bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
  2. Sifa za Ubunge East Africa, Tanzania ni shimoni Bado

    🇹🇿 Tanzania Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977: Sifa za kuwa Mbunge ni: 1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa uraia wa kawaida aliyeishi muda mrefu nchini. 2. Awe na umri usiopungua miaka 21. 3. Awe anayejua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza. 4...
  3. M

    Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

    Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
  4. Hii ni sababu KUU kwa nini afrika masikini bado!

    Ni kwa sababu hakuna hata nchi moja ya kiafrika inayo-practice capitalism, na hii ni ktk cairo mpaka cape town, wote wanafwata aidha 100% communism/islam au some sort of communism/ socialism lkn hakuna anayefwata capitalism thats why, afrika iko backward kila mahali kwa maana communism iko...
  5. T

    Makubaliano kati ya DRC na Rwanda, bado kama mtego tu

    You neutralize the FDLR, Rwanda lifts its defense measures. As for the M23, there is the Doha process between Kinshasa and the M23. Kwa miaka kadhaa, inasemekana FDLR walishaingizwa kwenye jeshi la DRC. Na intelligensia ya Rwanda, inazo taarifa kamili na majina. Rwanda inadai kwanza, FDLR...
  6. Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
  7. Bado nayakumbuka maneno ya hekma ya yule mzee

    Bila shaka mko vizuri wanajukwaa... Leo wacha niwape maneno ya yule mzee ili mnisaidie kuyatafakari. Huyu mzee alianza kwa kuniambia kwamba kimsingi ndani ya kila mtu kuna mbawa za kuruka juu ya upeo wa mafanikio, lakini si kila biashara ni upepo unaoweza kumuinua kila arukaye. Hii ni sentensi...
  8. KWA nini licha ya Ongezeko la watu wanaozungumiza FEDHA, UTAJIRI, MAFANIKIO Bado watu wengi maisha magumu?

    Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi Waalimu wa...
  9. Kwa yanayoendelea Mashariki ya kati, bado unaamini kuwa Yaweh (Israel) na Allah (Muslim) wana nguvu???

    1) Yahweh name for the God of the Israelites, representing the biblical pronunciation of “YHWH,” https://www.britannica.com/topic/Yahweh Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Israeli hospital hit by Iranian missile strike...
  10. Swali: Iran bado ina vinu vya nukes? Kakamilisha kuunda silaha?

    Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu. Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles kupiga ISRAEL....baada ya hapo ISRAEL ilitulia na SADDAM hakusikika tena na hizo Project na Wayahudi...
  11. R

    Bado na yule mwenye jina la NJAA HAYUMO?

    Tuzidishe maombi na yeye azidishe kujikomba! Asikate Tamaa!
  12. Kwako mfanyakazi ambaye bado unajitafuta kimaisha

    Hii ni kwako wewe mfanyakazi unaejitafuta kimaisha na kwa wote wanaofanya au kutarajia kufanya kazi ya kupokea mishahara Kama mshahara wako ni shilingi laki moja, waambie nduguzo unalipwa elfu 60 na watu baki waambie unalipwa elfu 40. Namba hazitakiwi kuwa halisi, ukitaja kiwango halisi...
  13. Bado hakuna wakuifuta Israel kwenye uso wa dunia

    📜 BADO HAKUNA WAKUIFUTA ISRAEL KWENYE USO WA DUNIA 🌍 Katika historia yote ya mwanadamu, taifa la Israeli limekumbwa na majaribu mengi – vita, maangamizi, uhamisho na chuki ya mataifa mbalimbali. Hata hivyo, taifa hili limeendelea kusimama imara, likithibitisha kwamba mpango wa Mungu juu ya...
  14. Kwanini watu wengi bado ni watumwa bila wao kujua?

    Habari Wakuu! Kwenye haya maisha wapo watumwa na wapo watu walio huru. Utumwa ninao uzungumzia hapa si ule ambao tulifundishwa mashuleni bali ni ule wa mtu kuchukua maamuzi kutokana na hisia zake au tamaa zake au fikra za mtu mwingine bila ya kutumia akili zake na utashi wake mwenyewe. Na watu...
  15. Kama Bado Unakisia Tarehe ya Chanjo, Unahatarisha Kuku Wako! Fuga App Hukumbusha kwa SMS Kabla Ya Siku Kufika!

    Kitu kimoja kidogo cha kuondoa kwenye kichwa chako. Kama umewahi kufuga kuku unajua jinsi ilivyo rahisi kusahau chanjo inayofuata ni lini… na chanjo gani hasa. Maisha yamekuwa ya haraka sana, na wafugaji wana mambo mengi ya kushughulikia kila siku. Kusahau chanjo ni jambo la kawaida lakini lina...
  16. Ali Mayai nakuheshimu mno, ila Kitendo cha Kufiwa na Baba yako na bado ukawa 'busy' na Urais wa TFF kumetufanya tuanze kukuona Mswahili Mswahili nawe

    Na nina uhakika hata huko Msibani na Mazishini ulikokuwa Tabora Akili zako zote zilikuwa ni Karume Ilala na Urais wa TFF.
  17. Pamoja na mapungufu bado nitaungana na Eng. Hersi kwamba Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa TFF

    Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :- 1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa . 2.Timu zinadhamika , wadhamini...
  18. A

    DOKEZO Mikopo ya Mitandaoni (kausha damu) bado ipo!!

    Habarini wadau, Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!! Tarehe 13/06/2025 nilikopo mkopo mtandaoni kwenye App inayoitwa 'popo pesa'. Mkopo huo nilipaswa nirejeshe tarehe 19/06/2025, ajabu...
  19. K

    Hivi CHAUMMA Bado Wanaendelea na Ziara au Wamesitisha. Maana sijawasikia Kabisa kwa Karibu Wiki nzima

    Wasichokijua wafadhili wa mizengwe ya kisiasa mbalimbali ni kwamba wale wanaofadhiliwa lengo ni kupata pesa na siyo kufanikisha lengo la wafadhili. Kwa hiyo,akina Kigaila na Mrema hawajali kama lengo la kuifunika Chadema linatimia au hapana.
  20. Israel yasema bado Itatuma tena mabinti wakatalii Iran na kusalimia. Imepata ilichotaka...

    Baada ya mabinti kutumwa kwenda kutia vidole vifinyio vya Irani. Wanasema wanataka waende tena kabla hawajawaachia wanaume kwenda malizia, kufika kileleni. Israel imefanikiwa kabisa katika kushambulia Iran — hususan katika operesheni ya Rising Lion ya tarehe 13 Juni 2025 — lakini mafanikio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…