bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sheria za Habari Zanzibar bado kizungumkuti

    Katika Sheria ya Usajili wa Uwakala wa Habari, Magazeti na Vitabu Namba 5 ya Mwaka 1988 iliyofanyiwa marekebisho na Sheria no 8 ya Mwaka 1997 yapo maneno kadhaa yaliyotumika ambayo yanaonekana kuwa na mapungufu na ambayo yanakwaza uhuru wa Vyombo vya Habari. Matumizi hayo ya maneno...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ule ushamba wa kutofika Dar es Salaam bado upo, kwa Tanzania wengi

    Ndio ni kweli , wewe huwezi kujiita mtanzania mjanja kama hujafika Dar, nimetembea mikoa mingi sana nchi hii, na nilichogundua bado watanzania wengi sana hawajafika Dar. Ni vizuri hata Kwa watu wa Dar kufika nchi za nje ama jirani, hivyo bado washamba wa kutofika dar ni wengi Na hivi Sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wa bongo bado wanapenda sana kuabudiwa na wanawake?

  5. JamiiForums Tanzania Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

    Hapa kisheria wanasheria mnadhani mwanasheria wa mshtakiwa nakusudia nini? Mpango hapa ni nini?
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa Wife material na bado Dunia ikawa kinyume na wewe. Ndoa ikawa ngumu kwako. Fanya haya.

    UNAWEZA UKAWA WIFE MATERIAL NA BADO DUNIA IKAWA KINYUME NA WEWE. NDOA IKAWA NGUMU KWAKO. FANYA HAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli wapo wife material ambao hawajaolewa na ambao wanahangaika Kupata ndoa. Na wapo wife material ambao wameolewa lakini ndoa ni ngumu kwao. Wamepata...
  7. JamiiForums Tanzania CCM mnataka mpewe nini ili muwe Imara?

    Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro. Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu! Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
  8. JamiiForums Tanzania Mshana Jr badilika, rudi kwenye asili Yako

    Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi. Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana. Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

    Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke. Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo. Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania Chukueni hii bado mbichi....Refa keshachukua chake, ila kauliza mna Fowadi ya kufika mara 3 kwa Adui 1st Half tu ili niminye na kama hamna msinilaumu

    Na nilichompendea Referee kasema ataachia Offsides Tatu tu Kipindi cha Kwanza na zikipita wasije Kumlaumu kawauwa. ANGALIZO Sijamtaja hapa kabisa Referee wa Mechi ipi na lini sasa Wewe jifanye umo sana Akilini mwangu uingie 18 zangu Uyakoge.
  11. JamiiForums Tanzania Bado Trump yupo nao wachina jino kwa jino safari hii kazi wanayo

    Rais wa marekani Donald Trump bado anaendeleza msimamo wake juu ya nchi ya China katika suala zima la kuiwekea ushuru. Pia Trump amehitaji usaidizi wa haraka wa Federal Reserve kuondoa interest rates. kwa kipindi cha karibuni Trump amekuwa akihishutumu Fed chini ya mwenyekiti Jerome Powell...
  12. JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  14. JamiiForums Tanzania Kama una miaka 40 na bado unaendelea kutafuta ajira, haupo serious na maisha

    Wakuu, sikejeli mtu hapa, lakini lazima tuambiane ukweli. Miaka 40 siyo ya kutafuta ajira, umri huo wewe ndio unatakiwa utafutwe eidha na taasisi za kiserikali au sekta binafsi. Hapa watakuwa wanatizama uzoefu wako. Lakini siyo eti kila siku upo road na mavyeti yako unaenda kupiga interview na...
  15. JamiiForums Tanzania Orodha mpya ya Wanachma wa TP OK Jazz ambao bado wapo hai

    1. Lokombe Ntal (mwimbaji) - Ufaransa 2. Makosso Kindudi (gitaa la rhythm) - Ufaransa 3. Flavien Makabi (gitaa la besi) - Ufaransa 4. Sam Mangwana - Angola 5. Kakoma Nado (ngoma) - Paris, Ufaransa 4. Mukulu Muki (Tarumbeta) - Brussels, Ubelgiji 5. Dele Pedro (Sax) - Brussels, Ubelgiji 6. Iblo...
  16. JamiiForums Tanzania Chatgpt ni the best Deepseek bado cha mtoto sana.

    Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu. Chatgpt Ana taarifa nyingi sana Ana kiswahili kimenyooka sana Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi Deepseek Taarifa yake haiwi imeshiba sana Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling...
  17. JamiiForums Tanzania Bado haitoshi?

    Habari wakuu wa jf Katika pita pita zangu huko na huku nimekutana na content fupi ikielezea kuhusu marketing hasa kwa upande wa wasanii Wanaojitafuta Kuna vitu kwa uchache tu vimeeoezwa na miongoni mwa vitu hivyo ni CONNECTION Sasa je hizo connection mtu unapata wapi na kwa sasa Kuna hii...
  18. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania jifunzeni kustaafu, bongo mziki bado sio biashara ya kudumu

    Salaam! Ushauri kwa wale wanaojiita ma-regendary wa bongo wakuu ukweli huu hamtaupata popote na auonaye amwambie mwenzie ,wakuu Game ya bongo ya Muziki na hata sanaa zingine sio kazi au biashara ya kudumu ,mtawafariji ooh mbona wa ulaya mpaka leo wanapiga show ,wakuu hilo game la ulaya leo hii...
  19. JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF. Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye uzi huu 👇👇...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Naipongeza mikoa hii angalau wanaume huheshimiana wanapojua mwanamke ana mme au boyfriend

    wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana, MARA MWANZA RUKWA KIGOMA IRINGA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…