kupata muongozo sahihi kwa watu...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
Back
Top Bottom