bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Weekend nyingine tamu EPL. Pale juu wa kututoa bado hajaonekana

    EPL inaendelea kutupa raha, kuna watu mechi nne hawajashinda ata moja. Arsenal kombe letu huu mwaka. Mnao ogopa makelele nunueni ANC earphones.
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kama ni Kweli CCM Bado ni Chama

    Kwa nini wasianze upya kabisa baada ya zoezi la Oktoba 29? Maana yake ni kwamba; CCM iliyo tufikisha hapa ifutike kabisa, kwa sababu imekuwa ni balaa kwa nchi hii. Maana yangu ni kuwa, kila kinachohusika na CCM ya sasa kiishie Oktoba 29; watakaotaka kuendelea na chama hicho waanze upya kabisa...
  4. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Maandamano bado siku 4! Tanganyika

    WATANZANIA GENZ-ZS FLOOR NI YAKO, UTUFANYE! GHADHABU NA MATAIFA Pamoja tusonge mbele #Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️ #SamiaMustGo #riseupTanzania #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa 📍
  5. S

    JamiiForums Tanzania Enyi JWTZ Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo

    Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo. Fungeni mikanda ya maamuzi. Kwa mkijua, nchi inauzwa. Ngorongoro imeuzwa. Bandandari imeuzwa. Pori la Loliondo limeuzwa. Madini yameuzwa. Ni kipi kimebaki kwa ajili ya wanetu? Ndugu zetu wanatekwa, wanauawa, na wanafungwa bila sababu. Yote...
  6. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Tutakoleza moto waliowasha wenyewe. Na bado

    Mlitaka wenyewe. Na bado. Mliwasha moto msojua kuuzima sio. Siye wakati twauzima nye mlituzuia. Sasa tulieni tukoleze afu mwaja kutuambia nini mwataka. Na bado. Zamu yao wapelekewe moto walowasha wenyewe. Peleka moto Shubash
  7. M

    JamiiForums Tanzania Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Folz amekufukzwa kihalali kabisa! Yanga bado ina nafasi ya kufuzu

    I salute you kinsmen Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki! Folz ameuharibu sana mpira wa yanga Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli...
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Lema kama unasema serikali ndio watekaji na wauaji mbona wamwomba Mama akulinde. Mama si ndiye mtekaji wenu mlisema. Nyenyenye!

    Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi. Pia Soma GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa GE2025 -...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kuna wazee bado wana akili na uwezo wa kuchangua mambo. Hawa ndo wanahitajika kwenye nchi hii

    Mzee kauliza swali zuri sana sio mnawaambia watu mtoke mkatiki oktoba, hata tusipotiki mmeshapita maana hatujui mnashindana na nani.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wenje, naona wameisha, Bado Mbowe sasa. Au mnasemaje kuna " vigogo" bado Chadema watahama?

    Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya. Najua haitajiki na walio wengi, but time heals! Akienda CCM ni uchuro! Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
  14. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Je upepo ume geuka?

    Sio kawaida kwani sio wanawake,sio wanaume,sio mabinti,Wala sio vijana wa kiume Wana sema hawataki Mitaani Kuna minong'ono mizito na ubaya ukisogea karibu ili uiskilize vizuri Minong'ono hiyo hukoma na watu Wana tawanyika sjui kwanini? Mitaa inazungumza kwa usiri na kujificha jificha Tena...
  15. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Sisi watanzania kuwafikia wakenya kwenye kujitafuta bado sana

    Hii video ikionyesha wakenya wakiwa katika vita vya Ukraine na Urusi
  16. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bado kuna mtu anaamini 29 Sep kuna uchaguzi?

    Kwa hali iliyopo sasa na inayoendelea Nani anaamini bado kuna uchaguzi tu mwaka huu Cc Stuxnet
  19. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Leo bado Kuna kile kizazi mpaka sasa mama yupo, bibi yupo na mama wa bibi pia yupo?

    ..... yani wewe hapo upo mama yako yupo, bibi yako yupo, na pia mama wa bibi yako pia yupo? yani mama mzaa bibi, inafurahisha sana eeh🙂
  20. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 🌹Pamoja na kujua unasell labour lakini bado unaisell for cheap! Are you cheap labour? Lakini ni uvivu wa kulima tu!

    MSOMI: MASHINE YA KIWANDA AU ROHO INAYOKIMBA? Huyu msomi! Huyu anayejivunia degree yake, akajilaumu kwa mshahara wa laki tano! Je, tuseme kweli: yeye si kiumbe, yeye ni mashine iliyotengenezwa na mfumo, iliyopachikwa akili ya urobot, imewekwa kwenye mtandao wa minyororo isiyoonekana, ili...
Back
Top Bottom