bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

    Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta. Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
  2. MK254

    Iran kwa unyonge wasema hata wakipigwa bado watajenga tena

    Imekua dhahiri muda wowote Israel watatembeza kibano kule Iran, na hawa Iran waliokua wanajipiga kifua wameanza kuwa wanyonge, rais wao anasema wataamka tena haitakua mwisho wao. Nasemaje nasemaje nasemaje Israel piga hayo magaidi ya dini. Wayahudi wana historia ya kushinda vita hata kabla hiyo...
  3. Huihui2

    Ushuhuda: Licha ya No Reforms No Elections, Serikali ya Marekani bado inaiamini sana Tanzania

    Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
  4. Lavit

    Kwa hii barabara bado tunaweza sema tuna serikali ya watu wenye akili?

    Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu. Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
  5. The redemeer

    Kwanini mtu anapambana sana kweli kweli lakini bado hatoboi? zipo sababu

    sababu nyingi kwa nini mtu anaweza kuwa anafanya kazi ambayo inaendana na nyota yake lakini bado hafanikiwi, hata baada ya miaka mingi. Hapa chini nitakueleza sababu kuu 7 zinazoweza kuzuia mafanikio, hata kama kazi inaendana na nyota: 1: Karma Kuna vipingamizi vya kiroho vinavyotokana na...
  6. Lord Denning

    Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

    Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu. Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa. Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa...
  7. U

    Magufuli hata kama alitutesa, bado ni baba yetu ni damu yetu Tanganyika

    Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni. Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi...
  8. Fbn

    Bado Tanzania kazi za kufanya kwa masaa hakuna halafu mnataka jiji la Dar liwe linafanya kazi masaa 24

    Tuna safari ndefu sana hususani hawa tuliwapa madaraka ndio watupangie kulingana na uwezo wao. Ni jambo zuri jiji kama dar kutaka liwe linafanya kazi masaa 24 yani watu wapige kazi usiku kucha. Je, hizo kazi mshajiuliza kuhusu waajili na wenye hizo kazi. Kazi nyingi za tanzania ni kama...
  9. GENTAMYCINE

    Ukiona umekoswakoswa, ila ukaumizwa na waliotaka Kukumaliza na bado hawajajulikana ukipona kuwa makini kwani wakirudi Kwako mara nyingine hawakosei

    Ujumbe wangu huu umfikie yoyote yule ambaye ataona ama unamgusa Yeye au Jirani yake au Mtu wake anayempenda na kumuamini Kimaisha, Kisiasa na Kiimani (Kidini) Nawatakieni nyote Jumatano iliyo Njema.
  10. R

    Haya yanayotendwa na watawala wa Kiafrika ni wazi bado Africans tuko kwenye bottom/middle of evolutionary tree of our brains

    Sijui tuko hatua gani kwenye diagram hii FlipFact of the Day: To this day, the topic of human evolution remains hotly debated. Those who support the idea of natural selection typically find themselves in opposition to those who believe that humanity was purposely, intelligently designed by...
  11. M

    Kwanini shule ya kata Yombo Vituka imebadilishwa jina na kuitwa shule ya kata Kurasini huku bado ipo eneo lile lile la Yombo Vituka ?

    Habari wadau. Kuna jambo limenishangaza sana. Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule za kata. Shule hiyo ya sekondari ilipewa jina la Lumo secondary. Then ikabadilishwa jina na kuitwa...
  12. THE FIRST BORN

    Nitaendelea kuamini hili kua wanawake wa Kiafrika bado hawastahili High position,Wapikwe vya kutosha kwa Miaka Zaid hata 20100 huko ndio waruhusiwe.

    Kuna siku niliandika uzi...nikasema yule Rais wa ile Nchi ni kielelezo kingine kikubwa kua Wanawake wa Afrika kwenye Mwaswala ya Uongozi bado. Mods mkaula kichwa ule uzi sijui kwa sababu nilimtaja kabisa. Ila leo simtaji ila nahisi mshaelewa kama mtu ananibishia ataje kuna baadhi ya Nchi hapa...
  13. Common Folk

    Kwa jinsi hadhi ya Tanzania ilivyo, bado hatujafika mstari wa kushitakiana kwa kesi za "UHAINI", yaani "TREASON"

    Note: Nchi yoyote inayoendekeza kesi za uhaini, mwisho wake ni mbaya!! Uhaini siyo jambo la mchezomchezo!! Na kwa nchi zenye viongozi wenye upeo wa mambo, haziwezi ruhusu kesi za uhaini wapewe non-millitary personels ovyo ovyo! Demokrasia yetu kidogo inaendana na Afrika Kusini. Nginjanginja za...
  14. K

    Safari ni ndefu lakini bado tunajikongoja

    Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika bwana, nanyi pia ni wazima tumejaliwa uhai siku hii pia tumeiona, Ndugu zangu baada ya kusema hayo tu niseme nipo katika changamoto Moja Sina namna Wala jinsi Sina mishe nauguliwa nipo na mgonjwa naomba msaada wenu angalau sh elfu kumi tu...
  15. Chakaza

    "Nileteeni Gwajima" 2020 VS "Tupakule Magwajima" 2025. Mpambano Bado ni Mkali Sana.

    Nani kuibuka mshindi? Maana sasa umeingia ndani ya chama na 'Maintalekichua' wanaonekana kuunga mkono timu 'Nileteeni Gwajima' Est.2020 dhidi ya wale kina 'Pangupakavutiamchuzi' tunaounga mkono timu 'Tupakule Magwajima' Est.2025. Naona hata jamaa zangu Njaa55 wanasikitika kwani huu mpambano...
  16. R

    Tuyaseme kwa nia njema, kuepusha yaliyotokea Rwanda: Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi, watawala mnaweza kufuta hasira hizo , bado muda upo

    Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda! Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
  17. G Sam

    Esther Matiko hivi ukiangalia hii video bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana bungeni?

    Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa. Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
  18. MamaSamia2025

    Bado fani ya ushonaji ina soko. Mnaoenda VETA someni hiyo

    Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi nilichojifunza ni kuwa wachina walichotuzidi ni skills tu kwenye ushonaji. Mashine wanazotumia ni...
  19. E

    Ana shida jimboni .... Afukuzwe CCM.... Aliahidi safari za Kawe/Japan... Hakuongea wakati wa Magu - Hoja ya mauaji bado haijajibiwa !!!

    Mzee Msuya - sio mimi nasema - Mzee Msuya mtu wao wa system kabla hajafa alisema watu wa CCM ni wadhaifu sana kwenye kujenga hoja. Bunge linasema: Mtu mwenyewe ana shida jimboni Afukuzwe CCM Aliahidi safari Kawe-Japan Kataja jina takatifu la mtoto wa Rais Angeweza kuyamaliza kwa ushauri wa...
  20. K

    Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
Back
Top Bottom